mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GRAMAA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilijenga kwenye kiwanja cha familia ya mke wangu sasa bahati mbaya mke wangu huyo amefariki

    Wakuu ndiyo ipo hivyo Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake. Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia...
  2. Othman Qadir

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moyo mpweke - nahitaji mke wangu wa maisha

    Habari ndugu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni mpweke na nipo singo, natafuta mwanamke ambaye atanipa faraja moyoni kwa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu. Nina uhitaji wa mwanamke ambaye atakuwa mstari wa mbele kushirikiana nami kwa maisha ya familia ili kuleta furaha...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ana nini huyu Mke wangu?

    Habari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika. Ni hivi, mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hivi mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka. Sas,a huwa tunawasiliana karibu kila siku, tatizo ni kwamba nikimpa maelekezo tunakubaliana vzr ila atafanya alivyoamua yeye. Mfano, likizo...
  4. kyagata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe Mke wangu ana mume wake wa kazini!

    Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mtafaruku ni Mkubwa. Huu mwaka naona unaisha vibaya Mno. Kama sitakuwa macho nyumba yangu inaweza kuvunjika. Sorry nianze kwa Salamu maana Leo mtanifaa Sana kwa ushauri Bora. Assalam alyekum kwa Waislam, Tumsifu Yesu Kristo kwa Waislam. Wapagani, salama...
  6. Junior Lecturer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfuma mke wangu akimfunda jirani/maarufu kama shoga yake kuchepuka

    Asalaam wana JF! Leo sikuwa na ratiba ya kwenda popote, nikasema wacha niadhimishe 9 Dec hapa hapa nyumbani, mpaka pale nilipopigiwa simu na Mwenyekiti wangu mpya wa mtaa aliyechaguliwa kwa kura chache sana na kutangazwa mshindi chini ya ulinzi mkali sana. Sijui kwanini, lakini ni Mwenyekiti...
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ghafla anaanza kuniita "Mkuu"

    Wanabodi hii hivi iko sawa. Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi". Je hio ni sawa au ni red flag?
  8. Fazz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana mke wangu lakini huu mchepuko nashidwa kabisa kuuacha

    Salaam wakuu Mimi ni mmjawapo wa kijana nisiyekubaliana kabisa na kataa ndoa. Nimeoa na nna mtoto mmoja na mke wangu kipenzi. Uamuzi wa kuoa niliuchukua baada ya kuona kama nimeshamaliza kila kitu nineshaonja za kila aina kumbe nilikua najidanganya maskini mimi. Nilikutana na huyu binti...
  9. Desierto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natarajia kupata mtoto nje ya mke wangu

    Ndo hivo imetokea japo sijutii kwasababu ya mgogoro wa hapo kipindi Cha nyuma ambapo ilinibidi kumtafuta wa kunipa furaha Sasa baada ya wife kugundua nataka kuoa mwingine Basi akarudisha upendo na kuwa mpole japo mimi sikutaka Tena kuwa naye kwani stim zilishakata kwake Akawa ananiomba...
  10. Maleven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu mke wangu apate ujauzito maelewano yamepotea na unyumba nanyimwa

    Japo tulitofautiana kipindi cha nyuma ula mambo yalikaa sawa, sex ilikua vizuri tu na mambo mengine, ila tangu apate ujauzito, 1. Ni kama ananichukia yani hakuna yale mazungunzo tuliokua twafanya, hakuna story 2. Hata akipika sasa siitwi tena anaweka anakula unakuta tu chakula mezani. 3...
  11. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kua handsome ni kazi ngumu sana, nawapangawisha sana mashemeji zangu

    Ndugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki kumueleza mke wangu isije ikavunja undugu. Kila nikiwaza ninapata jibu kua moja, kua handsome ni kazi...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Khamis Luwongo: Niliwadanganya polisi kifo cha mke wangu, niachieni nikamtafute yupo hai

    Bado huyu jamaa ambaye anasota na kesi ya mauwaji ya mke wake. Lakini kila wakati ananiacha mdowo wazi na maswali mengi kwa namna anavyojibu na kuikwepa kesi yake hii. Leo kasema mengine Alidai kuwa mawakili wa serikali wanataka ahukumiwe kunyongwa, akihoji "vipi nikihukumiwa kunyongwa halafu...
  13. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuta mawe mawili kwenye kimkoba cha mke wangu

    Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, wakati napanga vitu vitu ndani,kwenye mkoba wa Mke wangu nimekuta vipande viwili ya mawe kwenye mkoba wake. MWENYE UELEWA, NAOMBA ANISAIDIE HII
  14. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wakati mke wangu ananikosea ila nikiangalia uzuri wake na watoto alonizalia, hasira zinaisha.

    Kuna raha bwana yakua na mke mzuri, kisha akakuzalia watoto wazuri. Kila muda ukimuangalia na ukiangalia watoto, moyo wako unasuuzika. Kuna wakati watu mtaani wanauliza imekuaje tukachaguana wote wakali, mke mzuri, mume handsome na watoto ndo ma cute hatari sana. Ukitaka kuoa, chagua mke...
  15. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini.

    Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini, Kila mmoja bado alikua kamkasirikia mwenzie. Mimi na yeye wote tunafanya kazi mjini, na ni kawaida yetu kila siku kutoka pamoja kwenda kazini, tumekua ni watu wa kutaniana wakati wa...
  16. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu naona anaanza kumchekea chekea muuza mihogo; na hii habari ya Baltazar Egonga basi sina Imani kabisa. Najiandaa......

    Umiza kichwa sana hawa na kwa hakika hawaaminiki.
  17. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anawasiliana na mwanaume waliyesoma naye chuo huu mwaka wa sita, kila nikimuuliza kulikoni anasema ni urafiki tu hakuna kingine

    Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
  18. Rahidin73

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Naitwa mume zoba kwa kumpenda mke wangu. (kisa cha kweli cha kusisimua)

    SIMULIZI: NAITWA MUME ZOBA KWA KUMPENDA MKE WANGU. SEHEMU: 1 MTUNZI: Madodi ✍🏼 Whatsapp: 0655 969 973 Naitwa Iqram, kijana mrefu, mweusi mwenye tabasamu la kuvutia ambalo lilikuwa na uwezo wa kuwatoa watu wasiwasi hata kwenye hali ya huzuni. Nilikuwa na bahati ya aina yake kwa kumwoa Zuhura...
  19. mbasa ya konge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananitishia amani

    Wakuu nashindwa kumuuelewa mke wangu, siku hizi anafanya mazoezi Sana mazoezi kama vile push up, kukimbia na karate. Wakati mwingine amekuwa na tabia ya kunikaba na kunirushia makonde kama sehemu ya mazoezi yake. Hali hii imeanza kunipa wasiwasi na kuhofia siku Moja atanipiga kweli...
  20. Desierto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kuanza kuchepuka mke wangu ameongeza heshima kwangu

    Dah! Kidogo naona raha ya mapenzi sasa maana toka nianze kuishi nae mwaka wa 4 sasa ilikuwa Ni stress kila siku. Mwezi ulioisha ulitokea ugomvi ambao ulipelekea nianze kuchepuka kwani baada ya ugomvi mm nilijikausha tu nikaapa sitamgusa wala kumpiga Nikapata mtoto wa kitanga nikawa na uhakika...
Back
Top Bottom