mkeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Loading failed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana ukioa tegemea uchungu huu ndani ya ndoa yako na huyo mkeo hakika na waambieni

    Ndugu zangu salaam Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila...
  2. fimboyaukwaju

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkeo mle with passion

    Huyo ndio mali yako,mle with passion,bila huruma,mle mpaka aseme leo umenila,kuanzia romansi,hadi staili mpya mpya,hakikisha anatoa milio ya kila aina huku na wewe unamsemesha kinyegenyege wakati unamla.Na uwe unamuandaa mapema kwa kumwambia bby leo nataka nikule haswaaaaaaaaa,chapa...
  3. kwisha

    JamiiForums Tanzania Japokuwa watu usema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na tabia hii kwa mkeo ?

    Japo kuwa wanasema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na ili Kuna Tabia ambayo mke wangu anayo ya kutaka kunimiki kisa sex nakunipelekesha kwa kutumia njia ya sex Nikiomba sex kwake kwa akili yake yeye ndo anaona amepata avantage ya kunitumisha na kunimiliki utasikia nifanyie ivi nenda...
  4. Isenye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkeo aliwahi kukulaza lock up, baada ya kutoka maisha yalikuwaje?

    Hali zenu? Wakuu, siku ya jumatano majira ya saa 1 jioni nikiwa nimefika nyumbani kutoka mihangaikoni, kulitokea kutokuelewana na wife,nikajikuta napandwa na hasira nikamshika nikachomoa mkanda wangu wa suruali nikamtandika nao hatari alivyopata upenyo akakimbilia nje. Kumbe mashosti zake...
  5. Rorscharch

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka kuoa usiangalie kabila wala Nyash bali chunguza kama Baba wa mkeo mtarajiwa ni mkoloni, utakuja kunishukuru

    Malezi ya mtoto ni conditioning, na kama tunaongelea mtoto wa kike basi uhusiano wake na baba yake utakupa ishara bora jinsi utakavyokuwa ndani ya ndoa na wewe Kuna wale mababa ambao huwaita watoto wao wa kike maneno ya kiutani utani; utasikia "my little angel", "Sweetheart" na ukurutu...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukiona ndugu na watu wanamdharau Mkeo ujue wewe mwenyewe Wanakudharau

    UKIONA NDUGU NA WATU WANAMDHARAU MKEO UJUE WEWE MWENYEWE WANAKUDHARAU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Huwezi kuwa Mwanaume mwenye heshima kama Mkeo anadharaulika, na kudharauliwa na watu wengine. Iwe ni wazazi au ndugu zako ukiona Wanamdharau Mkeo ujue hata wewe wamekudharau...
  7. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaposemwa mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja huashiria kwamba hata mkeo anaweza kuwa wa mwanaume mwingine

    Imezoeleka kusemwa kwamba mwanaume katu hawezi kuwa wa mwanamke mmoja ila lazima awe na wanawake wengi,je umeshawahi kujiuliza kwamba huyo mwanaume ambaye hakai na mwanamke mmoja kwamba anaweza pita na mkeo? Kama hivyo ndivyo basi nadhani wanaume ifike kipindi tujue kwamba kama sisi hatuwezi...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ewe mlevi mwenzangu je ukilewa mbele ya mkeo pia huwa anakukataza?

    Nataka nijue tu kuna sometimes unaamua kupunguza kulewa kwenye ma bar na wanawake unaamua sasa kuwa unakunywa 2,3,4 mazingira ya karibu na nyumbani. Ila mke anaanza kuleta tofauti anadai usinywe au mambo mengi, pombe zinaachwa kwa step ila pia ni wake wengi mbona wanapenda waume zao wanywe nao...
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume! Ukiona unazaa watoto wasiofanana na wewe ujue mkeo ni kicheche ama alikuwa kicheche.

    Wanawake waliojitunza vyema huzaa watoto waliofanana na baba zao. Kinyume na hapo mwanaume mwenzangu ujue umeoa kicheche mstaafu. Huu ndiyo ukweli mchungu kwa wanaume walio wengi.
  10. Mwachiluwi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumwambia mkeo kiasi cha mshahara wako?

