mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono kukataa misaada ya uchaguzi kutoka nje

    Misaada kutoka nje kugharamia uchaguzi ni hatari sana kwa uhuru wetu. Misaada yao inaambatana na maagizo na maellekezo kwetu juu ya nani achaguliwe na ukichaguliwa ufanye nini kwako na kwao. https://youtu.be/raTu83yDZHQ?si=V0tZ0hgcFG9zM8El
  2. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania “JKT: Mkono wa Kijiji, Moyo wa Mji”

    Makala ya Pili: Taifa halijengwi na kauli nzuri tu za ahadi ya Lami na maji, wala halisimamishwi na ndoto zisizokuwa na miguu. Taifa linajengwa na mikono ya watu wake, linadumishwa na mshikamano wa roho za watoto wake. Hii ndiyo maana tuliliasisi Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) — si kama mapambo...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hongera sana mwanariadha Gabriel Geay na inabidi serikali ikuunge mkono

    Hii ndo maana halisi ya kurudisha kwa jamii. Kijana baada ya kufanikiwa kwenye mchezo wa riadha kaamua kurudi kijijini kwao na kujenga kambi ya kisasa ya mchezo wa riadha kisha kuwaweka kambini vijana wadogo wenye vipaji anaowahudumia kila kitu. Ila kanishangaza mno kwa uwekezaji anaoufanya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Team Kalemani wahamia kwa Lutandula. Hawamuungi mkono Cornel Magembe

    Inashangaza sana. Hii inaitwa hasira za mkizi. Wapambe wote wa Kalemani wamehamia kumuunga mkono Lutandula wa Chato kusini Wamemtenga kabisa Cornel Magembe CCM chato watu wanachuki sana. Nipo hapa stendi ya Zamani Chato nakunywa kahawa
  5. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono hoja ya Oscar Oscar

    Wabongo wana roho mbaya sana makazini no wonder niliacha kazi sababu ya majungu nikaanzisha biashara zangu!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Huku kwetu unakatwa na bado unaunga mkono chama

    Hakuna haja ya kuongeza sauti. Ndiyo huku kwetu tunakuta hata kama ulipata kura 90%, tunamleta aliyepata 1%. Kisha hulalamika, na unaomba wajumbe wako waunge mkono zile 1%. Ee ndo hivyo bana, utafanyaje sasa. Hata kukaa kimya huruhusiwi.
  7. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilichotokea Baada ya kubadilisha uvaaji wangu wa saa kutoka mkono wa kushoto na sasa kuwa kulia

    Nimekuwa na Nguvu ya mamlaka, heshima, deal zangu za pesa zinaenda vizuri nikiongea na mtu ana kwa ana huwa ananisikiliza na kunielewa leo kuna mkuu mmoja niliambiwa ni kisiki ila leo kakubali kutia saini kuruhusu muamala. Nathibitisha kwa kusema kuwa kuna Nguvu katika uvaaji wa saa mkono wa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Baraza la katiba nchini Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi wa kumuondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa Urais

    Baraza la Katiba la Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo wa kumwondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa urais wa tarehe 12 Oktoba. Wakati mwanasiasa huyo machachari akiondolewa, Rais Paul Biya mwenye umri wa miaka 92 — ambaye pia alikumbana na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makosa ya kiuongozi aliyoyafanya Rais Samia na kujikuta anapoteza uungwaji mkono wa wananchi kwa wingi na kasi ya kutisha

    Rais Samia alipoingia madarakani kwa kiwango kikubwa alipokelewa vizuri sana na watanzania. Wengi walimuona kama hewa mpya, walimuona tumaini jipya baada ya maisha ya mbilingebilinge ya utawala wa awamu ya tano. Samia alitetewa, kukingiwa kifua dhidi ya critics mbalimbali, akapewa jina la mama...
  10. PMWAKA

    JamiiForums Tanzania Nimefungwa POP mkononi, lakini naskia maumivu makali mkwenye mkono, hii ni kawaida?

    Wakuu nisaidieni hili jambo. Nilienda kunyooshwa mkono (ulijikunja baada ya ajari), nikapigwa nusu kaputi sababu ulikua stiff ili.ukinyooka nifanyiwe surgery. Sasa umenyooshwa na nimewekewa pop, leo siku ya 2, lakini maumivu hayapoi ndani ya pop, japo nilipewa maelekezo ikitokea ngozi ya vidole...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Uingereza yapanga Kutambua Taifa la Palestina Septemba Ikiwa Israel Haitasitisha Vita Gaza

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kuwa ifikapo Septemba mwaka huu, Uingereza itaitambua rasmi Palestina kama taifa huru endapo Serikali ya Israel haitachukua hatua madhubuti kukomesha vita na janga la kibinadamu katika Ukanda wa Gaza. Taarifa hiyo imetolewa Julai 29, 2025...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaunga mkono uhuru wa chakula katika mkutano wa unfss+4 jijini Addis Ababa

    TANZANIA YAUNGA MKONO UHURU WA CHAKULA KATIKA MKUTANO WA UNFSS+4 JIJINI ADDIS ABABA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa ngazi ya Mawaziri uliofanyika tarehe 29 Julai 2025, jijini Addis...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Wapalestina Wawataka Hamas Kusalimisha Silaha. Wasema Hawaungi Mkono Ugaidi

    Utawala wa Wapalestina, mjini Ramallah, umesema kuwa wao ndio mamlaka halali ya utawala wa eneo lote la Wapalestina, na kwamba Kundi la kigaidi la Hamas, lisalimishe silaha zake kwa utawala halali, na wasijihusishe na chochote kwenye utawala wa wapalestina. Waziri mkuu. Mohammad Mustafa ...
  14. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Binadamu pekee aliye nyoosha mkono juu kwa miaka zaidi ya 52 bila kuushusha

    Amar Bharati ni raia wa India aliyeweza kuunyosha mkono wake juu bila kushusha toka mwaka 1973 kwa kuashiria kumtukuza mungu Shiva. Ameweka nadhiri hii kwa lengo la kusafisha na kutakasa nafsi yake na kuonyesha Imani thabiti kwa Shiva. Kwa miaka Mingi mkono wake umekuwa juu na kutengeneza...
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mimi Ponjoro wa Kinondoni October Sitamuunga mkono Samia Suluhu Hassan. Namwomba Apumzike kama Philip Mpango na Majaliwa Majaliwa

    Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake. 1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Balozi Humphrey Polepole aungwe mkono ana jambo zuri kwa watanzania. Tunasubiri kwa hamu kusikia hotuba yake hapo 17-07-2025.

    Balozi mstaafu wa Tanzania nchini Cuba ndugu na comred Humprey Polepole anatarajia kuzungumza na umma hapo kesho 17-07-2025. Sina uhakika atatumia platform gani ila jambo hili ni kubwa na tunalisubiri kwa hamu. Huu sio wakati wa kuangalia sana madhaifu ya comred Polepole bali ni wakati wa...
  17. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yaahidi kuendelea kuiunga mkono Urusi

    Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesisitiza kuwa ataendelea kuiunga mkono Urusi katika vita dhidi ya Ukraine. Ameitoa kauli hiyo katika mkutano wake na Waziri wa Mambo ya nje ya Urusi Sergei Lavrov mjini Wonsan.Kim Jong Un amesema nchi hizo mbili zina mitazamo inayofanana kuhusu masuala...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigaila: Hakuna mkono wa serikali CHAUMMA

    "Siku hizi wanaruka na helkopta, inaonekana ile Helkopta wamepewa na serikali. Sisi tunaoruka na helkopta CHAUMMA leo ndiyo tulikuwa tunaruka na Helkopta Chadema mwaka jana, mwaka juzi mpaka mwaka 2005. Leo wao wanaruka na Helkopta? sasa wakubali kama hii Helkopta tumepewa na serikali waseme ya...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Crystal palace aikosa nafasi ya kushiriki Europa ,Huku Bongo kuna mtu ana mkono katika timu 8

  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nasikia mnataka kuwaacha Nahodha Zimbwe Jr na Kapombe. Kwa Kapombe nawaunga mkono ila kwa Nahodha Zimbwe nakataa 100%

    Na nimesikitika sana kusikia kuwa baadhi yenu Viongozi wa Simba SC ambao nawaheshimu Personally mkisema kuwa moja ya sababu Kuu ya kutaka kumuacha Nahodha Mohammed Hussein Zimbwe Jr Tshabalala ni kuwapiga Miba (Kuwaroga) Mabeki wazuri wa Nafasi yake ambao wanamzidi Uwezo. Ngojeni leo...
Back
Top Bottom