mkojo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Masalu Jacob

    Mkojo wa binadamu ni chanzo cha nishati ya Umeme majumbani na inaendesha vyombo vya moto

    Habari Tanzania !.. Habari yako EWURA, TANESCO, REA, Ofisi ya Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira hali gani mpendwa !?.. Je, wajua kuwa mkojo wa binadamu unaweza kuchakatwa na kutoa nishati ya Umeme majumbani, viwandani na pia kuendeshea vyombo vya moto...
  2. M

    Msaada nimeambiwa mkojo una protein3+,na leu2+ nimeambiwa ni uti

    Habar wakuu nimeambiwa Nina UTI nimepewa dawa amosclave na Panadol nin nifanye kutoa protein kwenye mkojo na dawa ipi sahihi kwa UTI kali
  3. PAYE

    SI KWELI Kunywa ama kutumia mkojo kama tiba ni salama kiafya

    Wakuu Naomba kujua kama Kunywa mkojo ni salama kiafya?
  4. Royal Son

    Wimbi la watu kudanganyana kuogea mkojo kiafya

    Habari za mchana. Nimekuwa nikikutana na video mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, hususan mtandao unaokua kwa kasi wa TikTok, zinazoonesha baadhi ya watu wakiogeshwa mkojo, wengine wakinywa, na wengine wakiosha miili yao kwa maji yenye chumvi ya mawe. Naomba kufahamu, kiafya hali hii...
  5. upupu255

    MIZANIA Mkojo wa Ngamia ni salama kutumika kama dawa kwa binadamu

  6. Chifu mkuu

    Kilimo hai,bora na cha kisasa kwa kutumia mkojo wa sungura.

    HABARI NJEMA KWA WAKULIMA Hakuna tena kuumiza kichwa kuhusu kutibu magonjwa nyemelezi kwenye mazao yako kama vile manjano, fangasi, na kudhoofika kwa mazao. Tumia mkojo wa sungura pia kuongeza mazao na uzito kwenye mazao kama mpunga, mahindi, maharage, ulezi na mtama. Mkojo wa sungura pia...
  7. Abuu Ibraahiym Sibomana

    Kilimo hai, bora na cha kisiasa kwa kutumia mkojo wa sungura.

    HABARI NJEMA KWA WAKULIMA Hakuna tena kuumiza kichwa kuhusu kutibu magonjwa nyemelezi kwenye mazao yako kama vile manjano, fangasi, na kudhoofika kwa mazao. Tumia mkojo wa sungura pia kuongeza mazao na uzito kwenye mazao kama mpunga, mahindi, maharage, ulezi na mtama. Mkojo wa sungura pia...
  8. Abuu Ibraahiym Sibomana

    Kilimo hai, bora na cha kisasa kwa kutumia mkojo wa sungura.

    HABARI NJEMA KWA WAKULIMA. Hakuna tena kuumiza kichwa kuhusu kutibu magonjwa nyemelezi kwenye mazao yako kama vile manjano, fangasi, na kudhoofika kwa mazao. Tumia mkojo wa sungura pia kuongeza mazao na uzito kwenye mazao kama mpunga, mahindi, maharage, ulezi na mtama. Mkojo wa sungura pia...
  9. M

    Nikinywa maji lita3 ndani ya nusu saa,mkojo napata baada ya masaa2 mkojo mweupee

    Habari wakuu nashida ya kupata mkojo nanikisema ninywe maji labda lita 3,nazinywa ndani ya nusu saa ila mkojo napata baada ya saa moja nanusu. Nkipata tu mkojo mkojo wakwanza utakao toka unatoka ule mweupeee kama maji nautaendelea hivo Hadi kutimiza mkojo wa lita1.5 Je wakuu kunatatizo hapa ama
  10. Leejay49

    Nimeona mtoto anakojoa lakini mkojo hautokei kwenye chululu

    Wakuu kwema?? Ni wakiume ( ni around 4-6yrs ),. Ilibaki kidogo nimfukuze alivyoanza kuchuchumaa maana nilijua anataka kunya .. Hakakuniona Kwasabu ya tint Yaani kachululu kake kamesimama Tu kamenyooka hakatoi kitu ila mkojo unatoka Kwa chini kama mwanamke.... Na nyie mmeelewa kweli nilichokiona??
  11. Think2