    Je, nisahihi kumuambia mkeo mshahara wako au kumuonyesha salary slip yako? Na je, mliowaambia wake zenu hali ikoje walichukuliaje baada ya kujua kiasi unachopata?
  11. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania sijakuchukulia mkeo nimemuokota kwenye jalala la moyo wako

    Najua huwezi kuamini kua mimi sijakuchukulia mkeo na kwa taarifa yako sikujua kua alikua nimkeo. Siku ya kwanza nilipokutana nae nimkuta anauza mihogo kando kando ya barabara huku kijasho chembamba kikimtoka, Nilimtazama nikiwa ndani ya gari na nilipozidi kumuangalia niliona kama vile...
  12. Right Marker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo matano yatakayo mchepusha mkeo

    💼 MHADHARA Na.5 Karibu kwenye Mhadhara wa tano. Leo nakuletea mambo makuu matano (5) ambayo yatamchepusha mkeo. 1. UGOMVI USIOKWISHA KWENYE NDOA. Kutofautiana kwenye ndoa ni jambo la kawaida, lakini kuufanya ugomvi uwe chakula chenu cha kila siku ni fursa kwa vijana wanaomtamani mkeo. Kadiri...
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kumruhusu mkeo akae nje mpaka saa 4 za usiku na anaowaita rafiki zake?

    Kwema wajumbe? Ebana last night nilimkung'uta wife haswa kwa kuchelewa kurudi home. Mchezo mzima ulianza hivi,me nilirudi jana mapema kutoka job,nikategemea nae atarudi muda wake niliouzoea ambao ni saa 11 jioni. Mara ghafla nikaona kwenye saa 2 usiku mtu ananipigia eti ananiambia upuuzi...
  14. Mr-Njombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafanyanini ukigundua kua mkeo ana mtoto aliyemzaa zamani na alikuficha?

    Komassava! Msaada wa ushauri. Kaka yangu ameoa na imepita miaka mitano sasa . Lakini hivi karibuni kagundua kua mkewe alikua kashazaa kipindi anasoma na kumuacha mwanae kwabibi yake na hakuwahi kumwambia ukweli. Kaanza kukosa imani na mkewe kwamba huenda kuna mambo mengi anamficha Je...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kupendwa na mkeo?

    Chemsha mchaichai majani ya maboga oga siku tatu maji uvuguvugu tia chumvi mawe kijiko kimoja manuizi ya mvuto kupendwa kuthaminika. Fanya mpaka saba, ogea njoo niambie.
  16. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu ya kumkinai mkeo

    Unakuta mkeo ni mrembo na ni mtu mwema sana kwako hadi raia mtaani wanatamani wakupore lakini cha ajabu wewe mwenye Mke mwenyewe umeshamkinai mtoto wa watu kitambo. (Hapa ndipo shetani anapojichukuliaga point 3 muhimu katika mkakati wake wa kuzivamia na kuzivuruga ndoa nyingi). Sasa basi,kwa...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raha ya mchepuko úwe pisikali au úwe na Pesa hata Mkeo atakuelewa

    Kwema Wakuu! Najua Wanaume wengi suala la kuwa na Mwanamke mmoja NI kipengele. Hiyo siô tatizo. Raha ya mchepuko úwe pisikali iliyonyooka, yàani Mtoto matata, kiuno thelasini, hipsi thelasini na Saba, kifua thelasini na tatu. Mtoto laini kama nyama ya ulimi. Dadeki! Yàani ukimtazama hivi...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkeo akikupa taarifa ya mpangaji mwenzenu wa kiume kumuomba namba utachukua hatua gani?

    Kwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na mkeo akamnyima na akaja kukusimulia wewe ila kwa kuogopa kugombanisha mpangaji na mkewe akakuomba...
  19. KijanaHai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kumfungulia Biashara mkeo unaweza kuacha kutoa pesa ya matumizi nyumbani?

    Wanaume kwenye familia imekuwa ni jukumu la msingi kuhudumia familia lakini bado wanaume ndo wenye jukumu la kuhakikisha ndoto za familia na maendeleo mengine yakue kwa kipato anachopata. Lakini naomba kuuliza endapo mwanaume hasa waliopo kwenye ndoa je unapoamua kutafuta mtaji na kufungu...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Mwanaume Achana na Mambo ya Kupima DNA, kikubwa Shukuru Mkeo Kazaa Binadamu

    Ndugu zangu Watanzania, Haya ni Maneno ya Hekima ya Mheshimiwa Albert Chalamila,Mkuu wa Mkoa wa Dar Salaam.ambaye amepata bahati kubwa sana ya kuongoza takribani majiji matatu Makubwa hapa nchini, yaani Jiji la Mbeya,Mwanza na Sasa Jiji la Dar es salaam. Kumbuka pia ameongoza hata mkoa wa...
Back
Top Bottom