mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. KERO Responded Mwitikio wa wanaojiandikisha NIDA Wilaya ya Uyui ni mkubwa lakini Watendaji na Vifaa havitoshi

    Zoezi la uandikishaji Wananchi kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) limefanyika katika Kata ya Goweko huku kukiwa na mwitikio mkubwa unaoonekana kuzidi idadi ya Watendaji na vifaa vinavyotumika. Idadi ya Wananchi waliojitokeza ni takribani 500 ambapo kuna Watu wengi wanaotakiwa kulipia...
  2. Ofisi ya CHADEMA Mikocheni ina ukumbi mkubwa sana, kwanini wanaranda randa katika kumbi za hoteli za kifahari, wakati wanasema hawana hela?ufisadi?

    Ofisi ya chadema makao makuu mikocheni ina ukumbi mkubwa sana, kwa nini wasifanyie vikao hapo? Wanaenda kukodi kumbi za makumi ya mamilioni wakati wanalia chama hakina hela? Chama kinafanyia maamuzi hotelini? Wanapishana na watu wametoka kuzini au wana mataulo walikuwa wanaoga? Chadema, tumieni...
  3. Jamaa kaongea ukweli mkubwa sana kwa wanao chapiwa wake zao

    Jamaa yako akichapiwa mpe ujumbe huu utamfariji sana
  4. Single moms poleni kwa upinzani mkubwa mnaopokea humu, huruma yangu iwafikie

    Tuko pamoja, nyie ni strrong women ndio maana mnapambana kulea watoto hii midume iliokimbia. Kama unahitaji faraja nicheck inbox ujisiikie and ukumbukie usichana wako ila mind you, sina hela 😁😁😁😁😁😁😁 Mweusi, mwembaba, sura kama mimi, etc i dont discriminate (in big pun's voice)
  5. Kash Patel, Mkurugenzi wa FBI ameanza kwa kuilisha matango pori seneti ya US kuhusu mauaji ya dikteta Idi Amin!

    Akiwa katika mahojiano yake ya kuthibitishwa kuwa Mkurugenzi mpya wa FBI, Kash Patel alipoanza kwa kuelezea historia ya familia yake alisema baba yake alikimbia Uganda ya Idi Amin, dikteta muuaji wa kimbari ambapo Wahindi laki tatu(300,000) waliuwawa kwasababu ya kuwa Wahindi kama yeye tu. Huu...
  6. Mabinti wa haya makabila wengi wao haupati upinzani mkubwa ukirusha kamba

    Wajaluo Wairaq Wanyaturu Wajita Wazaramo Wadigo Wamakonde Wahaya.
  7. Vitu gani ambavyo hupelekea matumizi ya mafuta kuwa mkubwa kuliko kiwango cha kilomita ?

    Ni sababu zipi zinazopelekea kupanda kwa ulikaji wa mafuta?
  8. Karibu Tanga Bi Mkubwa, hapa ndio nyumbani kwa wadigo na wabondei, hapa ndio nyumbani kwa wasambaa na wazigua

    Karibu Tanga Bi Mkubwa, hapa ndio nyumbani nyumbani kwa wadigo na wabondei, hapa ndio nyumbani kwa wasambaa na wazigua. Karibu Tanga kwasababu ina watu wasiojua vurugu, ina watu wasiopenda shari na ina watu wakweli, karibu tanga kwasababu unapendwa huku, najua umesikia sifa zetu za mapenzi na...
  9. Mkutano wa Kahawa Barani Afrika Februari 21–22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam

    Kutakua na mkutano mkubwa wa kahawa barani Afrika utakaofanyika tarehe 21–22 Februari 2025 katika Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huu unaongozwa na Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkutano una lengo...
  10. Makala mengi kuhusu Freemason yanatofautiana sana. Naamini hakuna mwenye concrete info juu yao. Hii ni ishara jinsi gani FM walivyo na weledi mkubwa.

    Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason 😂 Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" 😂 Anyway, Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa wangejulikana kwa kina kuhusu utendaji wao basi ingekuwa rahisi wao kuwa infiltrated na kuwa dis-organized...
  11. DC wa ILALA Asubuhi kaja na "HALA BI MKUBWA" akishirikiana na Mwijaku, Jioni anakuja na CCTV za zaidi ya Million 500 !!

