TANZANIA YAUNGA MKONO UHURU WA CHAKULA KATIKA MKUTANO WA UNFSS+4 JIJINI ADDIS ABABA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa ngazi ya Mawaziri uliofanyika tarehe 29 Julai 2025, jijini Addis...
Utawala wa Wapalestina, mjini Ramallah, umesema kuwa wao ndio mamlaka halali ya utawala wa eneo lote la Wapalestina, na kwamba Kundi la kigaidi la Hamas, lisalimishe silaha zake kwa utawala halali, na wasijihusishe na chochote kwenye utawala wa wapalestina.
Waziri mkuu. Mohammad Mustafa ...
Amar Bharati ni raia wa India aliyeweza kuunyosha mkono wake juu bila kushusha toka mwaka 1973 kwa kuashiria kumtukuza mungu Shiva.
Ameweka nadhiri hii kwa lengo la kusafisha na kutakasa nafsi yake na kuonyesha Imani thabiti kwa Shiva.
Kwa miaka Mingi mkono wake umekuwa juu na kutengeneza...
Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake.
1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa...
Balozi mstaafu wa Tanzania nchini Cuba ndugu na comred Humprey Polepole anatarajia kuzungumza na umma hapo kesho 17-07-2025. Sina uhakika atatumia platform gani ila jambo hili ni kubwa na tunalisubiri kwa hamu.
Huu sio wakati wa kuangalia sana madhaifu ya comred Polepole bali ni wakati wa...
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesisitiza kuwa ataendelea kuiunga mkono Urusi katika vita dhidi ya Ukraine. Ameitoa kauli hiyo katika mkutano wake na Waziri wa Mambo ya nje ya Urusi Sergei Lavrov mjini Wonsan.Kim Jong Un amesema nchi hizo mbili zina mitazamo inayofanana kuhusu masuala...
"Siku hizi wanaruka na helkopta, inaonekana ile Helkopta wamepewa na serikali. Sisi tunaoruka na helkopta CHAUMMA leo ndiyo tulikuwa tunaruka na Helkopta Chadema mwaka jana, mwaka juzi mpaka mwaka 2005. Leo wao wanaruka na Helkopta? sasa wakubali kama hii Helkopta tumepewa na serikali waseme ya...
Na nimesikitika sana kusikia kuwa baadhi yenu Viongozi wa Simba SC ambao nawaheshimu Personally mkisema kuwa moja ya sababu Kuu ya kutaka kumuacha Nahodha Mohammed Hussein Zimbwe Jr Tshabalala ni kuwapiga Miba (Kuwaroga) Mabeki wazuri wa Nafasi yake ambao wanamzidi Uwezo.
Ngojeni leo...
Wana JF habarini..!!
Sio kawaida yangu ku post post thread humu JF kwa hivi karibuni, ila nimekuwa mchangiaji mkubwa kwa njia ya kutoa maoni kwenye thread zingine nyingi tu, ila leo moyo wangu umenituma toka ndani kabisa, nipaze sauti hii juu ya Makonda Christian.
Mh. Makonda, mimi kada wa CCM...
Ndugu zangu Watanzania,
Nipo kimya na nimetulia kwa utulivu mkubwa sana huku macho ,masikio na mawazo yangu yote yakiwa yameelekezwa katika kufuatilia kwa kina sana na kwa ukaribu mkubwa sana zoezi la uchukuaji ,ujazaji na urejeshaji wa Fomu za kuwania Ubunge kupitia chama changu cha CCM...
Uchaguzi wa TFF una viashiria vya rushwa kwenye upande wa kupata endorsements kutoka kwa wajumbe. Mwenye fedha nyingi anaweza kununua endorsements zote na wengine kukosa hata moja.
Uchaguzi umeharibika kabla haujafanyika.
Ili mtu kugombea nafasi ya TFF mashariti ni kulipa TZS 500,000 na kupata...
Ndugu zangu Watanzania,
Unaweza kuniita majina yote mabaya ,unaweza nitukana kwa matusi yoyote yale utakayo,unaweza niita lichawa au likupe ,unaweza nitemea hata mate,unaweza kunichukia kuliko hata shetani .
Lakini pamoja na hayo yoote napenda kuwaambieni ukweli mchungu kabisa ambao pengine...
🎙ENG. HERSI KUHUSU KARIA 👇
🗣"Nikuhakikishie sisi kama wadau wa soka tutaendelea kukuunga mkono Rais wa TFF Wallace Karia na Kamati ya utendaji, nipongeze wazo zuri ambalo kaka angu Mangungu amelitoa na mimi naliunga mkono kwa asilimia 100%, sisi wajumbe wa mkutano mkuu tumelipitisha."- Eng...
Kampuni zinapofanya modifications kwenye logo zao nakuzitumia, kunakuwaga na mawazo tofauti, lakini hili la vodacom litaleta mitizamo tofauti hasa kwa tusiosupport LGBTQ.
Hii ni account ya X inayomilikiwa na kampuni mama ya Vodacom SA ambao ndio wamiliki wa Vodacom TZ
Tetesi:
Kuna hati hati inaendelea wenda U.S Army na U.K kuingia mzigoni kumuunga mkono Israel kumtandika Iran.
Iran imeseme military bases zote za U.S hapo mashariki ya kati wata zigeuza kuni za kuwashia moto.
Tukae chonjo bora hali hii isifike level hii Tanzania nasi maumivu makali yatatuhusu...
Ni kipi hasa kimewavutia zaidi vyama vya wapinzani nchini hata kujizuia kufikiria kusimamisha wagombea urais kupitia vyama vyao vya siasa, na kutoa fursa hiyo adhimu kwa kuunga mkono azma ya Dr.Samia Suluhu Hassan kugombea nafasi ya uraisi wa JMT katika uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.