Hii habari ya Kuuwawa kwa Netanyahu, tufute tuanze upya kumsaka
Mbona tulishamdedisha?
Huyu anayekaa na kuwa na press mbalimbali kujidai atawauwa viongozi wetu wenye Iran yao, anatoka wapi?
Nahitaji kufahamishwa,
Au tulipigwa na kitu kizito shabaha yetu ililenga mdoli wa Netanyahu na...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetoa msaada kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Shule ya Sekondari Pugu, wilayani Ilala.
Msaada huo ni sehemu ya mchango wake kwa jamii na kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha ustawi wa jamii inayoihudumia...
Religion fanatics piteni mbali
Hakika natangulia kusema ni kazi tukufu kweli kweli inayofanywa na haya mataifa mawili.
Dunia ya sasa na ijayo ni dunia ya amani,uhuru na haki ile dunia ya zama za kale za ujima na ujinga kisa imani kali za kidini,kuua na kuangamiza wasio fuata imani hizo.
Kwa...
Wiki tatu zilizopita, Ali Hamad Kombo mwenye umri wa miaka 31 aliamini maisha yake ya kazi na kujitafutia riziki kwa ajili ya familia yake yalikuwa ndio basi tena ghafla tu yamefikia mwisho.
Kombo ambaye ni kondakta wa daladala katika wilaya ya Chake Chake Kisiwani Pemba, Zanzibar, anategemea...
Nduva aaga, amshukuru Rais Samia kwa ushirikiano na uungaji mkono wa mtangamano wa EAC
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Mhe. Veronica Nduva, ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ushirikiano wa karibu alioupata...
Serikali ya Australia chini ya Waziri Mkuu Anthony Albanese imepongeza uamuzi wa Marekani kuendesha operesheni dhidi ya Iran ili kuizuia nchi hiyo kupata silaha za nyuklia na kuzuia tishio la usalama wa kimataifa, ikisema inasema pamoja na “watu hodari wa Iran katika mapambano yao dhidi ya...
Kutumia mbinu za kijima yaani mkono wa chuma Kwa kizazi kipya ni ku expose uzembe wa idara ya taifa husika katika kusoma alama za nyakati plus mahitaji ya kizazi husika!
Tambiko hubadilika kutokana na mahitaji ya nyakati na kizazi ili kuepuka madhara makubwa Kwa taifa!
Kama ccm ndio Tambiko...
Nataka nitoe disclaimer kuwa siungi mkono mapinduzi ya kijeshi kama namna ya kufikia malengo ya kisiasa.
Hata hivyo mimi kama mwanajamii ambaye naishi ndani ya jamii, nina wajibu wa kuchangia maoni na kuonya ikibidi pindi ninapoona muelekeo hatari kwa mustakbali wa Taifa.
Ni hivi, nimesoma...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania iko tayari kumuunga mkono Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, katika juhudi za kuimarisha amani na usalama katika ukanda wa nchi za Maziwa Makuu, kufuatia nafasi yake kama mwenyekiti wa jumuiya hiyo.
Rais Samia amesema hayo leo Jumamosi, Februari 7, 2026...
Jina la Mafwele limetajwa na kila mtu aliyetekwa na kufanyiwa ukatili
Kama ni mtumishi wa jeshi la polisi kwanini Rais au IGP hamsimamishi kazi japo kupisha uchunguzi wa tuhuma zake
Hivi askari aliyefunzwa na mzalendo atafanya mambo kama hizi tuhuma za Mafwele
Yaani kuteka, kuuwa, kupoteza
1...
Wanaukumbi.
⭕️Huko Tehran, Wairani milioni 1.2 waliandamana kuiunga mkono serikali yao
Kwa upande mwingine, maandamano makubwa zaidi ya kupinga serikali hayakuwahi kukua hadi zaidi ya makumi ya maelfu.
Kama kawaida, vyombo vya habari vya Magharibi havitakuonyesha hizi video kwa sababu...
Jina langu halisi naitwa Muhamed Awadh Mafwere. Ni inspekta wa polishi kikazi.
Kwa amri toka juu, niliwaita washirika wetu akina Zuwena aliyejiita Rose, Zahra aliyejiita Sofia, Mahamoud aliyejiita Martin, Yahya aliyejiita Yohana na wengine wengi.
Kama 'wakatoliki' tuliandamana kupinga namna...
Vyanzo vya kuminika vya kimataifa vinasema kulikuwa na makundi yasiyo rasmi yalionekana yakiua raia ovyo kwenye makazi ya watu, na yalionekana yana mfungamano na serikali je makundi hayo ni akina nani ? je, kwanini serikali itumie makundi hayo yasiyo fahamika kuzuia waandamanaji kwa kuwauwa ...
Nimeona humu jukwaani na huko mitandaoni, machawa pro max wa wauaji wakipambania kampuni yao ya mauaji (CCeM). Wapo maprofesa uchwara, wanahabari, watu maarufu na viongozi.
Machawa wa humu tunawafahamu, na wamekuwa wakishambulia kila hoja inayotolewa kuhoji na kukosoa serikali wamekuwa mstari...
Mungu haonekani lakini watu huwa wanamuona kwa matendo yake.
Mobutu Seseko, Idd Amini, Blaise Kompaore, na wengine wengi ni mfano ulio wazi.
Wote hawa walimaliza kwa mwisho mbaya .
Mapinduzi dhidi ya Waziri Mkuu wa kwanza wa Congo huru, Patrice Lumumba, mwaka 1960, yamebaki kuwa moja ya sura za giza katika historia ya Afrika. Ingawa Lumumba alikuwa kiongozi aliyechaguliwa kidemokrasia, Umoja wa Mataifa (UN) uliamua kumtambua Rais Joseph Kasavubu baada ya kumvua madaraka...
Kimsingi mimi binafsi siungi mkono maandamano hasa siku ya sikukuu ya wakristo.
Ama sikukuu yoyote ile ya kidini.
Inshu ni Kuikataa serikali ya wahuni basi maandamano hayo yalenge sikukuu za umma/serikali ili kudai haki tunazo zihitaji.
Acheni waaamini washerekee sikukuu zao kwa utulivu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.