mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukiteuliwa kuwa Balozi (Diplomat) kisha ukateuliwa tena kuwa Mkuu wa Mkoa unapokea Mishahara ya Vyeo vyote (Teuzi zote) au wa Cheo kimoja tu?

    Wajuvi wa mambo nasubiria majibu yenu tafadhali ili nijue jinsi gani Pesa za walipa Kodi Masikini (kutoka duniani) zinavyochezewa na Raia wa Oman.
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haiwekezi Mbeya licha ya kuwa ni mkoa wa 3 kwa kuchangia pato kubwa la Taifa

    Tafadhari mi si wa mbeya Angalia takwimu hizi Dar es Salaam: 17% (Sh32.1 trillion) Mwanza: 7.2% (13.5 trillion) Mbeya: 5.58% (Sh10.5 trillion) Morogoro: 4.8% (Sh9 trillion) Arusha: 4.7% (Sh8.9 trillion) Tanga: 4.65% (Sh8.8 trillion) Mbeya ni mkoa ambao hauna project kubwa ukiringanisha na...
  3. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TO wa Hospitali ya Rufaa mkoa wa Rukwa anatoza mafuta lita 120 kwa ambulance kwenda Mbeya Zonal Hospital

    TO na uongozi wa hospitali hiyo wanatoza lita 120 na chakula na posho kwa kila mgonjwa kwa mgonjwa kutumia ambulance kwenda mbeya na badae kuwasilisha receipt za mafuta na kuchukua fedha hizo serikalini.
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini bajeti ya serikali isipangwe kutokana na uhitaji wa mkoa husika?

    Habarini? Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kufuatilia mpambano baina ya Iran na Israel ambapo tunayo mengi ya kujifunza kutokana na teknolojia za hali ya juu zinazotumika na nchi zote mbili katika mzozo huo. Ni leo ikiwa siku ya tatu tangu bajeti ya serikali ya mwaka...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?

    Jaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, Jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara. IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara, IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara. ADC wa Rais Samia nae ni mtu wa Mara, pia nimedokezwa hapo ikulu kwa sasa wasaidizi wengi wa mheshimiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Geita mkoa uliojaza maskini wengi na kukosa maendeleo lakini ndio wenye dhahabu nyingi na kampuni kubwa ya uchimbaji

    Kama umefika geita na viunga vyake utajionea umaskini uliopo kuanzia miundo mbinu na wananchi wenyewe. Katika mkoa wenye migodi mingi mikubwa ni geita. Shida ya serikali yetu ya CCm tokea kupata uhuru hakuna lolote walilowezesha labda wananchi wajiwezeshe wenyewe. Yani mkoa una rasilimali za...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Unahitaji programu gani ya kompyuta nikupe?

    Unahitaji programu gani ya kompyuta nikupe (Windows OS peke yake) Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145 Kwa mahitaji ya kuweka Windows 10 OS Genuine gharama yake ni 20,000 Tsh
  8. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi liwe la wilaya au mkoa sio taifa

    Jeshi la Polisi liwe la wilaya au mkoa sio taifa ili wawe ni Polisi waliotoka kwenye jamii. Hii ndiyo maana ya jeshi la Polisi sehemu zingine Duniani. Hakuna haja ya kuwa na Polisi la nchi nzima maana linashusha imani kwa watu na wanaendeshwa bila kujali jamii. Kwa nchi nzima waache Jeshi la...
  9. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa pekee ambao Wabunge wake Elimu ya chini Wana shahada/degree. Bila Degree Sahau kuhusu Ubunge huko Kilimanjaro

    Habari za Asubuhi! Kule Kwetu Kilimanjaro, Moja ya Mambo muhimu wananchi wanayazingatia kumpa Mtu Ubunge ni Elimu yake. Unajua Kilimanjaro mtu anaheshimiwa kwa mambo makuu yafuatayo; 1. Pesa 2. Elimu 3. Familia. Wananchi wa Kilimanjaro hata wale wajinga kabisa ambao hawakusoma hata darasa...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ya mkoa Dar es salaam mtusaidie kuhusu watu wanaombaomba hapa maeneo ya cheif pride, na msikiti wa sunni

    Kuna wimbi kubwa la wamama wanakuja mjini kuomba wakiwa na nguvu zao wala si wahitaji kwa maana wana uwezo kufanya kazi haya maeneo niliyotaja wamefanya kama vijiwe vyao yaaani wanasumbua sana Wageni na sio tu kuomba wanapora kabisa wanakuwa na watoto wadogo yaaninwamama wazima wana maisha yao...
  11. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ndio mkoa huwezi kusikia Mbunge anachaingiwa pesa za kuchukua Fomu, Wachaga sio Mafala hata kidogo

    Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni. Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii. Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
  12. JamiiForums Tanzania TANROADS mkoa wa songwe wameanza kuita watu kwenye interview, kaeni karibu na viswanswadu vyenu.

