Nahisi nina mkosi wapenzi wangu wa zamani wote wameolewa

Wakuacha

JF-Expert Member
May 19, 2015
2,041
1,323
Habari zenu wakuu,

Kiukweli mi nakosa raha kabisa nashindwa kuelewa yaani wapenzi wangu wote ambao nimeshawahi kuwa nao wote wameolewa.

Sina X hata mmoja ambaye yuko single na wanaolewa kwa ndoa na sherehe kubwa, nipo nawaza sijui na mkosi gani mimi.

Huu ni mkosi gani au lifanyio langu huwa linawatia baraka.
 
Habari zenu wakuu..

Kiukweli mi nakoswa raha kabisa nashindwa kuelewa yaani wapenzi wangu wote ambao nimeshawahi kuwa nao wote wameolewa, sina X hata mmoja ambaye yuko single na wanaolewa kwa ndoa na sherehe kubwa,, nipo na waza sijui na mkosi gani mimi, huu ni mkosi gani au lifanyio langu huwa linawatia baraka..
Kwa hiyo mkosi wako upo wap? Hiyo ni bahati mkuu
 
Sasa unapokua nao huwazi ndoa au unasubiri wenzio waoe uanze kulalamika
 
Nakushauri ujiangalie sana.. jichunguze kuna kitu kibaya uliwafanyia au uliwaumiza sana wakaacha maneno ambayo si mazuri , hayo maneno ndio laana inafanya kazi.
Katubu na umwombe Mungu sana
 
Sasa kama hutaki kuoa unataka na wengine wasioee,, Wacha watu wawowane lol,, alafu lipia tangazo lako na ulieke vizuri WALE WOTE WENYE GUNDU ZA KUOLEWA UJE UWATOLEE WAKAOLEWE jokes
 
Habari zenu wakuu,

Kiukweli mi nakosa raha kabisa nashindwa kuelewa yaani wapenzi wangu wote ambao nimeshawahi kuwa nao wote wameolewa.

Sina X hata mmoja ambaye yuko single na wanaolewa kwa ndoa na sherehe kubwa, nipo nawaza sijui na mkosi gani mimi.

Huu ni mkosi gani au lifanyio langu huwa linawatia baraka.
Sasa km ulishaachana nao kinakuuma kitu gani mkuu?,au ww hujapata mbadala?
 
Kama age bado inadai kula ujana kijana acha kulia lia.tafuna mifupa meno yakiwa bado yapo.na mabinti wa siku hizi ukiwa na ela tu wanakutongoza wao ata kama domo zito upati shida​
 
Habari zenu wakuu,

Kiukweli mi nakosa raha kabisa nashindwa kuelewa yaani wapenzi wangu wote ambao nimeshawahi kuwa nao wote wameolewa.

Sina X hata mmoja ambaye yuko single na wanaolewa kwa ndoa na sherehe kubwa, nipo nawaza sijui na mkosi gani mimi.

Huu ni mkosi gani au lifanyio langu huwa linawatia baraka.
Mkuu mi nawashauri wadada wa JF wakitaka kuolewa wakutafute uwape GEGEDO then uwaache kwa nia Nzuri lakini halafu mara tuu ya kuwaacha kama jina lako linavyosema wataolewa...Ili waje kuolewa Mkuu..wasiacha bahati yao hii
 
Habari zenu wakuu,

Kiukweli mi nakosa raha kabisa nashindwa kuelewa yaani wapenzi wangu wote ambao nimeshawahi kuwa nao wote wameolewa.

Sina X hata mmoja ambaye yuko single na wanaolewa kwa ndoa na sherehe kubwa, nipo nawaza sijui na mkosi gani mimi.

Huu ni mkosi gani au lifanyio langu huwa linawatia baraka.
Sasa na wewe si uoe??
 
Back
Top Bottom