mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Naunga mkono Chipukizi katika siasa na kada zingine

    Salaam, Shalom!!! I declare interest, Rabbon ni mdau wa watoto, nimekuwa katika kitengo hicho Kwa miaka mingi sasa katika Imani. Viongozi wapo wa Kuzaliwa Toka tumboni, na wapo wa kufundishwa. Likewise wanasiasa wa Kuzaliwa wasizuiwe. Katika umri wa kuanzia miaka 4 Hadi mitano, tayari unaweza...
  2. I

    Russia yaiunga mkono UAE dhidi ya Iran kwenye mzozo wa kugombania visiwa

    Wakati mzozo wa kugombania visiwa vidogo katika ghuba ya Hormuz ukirindima kati ya mataifa mawili ya Iran na Falme za Kiarabu (UAE), Iran imeshtushwa na kitendo cha mshirika wake mkubwa Russia kuiunga mkono UAE katika mzozo huo...
  3. Asilimia 72 ya wapalestina waiunga mkono Hamas kupigana na Israel

    Utafiti wa Khalil Shikaki,mpalestina mwenye ofisi zake Ramallah ameweka wazi utafiti wake unaobainisha kuwa idadi kubwa ya wapalestina wanaunga mkono maamuzi ya Hamas kupambana na Israel. Kwa mujibu wa utafiti huo ambao umefanyika pande zote za Palestina,jumla ya 72% ya waliohojiwa wamesema...
  4. RC Chalamila: Ladha ya bia inategemeana na mhudumu

    Naunga Mkono kauli hii Kabambe ya RC Chalamila --- Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewapongeza wamiliki wa baa na kumbi za starehe kwani uwekezaji wao umetoa ajira kwa watu wengi, na kwamba wakati mwingine ladha ya bia inategemeana na mhudumu.
  5. Wenza wa Viongozi wawashika mkono Waathirika wa mafuriko Hanang

    Umoja wa Wenza wa viongozi "New Millenium Women Group" wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna ilivyokabiliana mafuriko yaliyosabisha maporomoko ya tope kutoka Mlima Hanang, Mkoani Manyara. Akizungumza na waathirika katika kambi iliyopo...
  6. Nawalaumu sana Hamas, Serikali ya Israeli pamoja na wale wanaowaunga mkono

    Moja kwa moja.. 1. Kwa nini nawalaumu Hamas ? Sikatai ukweli kwamba Raia wa Palestine wameishi kwa mateso miaka mingi chini ya utawala wa Wazayuni,wakiuwawa kunyimwa haki za msingi nk na nakubali kwamba wanayo haki ya kupambana katika kujikomboa na madhila wanayopitia. Ninapowapinga ni njia...
  7. D

    Kuhusu Kuunga Mkono Jitihada za Serikali, St. John University, Dodoma Mjiongeze

    Sekta binafsi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi. Pale st John university kikuyu wana eneo kubwa sana ambalo limekaa kikmkakati. Ukitoka kwenye jengo lao jipya la utawala, wana eneo kubwa ambalo linaenda mpaka kikuyu centre. Kama walivyofanya ndugu zao pale kanisani mjini kuwekeza kwenye jengo...
  8. Biden amekatishwa tamaa ikiwa anaamini "wameanza" tu kupoteza uungwaji mkono, walipoteza uungwaji mkono muda mrefu uliopita

    Wanaukumbi. https://x.com/qudsnen/status/1734635313849397334?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw Mambo yameanza kuwa magumu kwa Israel na Marekani hali tete baada ya Marekani kumtekeza Israel wameanza kushtuka hawafahamu hatina ya vita wanauwa raia wasikuwa na hatia na Hamas ndiyo kwanza wanaanza...
  9. Taifa Stars chini ya TFF yaunga mkono Kampeni ya 'Piga Mpira Usipige Mwanamke'

    Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ chini ya uongozi wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) wanaunga mkono Kampeni ya PIGA MPIRA SIO MWANAMKE. Taasisi isiyokuwa ya Kiserikali THAMANI WOMEN TANZANIA (thamani.tz) inaendesha kampeni hiyo ya kupaaza sauti dhidi ya ukatili kwa wanawake na...
  10. Hatimaye Haji Manara atangaza ndoa rasmi na ZaiyLissa. Mastaa kibao akiwemo JB wameunga mkono

    Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika . Inaonekana Zainabu fundi sana naona ndugu yetu Haji Manara kakolea na penzi analopewa na Zai mpaka kaamua kuvunja kiapo chake cha kutooa tena mpaka anaingia kaburini. Halafu imekuwa ghafla sana aisee hata miezi mitatu haijaisha Bugati...
  11. T

    Nawezaje kuwa na tabia ya mkono wa birika? Natoa sana kwa watu na nahonga sana. Uhongaji utanifilisi