    Ndugu zangu wapambanaji. Tanroads mkoa wa songwe,wameanza kuita watu kwa ajili ya written interview. Kwa tulioomba nafasi ya uhasibu interview itakua ni tarehe 31 May 2025,itafanyikia vwawa secondary school. Mkae karibu na simu zenu. Asanteni
  13. JamiiForums Tanzania Kama gharama za Ujenzi wa huu uwanja ni 12 Bilion za Kitanzania, basi nikiwa Rais kila mkoa utajengwa uwanja kama huu

    Kama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000,000,000/= hii inawezekana kabisa Mimi nikiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Tauhida Gallos na Ujenzi wa Nyumba za Makatibu UWT Mkoa wa Magharibi na Wilaya (Dimani na Mfenesini)

    MBUNGE TAUHIDA GALLOS NA UJENZI WA NYUMBA ZA MAKATIBU UWT MKOA WA MAGHARIBI NA WILAYA ZAKE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo tarehe 11 Mei, 2025 alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mbunge amekabidhi fedha kwa ajili ya...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanavyuo Mkoa wa Iringa wasema watampa Mitano Rais Samia

    Wakuu! Wanavyuo wa mkoa wa Iringa ambao pia ni Wanachama wa Kampeni ya 'Mama Asemewe' katika kongamano kubwa la wanavyuo lililofanyika katika mkoa huo lililobeba jina la Kongamano la Tafakuri ya Wasomi na Miaka minne ya Rais Samia.
  16. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais viwanja vyote vya zamani vyote vitaboreshwa na kuwa world-class na kila mkoa utajengwa kiwanja

    Viwanja vitaboreshwa vitawekwa nyasi za kisasa na sio kapeti, viti vitakua na namba, vitakuwa na mapaa, vyoo vitakua visafi, kutakua na VAR, vitakuwa visafi na hakutakua na mechi ya saa nane sababu viwanja vitakua na taa mechi zitaanza saa 11 jioni Multiplier effects ya mpira ni kubwa sana kama...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbe mambo ya uwongo yalikuwa siku nyingi,Kipindi cha vita ya kagera mkuu wa mkoa anasema vita hakuna

    Kipindi wanajeshi wa uganda wakifanya uvamizi na kuumiza watu ila mkuu wa mkoa muhamed kisoki aliwaita wanahabari na serikali kusema kinacho endelea mpakani ni mambo tu ya kutoelewana. Wakati wananchi wanaona mpaka ndege za kivita zikishambulia. Usishangae mbunge babu tale kusema utekaji...
  18. JamiiForums Tanzania REA YAENDELEA NA UHAMASISHAJI MATUMIZI BORA YA NISHATI YA UMEME, NA UUNGANISHAJI WATEJA MKOA WA MOROGORO

    📌Wananchi wapewa elimu matumizi bora ya nishati ya umeme 📌Wahimizwa kujiunganisha na huduma ya umeme 📌Wananchi wahamasika na UMEME TAYARI ( Ready Board) Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya umeme kwa Watanzania ikiwa pamoja na kutoa elimu...
  19. JamiiForums Tanzania Kigamboni ni wilaya pekee iliyotelekezwa ndani ya mkoa wa Dar es Salaam

    Kwa utafiti wangu hii ni moja kati ya wilaya bora sana kwa landscape yake na hali ya hewa inayochagizwa na bahari ya hindi jambo linatoa fursa mbalimbali za kiuchumi kama ukitazama wilaya hii kwa jicho la kibishiara na uwekezaji lakini jambo baya zaidi katika wilaya hii ni kama imetelekezwa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Hatimaye uislamu umepata ushindi mkoa wa Iringa

    Takbiiir wakuu uislamu hatimaye umepata ushindi mkoa wa Iringa aisee makundi makundi ya watu wameingia kwenye uislamu hii inaonesha kwamba uislamu ni dini ya haki na imepata ushindi Aisee Takbiiir
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…