mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

    https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki... Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA.. Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na...
  2. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV ya Mwenyekiti wa Kumbukumbu ya Mwl J. K Nyerere , Mkoa wa Kilimanjaro!

    Ukiiweka hapa! Mungu atakuwa amekubariki sana!
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wajumbe mtakaochagua Mbowe mtafanya kazi na nani ikiwa kila mwanachama anamtaka Lissu?

    https://youtu.be/nLcsl_rWxOo?si=p2kxWopIgVxceR8x Wajumbe wenye sifa za kupiga kura kumbukeni mnawakilisha wanachama wa maeneo mnapotoka. Chagueni kulingana na matakwa ya wanachama badala ya kuangalia njaa zako. Wanachama kutoka kila kanda wameshatoa matamko ya kumtaka Tundu Lissu, sasa ole...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mwalimu wa English language., Shule IPO wilaya ya chemba mkoa wa dodoma (Kijijini sana) ila umeme na maji vipo. ..Pia shule ni ya serikali

    Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo) Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree 0695252896
  5. M

    JamiiForums Tanzania KERO Tanesco Mkoa wa Kinondoni Kusini- Kimara/Kibamba

    Tangu mwaka huu 2025 umeanza TANESCO wamekuwa na huduma mbaya ndani ya Mkoa huu wa kwao wa kiutendaji (KINONDONI SOUTH) hasa njia ya umeme ya kutoa huduma kuanzia Kimara mpaka Kibamba. Umeme Kila siku unakatika katika ndani ya muda mfupi na wakati mwingine kukatwa kwa muda mrefu kwa maelekezo...
  6. Wagumu Tunadumu

    JamiiForums Tanzania Hatimae leo wamekubali kwamba zanzibar ni mkoa

  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania NEMC, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa yahamasisha usafi wa mazingira na urejelezaji taka

    Dar: NEMC na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wafanya Usafi Ilala Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki katika zoezi la kufanya usafi wa Mazingira lililofanyika katika Wilaya ya Ilala. NEMC imeshiriki zoezi hilo ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mkoa wenye Madubwasha Makubwa kama Mbeya na Mtwara?

    Nimezunguka hii nchi ila hiyo mikoa imenitetemesha. Mbeya wanayo ya asili, Mtwara wanayatengeneza mtoto anapo zaliwa, yanakuwa yanabinuka juu juu, malainii viuno wanavirekebisha na shanga, pia yanakuwa yamoto kama jiko la mkaa. Nadhani kuna uzi unaofundisha jinsi wanavyofanya.
  9. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilya na Mbunge nani ni nani katii yao?

    Kiungozi nani mkubwa kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa? Mbunge na Mkuu wa Wilaya? Nani ana ukuu kati yao. Uki refer kwa kilichotokea kwa Makonda dhidi ya Gambo. Je nani yupo sahihi na kwa nini. Je Waziri akiwa katikati yao nani ana sauti au mkubwa kati yake na Mkuu wa Mkoa, bahati mbaya sikusoma...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nimesoma IT, natafuta kazi

    Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
  11. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Rufiji inastahili kuwa Mkoa

    Rufiji inafaa sasa kuwa Mkoa kamili. Ili kumpelekea mwananchi maendeleo. Kaskazini mtusubiri Kwanza. **Rufiji ndipo alipotokea Mpigania Uhuru maarufu nchini Mheshimiwa [Bibi Titi Mohammed] MAKAO MAKUU: Ikwiriri, Wilaya: 1. Mkuranga, 2. Rufiji, 3. Mafia, 4. Kilwa, 5. Kibiti.
  12. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,msikilize Mkuu wa Mkoa wa Tabora! Chukua hatua Jimbo la Moshi Mjini Kuna shida mahali!

    Sitaongea mengi! Huu ni mwaka mpya! Sikiliza
  13. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Mbeya kitimoto kilo ni elfu mbili?

    Wanaofahamu mkoa wa Mbeya mjini njoo mtujuze! Eti, Mbeya ni jiji kuliko Dodoma? Na, Kitimoto kilo elfu mbili na ndizi tatu bure?
  14. G

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani unajitahidi kwenye huduma ya maji ya bomba?

    Ni mkoa upi unajitahidi kwenye upatikanaji wa huduma za maji.
  15. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kanda ya Serengeti: Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw Emmanuel Ntobi kufukuzwa Uanachama wakati wowote kuanzia sasa

    Taarifa zinasema tayari ameshapewa barua ya Show cause ya kwanini asifutwe uongozi na Uanachama kwa kosa la kutukana na kukashifu Viongozi wake kwenye Mitandao ya Kijamii akiwemo Mhe Tundu Lissu na John Heche, Taarifa zinasema Ntobi anakabiliwa na kosa la ukosefu wa nidhamu kesi ambayo...
  16. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kilimanjaro Wapare ndo Kabila ambalo lina Waislamu wengi kwa Mkoa huo

    Yes ni wapare. And we are proud to be wapare. Tupo wapambanaji na tumezoea maneno yenu hayatuzuii kitu. Mkisusa kuwaoa wapare wao wanaoana na wala hamna shida kwani lazima kuolewa na ninyi? Mambo ya roho mbaya na ukatili ni ya kufikirika tu. Ni myths. Maana watu wamekuwa wakipakaza sana juu ya...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Shinyanga watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu kwenye Uchaguzi mkuu wa chama hicho

    Wakuu, Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA umeendelea kupamba moto ======================================== Wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mkoa wa Shinyanga wamesema watamuunga mkono Tundu Lisu ambaye ametangaza kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa...
  18. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Tulioumizwa viwanja Jiji & Kamishna Mkoa Dodoma 2024 tukutane hapa!

    Wife yupo Dodoma huko serikalini, nafanya shughuli zangu DSM, tangu enzi za magufuli kuhamisha watumishi nikasema ninunue viwanja kadhaa, ashukuriwe Mungu vingine nilijenga na nilipata wapangaji wazuri, in the process kujenga vingine nikaja gundua kumbe ni viwanja hewa, vina double allocation...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa jenerata jengo la dharula Hospitali ya mkoa wa Morogoro ni aibu

    Leo Usiku nilipata Dharura ya Kuuguliwa na Mke wangu majira ya saa 6 usiku ikabidi nimkimbize hospitali ya Nunge kisha hapo Tukapewa Rufaa kuelekea Hospitali Ya Mkoa wa Morogoro Baada ya Kuwepo kwa nusu saa kwenye Jengo la mapokezi na Dharura ambalo ni jipya na zuri umeme ukakatika, basi ndugu...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kuzaga asheherekea Krismasi na watoto wenye Mahitaji Maalum

    Jamii yatakiwa kutimiza wajibu wake kuzuia ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu Hayo yamezungumzwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Desemba 25, 2024 alipotembelea Kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha...
Back
Top Bottom