Unaendesha Auto transmission mkono wa nini kwenye gear lever si utafute Manual

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
2,705
3,548
Nashangaa sana mtu agari yake Auto ila mkono hautoki kwenye gear handle ile,sasa kama una mzuka si uilipue uchkue kaz kazin manual, haya ma mazda cx5 yapo manual,honda fit anazo manual hybrid,probox anazo,toyota rush manual ipo, strlalet zipo. Manual ndio gari na ndio mana landcruiser zote za maana lazima uikute manual.
 
Jula!!
Kwa nini unakaa kuchungulia ndani ya magari ya watu? Unakua unatafuta nini?
 
Nashangaa sana mtu agari yake Auto ila mkono hautoki kwenye gear handle ile,sasa kama una mzuka si uilipue uchkue kaz kazin manual, haya ma mazda cx5 yapo manual,honda fit anazo manual hybrid,probox anazo,toyota rush manual ipo, strlalet zipo. Manual ndio gari na ndio mana landcruiser zote za maana lazima uikute manual.
Yani kama unanisema mimi vile
 
Mazoea tu ndugu..!! Ni sawa tu na anayeweka kipepsi dirishani..!!
 
Nashangaa sana mtu agari yake Auto ila mkono hautoki kwenye gear handle ile,sasa kama una mzuka si uilipue uchkue kaz kazin manual, haya ma mazda cx5 yapo manual,honda fit anazo manual hybrid,probox anazo,toyota rush manual ipo, strlalet zipo. Manual ndio gari na ndio mana landcruiser zote za maana lazima uikute manual.
Kwa gari automatic Huwa hutakiwi kubadili gear? Unajua kazi za zile gear zingine kwenye gari ya automatic? Unafikiri waliweka mapambo?
 
Mtoa Uzi uliomba lift ukataka kupiga na honi.
Hakuona gia zingine kwenye gari ya automatic kaona D tu ya Drive bwege huyo kaletewa Driving license ya kuhonga Traffic huyo hajui automatic car Ina gia zingine zaidi ya hiyo D ya drive na hajui matumizi yake atakuja Kufa huyo Kuna sehemu Lazima uhame gia ya D ya Drive uingie gia zingine nafikiri huyo bwege automatic car anachojua ni gia ya D ya drive na reverse tu mpumbavu mkubwa huyo
 
Nashangaa sana mtu agari yake Auto ila mkono hautoki kwenye gear handle ile,sasa kama una mzuka si uilipue uchkue kaz kazin manual, haya ma mazda cx5 yapo manual,honda fit anazo manual hybrid,probox anazo,toyota rush manual ipo, strlalet zipo. Manual ndio gari na ndio mana landcruiser zote za maana lazima uikute manual.
Sema lancruiser za shamba usigeneralize.

Hakuna LC300 inakuja na manual.

Hizo kilimo kwanza LC200 zenye manual ni kama 1% tu. Baadhi tu ya matoleo ya 1GR-FE ndio yanakuja na manual gearbox. Zilizobaki zote za auto.
 
Kifupi. Labda kama humiliki gari, hmna raha kama left hand yako ikawa katika pozi la utulivu haswa kama kuna handle kama hamna basi ukae kwenye gia pale. Kuna utulivu sana pale . Kuna vibration flani ya gear box inafanya mkono urelax pale.
So comfort, habit, though to some drivers, unconscious behaviour, wengine una feel sense ya engagement na gari yako.
 
Nashangaa sana mtu agari yake Auto ila mkono hautoki kwenye gear handle ile,sasa kama una mzuka si uilipue uchkue kaz kazin manual, haya ma mazda cx5 yapo manual,honda fit anazo manual hybrid,probox anazo,toyota rush manual ipo, strlalet zipo. Manual ndio gari na ndio mana landcruiser zote za maana lazima uikute manual.
2025 Samia Tena
 
Unapewa lift kisha unataka kumpangia mmiliki wa Gari cha kufanya?
Akiweka mkono kwenye gear lever wewe unapungukiwa nini?

Kila mtu na starehe yake,tusipangiane.
 
Back
Top Bottom