Kama unadhani mkeo au mumeo ndiye msiri wako, unajidanganya!

Mawematatu

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
468
602
Leo ni siku. Salam wanajamhuri.

Nianze na ukweli huu. Ndugu zangu waaminifu ni wazazi wetu pekee. Leo hii mnaolala chumba kimoja wakati mwingine kitanda kimoja. 🥺 Usije ukaamini huyo ni muaminifu. Kamwe.

Wanawake na wanaume tunapitia wakati mgumu Sana. Ndoa zetu zimejaa udanganyifu. Unaweza ukadhani hakusaliti loh! Anakusaliti ni suala la Muda tu utajua. Watu tunasalitiana kwa style nyingi sana si lazima akusaliti kwa njia ya kutembea na mwingine mwenzi wako anaweza akakuzunguka na usijue.

Kama tunadhani wenzi wetu ni wasiri wetu, we are very wrong

1644298537076.png

 
Leo ni siku. Salam wanajamhuri.

Nianze na ukweli huu. Ndg zangu waaminifu ni wazazi wetu pekee. Leo hii mnaolala chumba kimoja wakati mwingine kitanda kimoja. 🥺 Usijeukaamini hUyo ni muaminifu. Kamwe.

Wanawake na wanaume tunapitia wkt mgumu Sana. Ndoa zetu zimejaa udanganyifu.

Unaweza ukadhani hakusaliti loh! Anakusaliti ni suala la Muda tu utajua. Watu tunasalitiana Kwa style nyingi Sana si lazima akusaliti Kw njia ya kutembea na mwingine mwenzi wako anaweza akakuzunguka na usijue.

Kama tunadhani wenzi wetu ni wasiri wetu, we are very wrong
Hizo ni assumptions. Kuandika statements bila kutoa Ushuhuda si sahihi unless unatoa assigment as if sie ni Wanafunzi wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom