Wengi wetu tunajua na tunaona pete za ndoa zikivaliwa na wanandoa katika kidole cha pili kutoka mwisho, mkono wa kushoto.
Naomba nisaidiwe kujua, Je, ni kwa nini pete hiyo ya ndoa inavaliwa kwenye kidole hicho cha mkono wa kushoto na si kidole kingine kwenye mkono huohuo au mkono wa kulia...