Wakenya watalazimika kulipa zaidi ya KSh 1.7 Bilioni kama faini kwa kuchelewesha kulipa mkopo wa reli ya SGR kutoka kwa Benki ya Exim ya China katika mwaka wa fedha wa 2023/24.
Hii ni kutokana na mkopo wa KSh 167.5 Bilioni ambao Shirika la Kenya Railways limeshindwa kulipa, ukichukua asilimia...
Tanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi
Mwanasheria wa serikali alitaka mazungumzo zaidi juu ya mkataba kwa sababu kuna mambo bado kama serikali hajaridhika nayo
Wito ni huu tunaomba serikali isi-sini huo mkataba iangalie option nyingine...
Mikopo husaidia zaidi kwenye Expansion, sio kuanza from zero
Kama ni kuanza biashara mpya Inapendeza zaidi kuanza biashara kwa mtaji wako au sehemu ndogo sana ya mkopo ili upate uzoefu, uzijue changamoto na faida za biashara, baada ya hapo kopa zaidi au tuma pesa zako kuwekeza zaidi
Wakuu habari za saa,
Mimi ni mwanafunzi niliyechaguliwa Kozi ya clinical dentistry .
Katika utoaji wa mkopo Kozi yangu pia ni moja ya kozi iliyopewa kipaumbele kupata mkopo ngazi ya diploma.
Lakini tangu nilipofanya application mwezi wa nane mwaka huu hadi Leo hii batch zote zilizotangazwa...
Za asubuhi?
Nimeskia sehemu kwamba wanaanzisha Sheria uchwara kama hukujiandikisha kuchagua huwezi kupata mkopo benki, huwezi kumdhamini mtu.
Unatambulika sio raia wa nchi hii hali ni mbaya katika daftari la uandikishaji wananzengo waligoma.
Habarii ndugu zangu Wanajf,
Mimi ni mwajiriwa wa serikali japo bado sijathibitishwa kazini,ila nimepataa changamoto ambayo inahitaji kama 2M Hivi kuweza kuitatua.
Je? Ninaweza kupata mkopo NMB? Kama jibu ni ndio nilikuwa naomba kujua vigezo vyao na huchukua Muda gani mpaka kupata.
Ahsanteni Sana;
Habarini wakuu kama title hapo juu inavojieleza....
nimepewa mkopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 lakini kuna mambo hayajakaa sawa hivyo sioni kama naweza kusoma this year hivyo basi naombeni msaada kwa anayejua utaratibu wa kusitisha mkopo wa elimu ya juu (HESLB)
Kwenye gazeti la leo la Mwana Habari pana habari inayosemeka 'Rais Samia apeleka kicheko elimu ya juu'.
Habari hii inahusu mikopo kwa wanafunzi wa vyuo.
Kwa kweli nimefadhaika mno kwani niña binti ambae kateuliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salamm (UDSM) kwa mwaka wa kwanza.
Tarehe 4/09 nililipa...
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeeleza kuwa limefikia makubaliano na Serikali ya Tanzania yatakayowezesha utolewaji wa mkopo nafuu wa dola za Kimarekani milioni 265.78 sawa na takribani shilingi bilioni 720 kupitia utekelezaji wa program ya mikopo nafuu ya IMF ya Extended Credit Facility...
Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni...
Habari?
Nina milion2 kama kianzio naona nitafute bajaji ya mkopo, vipi inawezekana na inautaratibu upi?
Hii pesa nimekosa wazo zuri la biashara naona itaisha tu.
Au kama kuna mtu ana wazo zuri wakuu anisaidie.
Natanguliza Shukurani.
Yani wiki ya 3 hakuna mpunga wowote, ukiwauliza ni stori tu wanakupatia
Sasa ni kwamba hawa watu hawana liquidity nzuri au nini, basi hata kama ni wanafanya analysis juu ya mkopaji haiwezekani ikawa muda wote huu.
Imekuwa benki ya kiduanzi, simu hawapokei,
Nyie wenzangu mnachomeshwaga...
Nilijenga kwenye kiwanja cha Mama mkwe, akaamua kuchukua mkopo kwa kutumia kiwanja hicho na wakataka mimi ndiyo nilipie!
Aliniambia tusijenge kwenye kiwanja changu kwa sababu ni mbali na mjini. Kwa kweli, niliona kama ni mbali, lakini akaniambia kuwa kuna kiwanja mama yake alimpa kama zawadi...
Mwezi uliopita nilipata shida ya pesa nikaona kuliko kwenda kwa kausha damu bora niende NMB nikafanye top-up sababu nilikuwa tayari namkopo, lakini baada ya kuchungulia account yangu wananiambia bado inasoma negative siwezi kupata chochote!
Tangu nichukue mkopo ni mwaka mmoja sasa, lakini...
pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma
tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi,
Tunapatikana mbezi beach mtaa wa baraka
Kwa mawasiliano tupigie 0739799115
Wandugu habarini,
Nina kijana alikuwa mnufaika wa mkopo apo S.U.A
Akakutana na changamoto baada ya mzazi kufariki akasitisha Masomo
Mwaka jana aka apply akapata tena apo S.U.A
Sasa changamoto iko kwenye kuomba tena mkopo
Aliambiwa alipe 25% ya deni lake la nyuma na ameshalilipa
Changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.