    Adakwa na lita 60 za mkojo ndani

    Kimario wa arusha amedakwa na lita 60 za mkojo ndani adai amekojoa kwa miezi sita😁😁 Wadau au mkojo ni dili mbona hamseme 🤣🤣
  12. Jesusie

    DC Shaka: Hakuna atakayemwaga damu ya Mwanakilosa mwenzake tena, sio damu tu hata wa kumwaga Mkojo hapa hayupo tena-VIdeo

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Mhe Shaka Hamdu Shaka asema hayuko tayari chini ya Uongozi wake wa Wilaya ya Kilosa kuona Wilaya hiyo ikirudia historia yake ya nyuma, Akiongea na Wananchi wa Kata ya Tumbatu mahali palipotokea mgogoro wa Kimipaka ngazi ya Vijiji na Vitongoji, DC...
  13. Financial Analyst

    Wale jamaa "USHAHIDI: JINSI MKOJO WANGU WA ASUBUHI ULIVYONIPONYA" waliishia wapi

    Watu wakaoga mamikojoo weee🤣🤣, sijui huko wanaendeleaje Mara sijui akashinda bet ya milioni 250 , aisee wabongo 🤣🤣
  14. Prakatatumba abaabaabaa

    Nataka kuoa nahisi nimeruka mkojo na kukanyaga ding'o.

    Baada ya kudumu na mwanamke miaka 10 tokea shuleni, licha ya migogoro mingi kuwepo kati yangu na yeye, nilishawapa story ndani humu, nirejee kwa ufupi, ni kwamba nilimpatia mimba (kwa mujibu wake) tunaishi mikoa tofauti na after hapo nikawa nahudumia mpaka kujifungua, baada ya kujifungua akawa...
  15. Dr Luu

    Ishi ndoto zako, mbinu za kujiepusha na magonjwa ya Figo na mfumo mzima wa Mkojo

    Habari wakuu, nimewaandalia video fupi kuelezea juu ya mbinu za kujiepusha na magonjwa hasa yatokanayo na kufeli au kudhoofika kwa Figo na mfumo wa mkojo kwa ujumla, hope utaelimika na kuiishi uwe na afya njema.
  16. Chifu mkuu

    Faida za mkojo wa sungura kwenye kilimo

    FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA KWENYE KILIMO Sungura hufugwa kwa ajili ya kutupatia nyama ambacho Ni kitoweo kizuri na muhimu Sana. Hivyo wafugaji wengi Sana hujipatia kipato kizuri kupitia ufugaji wa sungura. Lakini sungura Wana umuhimu Sana kwenye kilimo. Mkojo wa sungura una umhimu mkubwa Sana...
  17. Chifu mkuu

    Faida za mkojo wa sungura

    FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA KWENYE KILIMO Sungura hufugwa kwa ajili ya kutupatia nyama ambacho Ni kitoweo kizuri na muhimu Sana. Hivyo wafugaji wengi Sana hujipatia kipato kizuri kupitia ufugaji wa sungura. Lakini sungura Wana umuhimu Sana kwenye kilimo. Mkojo wa sungura una umhimu mkubwa Sana...
  18. Chifu mkuu

    Tangazo: Nauza mkojo wa sungura.

    Napatikana pasua manispaa ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro. Nina dumu tano ( Lita 20 @ =Lita 100) bei ni maelewano. Kwa wale wasiojua mkojo wa sungura hutumika kama kinga na dawa ya kuua wadudu hasa katika bustani za mbogamboga na mazao mengine. Ukitaka faida zaidi za mkojo wa sungura ingia google...
  19. JanguKamaJangu

    Serikali yabaini Saratani zinazoongoza Kanda ya Ziwa ni Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi wa Kina mama, Damu, macho na figo

    Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imefanya utafiti wa kina nchi nzima kuhusu saratani na imebaini kuwa upande wa Kanda ya Ziwa saratani zinazoongoza ni ya Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi Kina mama, Damu, macho na figo. Ameeleza kuwa visababishi...
  20. M

    Mkojo kuchangnyikana na manii shida itakuwa nini

    Miaka kama mitatu sasa nimekuwa nakojoa mara kwa mara , nikichukua mkojo wa asubuhi nikiuweka kwenye chombo kisafi kinachoonekana humo ni mkojo na uteute , nimekwenda hospital kupima magonjwa haya 1. Hiv/Aids 2. UTI na 3. Nimecheki tezi kuwa either limetanuka au Kuna cancer majibu yote...
Back
Top Bottom