    Mbwembwe za kumtumia Mwijaku na Yale Makamera, Lengo lake Sasa ni hili la CCTV Kwa zaidi ya Milion 500 . Hapo anajua Kamtekenya Mama, kwahiyo Hatoulizwa hiiii gharama vipi? Sawa ni Cameras, kuwepo na Center ya uchakataji wa Taarifa , bado Milioni 500? Jamaa anakula na Kupuliza. sOMA: Pre...
  12. Adui mkubwa wa mwanadamu ni mawazo yake ( Mental block chain)

    Hapa kuna mpangilio mzuri zaidi wa maandishi yako kwa mtiririko mzuri na uwazi: Nguvu ya Hofu na Sanaa ya Kubadilisha Nishati The Keeper Don Pablo – The Master of The Mind Brotherhood Kumtawala mwanadamu, mpandikie hofu ndani yake, na utateka akili yake yote. Hofu ni nguvu kubwa zaidi...
  13. Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kima

    Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume. Kwa mujibu huo wa The Kennel Club inayotambulika duniani kwa jukumu la kusimamia shughuli mbalimbali za mbwa zinasema...
  14. Ndoa za vijana wa kiume na wenza wenye Umri mkubwa kuwazidi!.

    Watu wanaposema ‘ndoa ya kale,’ najua wanamaanisha ‘mapenzi ya kipekee.’ Sasa, nini kinatufanya tuone kuwa kupenda Mshangazi ni jambo la ajabu? Labda ni wakati wa kufikiria upya, kwa maana umri ni namba tu!,Kwa nini tupoteze muda tukisema ‘umri ni kikwazo’? Wakati mwingine, mapenzi ya kweli...
  15. Hamisa Mobetto anafanya kazi gani inayompa umaarufu mkubwa nchini?

    Nikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
  16. Mwanaume akimpenda sana mwanamke husababìsha uwezekano mkubwa wa kuachana

    Kisaikolojia mwanaume huwa hapendi sana isipokuwa Mwanamke ndiyo ambaye huwa anapenda sana. Ikitokea mwanaume anampenda sana Mwanamke husababisha migogoro ya kimapenzi yenye kujirudia rudia, mwanaume huanza kulalamika, kususa,kununa, kutishia kujiua, kutishia waachane,kulia,kupiga magoti lakini...
  17. K

    Watu niliokuwa nawaamini wakati mdogo, nilipokuwa mkubwa nikagundua kumbe hawafai kabisa

    (1)Watu wazima nilijua ni wema hawatendi Zambi,kama kuiba na kuzini,kumbe mmhhhh (2)Viongozi wa dini nilijua wanamuwakilisha Mungu kutokana na yale wanayoyaonge kumbe,,,,,,,,, (3)Wanasiasa na majina yao makubwa,niliwaheshimu sana wakati nawasoma shule nilipokuja kuwa mkubwa nimegundu ni wezi...
  18. Machawa; Kwanini Wapo; Kila Mkubwa na Machawa Wake; Madhara ya Machawa; na Njia za Jamii Kuyashinda Madhara ya Machawa

    Machawa ni watu wanaojipendekeza kwa wenye mamlaka kwa lengo la kupata manufaa binafsi kwa kuwapongeza na kuwafurahisha kupita kiasi, mara nyingi kwa gharama ya ukweli na uadilifu. Wanaishi kwa kuwa mamlaka huvutia wale wanaotafuta usalama, ushawishi, au faida binafsi. Mkakati wao wa kuendelea...
  19. Danadana dhamana ya Dkt. Slaa; Wakili Madeleka ampongeza DPP kwa kutumia Sheria vibaya kukandamiza Watu

    MADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kueleza kuwa Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mshtakiwa huyo Mahakamani kwa...
  20. FidQ: anatuachia ujumbe mkubwa sana kwenye Ngoma yake ya SUMU, tuijadili

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU Ngoma inaitwa SUMU imeimbwa na Farid kubanda FidQ Ina maneno ambayo yaanza kwa kisukuma lakin nitayatafasiri Kwakifupi Ngoma hii imesheheni ujumbe mzito sana Watukuobhutaga magulu wakusege, kwalounguno ya bhulema wako, Bhene bhalelemeja bhango jako douhu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…