Mkoani is a town located on the Tanzanian island of Pemba. It is the capital of Pemba South region, as well as Mkoani District. Mkoani now has the busiest harbour on Pemba island, most ferries from Zanzibar or the mainland arrive at Mkoani.The Abdulla Mzee hospital is in Mkoani.
Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana...
Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa!
Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma!
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
Ngorongojo ni usafiri uliokuwa ukitumika enzi za nyuma na hadi hivi sasa hapa mkoani Kigoma. Ngorongojo huundwa kwa miti migumu, hivyo mchakato wake wa utengenezaji unaanzia maporini ambapo ni lazima kwenda kutafuta miti migumu kwenye mapori.
Ngorongojo ina mpini "kishikio" ambapo hutegemea...
Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia askari watano wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliokuwa wamemaliza muda wao wa kujitolea, wakisubiri ajira za muda wa Kikosi cha Jeshi la Wananchi 27 KJ MAKOKO kwa tuhuma za mauaji ya mkazi wa Rwamlimi manispaa ya Musoma, Paulo Joseph, maarufu kama...
Kuna huyu ndugu amefariki huko Tanga, hilo jina la Kibona ni asilimia kubwa Wandali wa Isoko, Kalembo na wilaya ya Ileje kwa ujumla na wamesambaa sana maeneo mengine pamoja na mikoa ya Songwe, Rukwa na Mbeya.Tusaidiane kusambaza hii taarifa.
Katibu Mkuu wa CCM na sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi siku ya leo 22/05/2021 wanapokelewa katika jiji la Dar Es Salaam.
Kazi Inaendelea, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Dar Es Salaam.
MAPOKEZI YA SEKRETARIETI MPYA YA...
Habari zenu wakuu,
Nataka kusafiri kwenda mkoani na tiketi ya basi nishazoea kukata manual lakini siku hizi ni mtandaoni, ila nilisikia madereva wakitaka kugomea huu utaratibu lakini sikusiukia iliishia wapi.
Je, bado wanakata tiketi za mtandaoni au baada ya ule muito wa mgomo ilisitishwa...
Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni
Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma
Katibu Mkuu wa...
Nataka kusafiri kidogo. Lakini nataka safari yangu iwe yenye manufaa. Ninataka niende Tanga but sitaki enda mikono mitupu. Nataka nije na mzigo wa biashara. Wa kawaida tu usiozidi Mil 1. Kama utafiti tu.
Najiuliza nilete bidhaa gani Tanga ili niuze ndani ya siku 2-3 then nirudi zangu dar. But...
Ndugu Waandishi wa Habari,
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza mnamo tarehe 19/04/2021 imemkamata aliyekuwa Mhasibu wa Mamlaka ya Bandari Kigoma Bw. Madaraka Robert Madaraka ambaye anatuhumiwa kwa makosa ya Rushwa, Uhujumu Uchumi na Ukwepaji Kodi wa kiasi cha Sh...