    Wakuu habari za jioni. Wakuu naomba kukiri mimi usingekua uhongaji labda ningekua namkaribia msukuma kwa mpunga lakini sijui ni pepo nimelogezewa la kuhonga ama namna gani. Wakuu, inapokuja swala la kuhonga kwa kweli hua sijiulizi mara 2, kama ninacho natoa tu. Hili sio kwa wanawake tu, hata...
  12. Hongera Jokate na UWT kwa kuwashika mkono Hanang wakati huu wa shida

    Anaandika Jokate kupitia twitter. "UWT kwa kutambua waathirika wakubwa wa majanga kama haya ni akina mama na watoto, leo tumefanya kikao cha dharula na kuanza zoezi la kutafuta vifaa vya kuwasaidia wakina mama na watoto walioathirika na maafa Hanang, Manyara. "Kwa siku ya leo tumeanza na...
  13. Mashambulizi holela ya Israel. Gaza yafanya Wapalestina wengi kuwaunga mkono Hamas

    Wanaukumbi. 🚨 Kura ya Kura ya Kushtua: 75% ya Wapalestina Wanaunga mkono Shambulio la Oktoba 7 dhidi ya Israeli Ni asilimia 13 pekee ya Wapalestina wanaopinga mgomo wa Oktoba 7 dhidi ya Israel, ambao ulisababisha vifo vya watu 1,400. Kura ya maoni ya Ulimwengu wa Kiarabu kwa Utafiti na...
  14. Waziri wa Ulinzi wa Israel kachanganyikiwa asema watu wote wanaounga mkono Hamas wafe wote

    Wanaukumbi. WAZIRI WA ULINZI WA ISRAELI ANASEMA WATU WOTE WANAOUNGA MKONO HAMAS LAZIM WAFE WOTE. Alisema wafuasi wote wa Hamas wa Palestina duniani "wanapaswa kufa" hata wale wasio na silaha "waliovaa suti" Baada ya kipigo huko Gaza kila kiongozi wa Israel anasema lake kila mmoja...
  15. Rais Samia aungwa mkono kuachana na vizuizi vya biashara mipakani

    Baadhi ya Mawaziri wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameunga mkono na kujipanga kutekeleza ushauri wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuachana na mifumo ya kuzuia bidhaa na biashara mipakani. Wakati wa ufunguzi wa Mutano wa 23 wa Wakuu wa Nchi za EAC, Rais Samia alishauri...
  16. Rais wa Cuba aongoza maandamano kuunga mkono Hamas. Waziri Mkuu wa Spain amwambia Netanyahu taifa la Palestina ni lazima liwepo

    Rais Miguel akiongoza maandamano Havana kuwaunga mkono Hamas. Katika hali ya mabadiliko ya haraka kufuatia mashambulizi ya Hamas ya Oktoba sana huko Cuba Rais wa nchi hiyo ameongoza maandamano ya maelfu ya raia wake katika kuwaunga mkono Hamas na harakati zao za kutetea haki ya kuishi kwenye...
  17. L

    China yaunga mkono mchakato wa maendeleo ya viwanda barani Afrika

    Tarehe 20 Novemba ni Siku ya Maendeleo ya Viwanda Barani Afrika. Ikiwa ni sehemu muhimu ya ushirikiano wa kirafiki kati yake na Afrika, China imewajibika kuzisaidia nchi za Afrika kuendeleza viwanda, na kuchukua hatua nyingi zinazolingana na hali halisi ya nchi hizo. Baada ya kuingia katika...
  18. Siri ya Jumapili, Waweza kujua ukubwa wa maumbile ya mwanaume kwa kuangalia vidole pekee, vidole vinaeleza mengi

    Elimu ni bahari haina mwisho, Leo nawapa darasa la kibailojia linalotoa elimu kuhusu njia ya kufahamu ukubwa wa maumbile ya mwanaume Pindi nikiwa nasoma boarding kuna rafiki alikuwa anapenda sana kujua mambo ya miili ya watu, aliwahi kutuelimisha urefu wa mtu unaaweza kupimwa akinyoosha mikono...
  19. Wakristo Bethlehem alipozaliwa Yesu wabomoa mapambo yote kuomboleza wanaouliwa Gaza na kuunga mkono mashahidi wa Palestina

    Baraza la mji wa Bethlehm alipozaliwa nabii Issa (Yesu) limeamua kubomoa mapambo yote ya krismas yaliyopo eneo hilo ili kuomboleza vifo vya watoto huko Gaza na mauwaji yanayoendelea maeneo yanayowazunguka. Huku mainjinia wa mji huo mtakatifu wakiendelea na kazi ya kubomoa aina zote za mapambo...
  20. M

    Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

    Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu faragha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga ushoga. == Yaliyozungumzwa ktk video hiyo. Edwin Odemba alimuuliza Zitto Kabwe kama yupo tayari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…