mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, agoma kukabidhi Ofisi kwa Sheikh Walid

    Pamoja na kwamba Uteuzi wake ulitenguliwa, ameendelea kufanya kazi ndani ya Ofisi. Katibu wa Baraza la Mashehe wa Dar es Salaam Shekh Ally Kizegero aitisha kikao kinyume cha Utaratibu Nia ni kuwagawa Mashehe wa Dar. Kitendo kinachofanya na Elhad inadaiwa ni Uhaini ==== Aliyekua Sheikh wa...
  2. Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Hassan Said Njoo Mkoa wa Geita

    Nenda Mkoa wa Geita ukajionee Utekelezaji wa mradi wa REA awamu ya tatu mzunguko wa pili mkoani Geita umesitishwa bila sababu za msibgi na bila wakandarasi kujulishwa na mikataba tukiwa tumesainishwa. Wananchi na wakandarasi huko wako wanakusubiri ukawape majibu na uelekeo wa mikataba na...
  3. Mbunge wa Chwaka azungumzia miundombinu ya elimu - wilaya ya kati, mkoa kusini Unguja

    MBUNGE WA CHWAKA AZUNGUMZIA MIUNDOMBINU YA ELIMU - WILAYA YA KATI, MKOA KUSINI UNGUJA Mbunge wa Jimbo la Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Haji Mlenge katika kuonyesha utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 kupitia miundombinu ya Elimu katika jimbo la Chwaka ameonyesha miundombinu...
  4. Mkoa wa Iringa wageuka Kuzimu kwa matukio ya Watoto kubakwa na kulawitiwa

    Ripoti kutoka kwa Mganda Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Alfred Mwakalebela imeeleza kuwa idadi hiyo ni wastani wa Watoto 2 hadi 3 kwa wiki ambao hufanyiwa ukatili wa Kubakwa na Kulawitiwa. Mwenyekiti wa Mtaa wa Kihesa Kilolo, Omary Juma, amesema Watoto 30 walibakwa na Kesi ziko...
  5. Mbunge wa Viti Maalum UWT Mkoa wa Pwani Hawa Mchafu amekabidhi vifaa vya michezo kwa vijana wa Raja Sports Academy

    Mbunge wa Viti Maalum (UWT) CCM Mkoa wa Pwani Hawa Mchafu amekabidhi vifaa vya michezo (Mipira na Jezi) kwa vijana wa Raja Sports Academy iliyopo Kata ya Mtongani Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani. Hawa Mchafu(Mb) katika ziara yake ameungana na timu ya Madiwani wa Viti Maalum wakicheza...
  6. Hamna mkoa nimewahi kwama kwenye utafutaji kama Singida

    Daaah walio toboa kwenye huo mkoa hongereni. Daah mikoa mingine utasema upo KENYA siyo Tanzania. Licha ya ugumu wa pesa hali ya hewa pia haikunifurahisha upepo mkali, maji chumvi daah, jua kali sana, viwanja vyao vipo na mawe, chakula cha shida pale, wamezoea ugali na mboga za mlenda. Wadada...
  7. Singida: Wananchi walalamika mauaji ya watu mfululizo, ufukuaji makaburi na kuchukua nguo za ndani

    Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Manyoni imetakiwa kuchunguza mauaji ambayo yamekuwa yakiripotiwa kutokea mfululizo pamoja na vitendo vya ushirikiana vinavyohusisha kufukua maiti na kuchukua nguo za ndani na baadhi ya vitu vya thamani. Maagizo hayo yametolewa Januari 20, 2022 na Mkuu wa...
  8. Mara: Kijana apanda kwenye grid ya taifa

    Angalia hapa
  9. Tusipojidhatiti mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Moshi vijijini, Marangu kutakuwa kitovu cha ushoga

    Sidhani kama nitaeleweka ila naomba ikae hivyo. Ni juzi tu vijana wa kiume wa umri wa zaidi ya miaka 30 madereva bodaboda na mwingine kinyozi walikutwa wanalawitiwa, walivamiwa na kupigwa. Kama haitoshi huwezi amini siku 35 zilizopita watoto kumi na mbili walibainika kuwa wanaingiliana wenyewe...
  10. Viongozi wa mkoa wenye roho mbaya sana

    Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani. Dada wa watu katega eneo zuri ambalo mmempa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara...
  11. Sukuma Gang is Real: Waanza kumtisha Rais Samia, wamtumia Msukuma kudai mkoa wa Chato kinguvu

    Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia. Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili. Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais. Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya...
  12. RPC Mwanza: Uhalifu ukifanyika mlinzi anakimbia

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, limedhamiria kuwapa mafunzo ya utayari walinzi wa makampuni binafsi ili kuhakikisha wanatekeleza kwa weledi shughuli zao za ulinzi na kuhakikisha wanajua namna ya kutumia silaha wanazopewa kwa ajili ya shughuli zao. Hayo yamebainishwa katika kikao maalum cha...
  13. J

    Fukuto Kali leo mkoa wa Dar (High Humidity)

    Wadau leo kuna fukuto kali balaa hapa jijini Dar Yaani kuna lile joto la kusababisha kutokwa na jasho jingi sana kama vile upo shimoni Kinachosababisha ni high humidity au unyevunyevu mwingi kwenye hewa Sababu ya kuwa karibu na bahari ya Hindi Humidity ya leo ni 81% wakati kikawaida inakuwa ni...
  14. Ndoto za Chato kuwa mkoa zayeyuka baada ya mikoa jirani kugoma kuachia maeneo yao

    Habari ndugu Wana jukwaa. Ile ndoto ya Mwendazake kuifanya Chato kuwa Mkoa inaonekana kugonga mwamba Kama sio kuota mbawa kabisa kufuatia Mikoa Jirani Kugoma. Taarifa kutoka huko Kigoma,Mwanza na Kagera Ni kwamba Wananchi wamekataa maeneo Yao kuwa sehemu ya Mkoa mpya wa Chato hivyo kuzika...
  15. Nahitaji mawakala wa mauzo kwa Mkoa wa Morogoro tu

    Nawahitaji mawakala wa mauzo kwa mkoa wa Morogoro na Wilaya zake zote. Bidhaa Ni JikoKoa, Aina ya majiko ya kisasa yanayopunguza matumizi ya mkaa kwa hadi 70%. Majiko Ni mazuri na yanapendwa Sana. kampuni yetu inauza jiko moja kwa 46,000 tu, ukilinganisha na kampuni zingine wanaouza 120,000...
  16. Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mara kukagua na kupokea madarasa 58 Serengeti

    Mkuu wa mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee ameanza Ziara ya kukagua na kupokea vyumba 58 vya Madarasa vikiwa na samani zake Katika shule 21 za sekondari zilizogharimu kiasi cha Billion 1.16 zilizotolewa na serikali ya awamu ya sita ,ziara hiyo itakayofanyika kwa muda wa siku Mbili...
  17. R

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala ahukumiwa kulipa fidia ya Tsh. milioni 80

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemhukumu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala kumlipa fidia ya shilingi milioni 80 Alexander Ntonge mkazi wa kata ya Ipuli Tabora mjini, baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka aliyofunguliwa ya kuwaamuru Askari Polisi...
  18. Mwanziva afanya Kikao Kazi na Makatibu Hamasa Mkoa wa Dar es Salaam

    MWANZIVA AFANYA KIKAO KAZI NA MAKATIBU HAMASA MKOA WA DAR ES SALAAM Picha za Matukio mbalimbali wakati Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Cde. Victoria Charles Mwanziva, akiongoza Kikao Kazi na Makatibu Hamasa wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Katibu wa Uhamasishaji na...
  19. Ukiachana na Dar es salaam kuna mkoa wenye madada poa (wanaojiuza) kuishinda Arusha?

    Dar es Salaam ni special case maana nadhani hata police wameshindwa kudhibithi ili janga, nilipata nafasi ya kutembelea huko jijiji dar in short sehemu yoyote ile ndani ya dar ukitaka utelezi ni chaap hata uhangaiki, ukitaka first class mpaka wale wa lower class ni wewe tu. Ukiachana na...
  20. Uzi wa kutaja na kuwashukuru wakazi wa mji au mkoa uliotusua kimaisha

    Sio lazima utaje kazi au shughuli yako. Ila mimi binafsi nawashukuru wakazi wa jiji la mbeya maana ndipo nilipotokea kimaisha baada ya kupuyanga na kuchochola saaaaaaana. Salute kwà mbeya na Wana mbeya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…