mke wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Je, ni kweli mwanaume unajua kuwa chakula hiki hakikupikwa na mke wako?

    Kuna story huwa nasikia kuwa wanaume wanajua kama chakula kimepikwa na wake zao au lah, mfano mwanaume hayupo chakula kikapikwa na mtu mwingine akija kula anajua kabisa aliyepika si mkewe hata kama kitawekwa viungo vilevile ambavyo mke huwa anaweka. Nini kinawfanya mgundue, au kuna namna...
  2. ELI COHEN

    Pale ukifulia hivi ndivyo mke wako anavyokuona kila akiingia chumbani

  3. M

    Bro kama hii ndio type ya wachungaji ambao mke wako anawaheshimu, kufuata ushauri wao, anapeleka watoto wenu kwake, Kazi unayo !

    Kamsave kwenye simu au kumuweka kwenye status kama DADDY ananyenyekea na kumpa attention kukuzidi wewe. yupo tayari kujinyima ili apeleke ahadi au sadaka Yupo tayari kuacha kazi muhimu za nyumbani aende kanisani. Mchungaji akimshauri kitu, hawezi kusikiliza ushauri wako u
  4. Leejay49

    Kwanini umpe mpenzi wako au mke wako hela mbele za watu??

    Wakuu kwema??,. Hivi wanaume wenye hii tabia huwa na shida gani? au ni ulimbukeni? Au nini jamani? Yaani utakuta MTU wametoka nyumban let say anamsindikiza mke wake stand,. Wakishafika wameshuka kabisaa ndio anatoa wallet anampa hela za kutumia sijui za nini na nini.... Hamuonagi aibu...
  5. matunduizi

    Hakikisha mkeo hapungukiwi na mambo haya 3 ya lazima kibiblia

    1: Mavazi. Hakikisha haliilii kuhusu kuvaa. Awe na mavazi ya kumtosha. 2: Chakula. Kuna uhusiano mkubwa kati ya uzuri wa mwanamke na chakula. Hakikisha Kila anachokitaka ili ale kinapatikana KWA kuzidi. 3: Ngono au Tendo la ndoa. Huyo sio dada yako, hakikisha anapata ngono ya kumtosha...
  6. ELI COHEN

    Kwa nini hii kauli huwa inawapa kiwewe wababa🤣, 🗣️"Haukuwepo nyumbani kwa hio nimemuachia mkeo ile hela"

    Utasikia... "Ayaaaaaaaaaa"
  7. Youbettersleep

    Utaamua vipi ukigundua mke wako kajenga nyumba kisirisiri bila wewe kujua?

    Wajomba na mamshangazi twende Direct! Ukigundua mke wako kajenga nyumba kwa usiri na imeisha anakula kodi kimya kimya Ilhali bado mmepanga na mnalipa kodi...maamuzi gani utayachukua? Kumbuka kuwa mmepanga naye kajenga nyumba bila wewe kujua. Mhusika anahitaji mawazo yenu.
  8. Now and then

    Gambo , usijisikie vibaya , mwambie mke wako apige chaki na wewe uendelee na kilimo.

    Pole Sana Gambo. Najua mke wako sasa anarudi kupiga chaki. Ila usivunjike moyo karibu katika kilimo cha mananasi ,papii , oliento sasa mlemavu ududu yaani.
  9. Setfree

    Ukiona dalili hizi, ujue tayari kuna mtu ameishamuiba mke wako!

    01. Angalia mabadiliko ya haraka kwa mkeo: Kila wikiendi jioni, anavaa vizuri na kuondoka nyumbani. Ukimuuliza anasema: "Kinamama tuna maombi ya kufunga na kuomba mwezi mzima kanisani, ntarudi baada ya masaa mawili." Tambua anaenda kufunga ndoa nyingine! 02. Chunguza matumizi ya perfume: Mke...
  10. Desierto

    Kama wewe na mke wako hampigi story za umbeya basi hamuendani

    Inakuwaje mke na Mme mkiwa ndani kila mtu yuko bize na simu na TV? Ukiona hivo basi nyinyi hamuendani yaani kuna nyumba zina raha sana mke na mme ni mwendo Wa story za kucheka tu mpaka wana lala Mfano nilikuwa nikirudi job namkuta mwenzangu naanzisha story mpaka nachoka mwenzangu hamna kit u...
  11. Khanji kapoor

    Picha: Anachopitia mke wako wakati wa kujifungua

    Wakati mke wako akiwa mjamzto hukumbana na changamoto nyingi na maumivu makali ila maumivu makali zaidi ni wakati wa Kuangalia njia na kusafishwa uchafu baada ya kujifungua. Hapo lazima mkono wa mtaalam uingie wote. Ndio maana hawa viumbe wanapojifungua huwa km akili hazipo sawa.
  12. Mr Why

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume inatofautiana sana kifikra, wapo baadhi ya wenzetu fikra zao zimejikita sana kwenye ngono kwa maana...
  13. B

    Ikiwa mke /mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye mboga ni lugha gani utatumia kumwambia?

    Poleni na mfungo wakuu, 👉Kama tunavyojua wanawake wameumbwa na hulka ya kusifiwa 👉Na pia ni emotional oriented " 👉Kwenye suala la upishi huwa wanapenda sana wapewe credit Endapo mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye maakuli ni lugha utatumia kufikisha ujumbe ili usimkwaze 👉Aya tutiririke...
  14. realMamy

    Mama yako na Mke wako nani anastahili kukaa siti ya mbele ya Gari yako mnapotoka wote kwa pamoja?

    Wakuu naomba ufafanuzi katika hili. Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma. Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma. Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwenu wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi. Kipi bora mke wako kulea watoto na kutunza familia ama kazi?

    Wakuu huu mwaka 2025 hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe yote yatabomolewa na kugeuzwa kwa wakati wake. Leo mtuambie wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi na majukumu yote ya nyumbani kuwaachiwa wadada wa kazi. JE NI KIPI BORA KATI YA KULEA FAMILIA NA KUFANYA KAZI?. Pengine sisi tulioa wamama...
  16. Samia atosha tukutane2030

    Hakikisha mke wako hana mwanaume mwingine nje, siku akiwa naye hatokupenda tena mpaka atakufa

    Nawasanua wana musije kusema sijawaambia. Nimewahi kuwa na uhusiano na mke wa mtu, najua ninachokiongea hapa.
  17. Samia atosha tukutane2030

    Kama mume tahadhali usiache kumchunguza mke wako hasa kipindi cha ujana. Utanishukuru.

    Kuna misemo mingi katika jamii ikihamasisha wanandoa waishi tu kwa kuaminiana, watu wasichunguzane ili ndoa zao zidumu muda mwingi. Kama kuna kirusi kimeingia katika ndoa kupitia mke wako ukichelewa kukijua na kukiondoa mapema umekwisha. Wanawake nawajua vyema, ni waelewa na wanakanyika lakini...
  18. Samia atosha tukutane2030

    Hakuna umuhimu wa kuoa mke mfanyakazi. Labda kwa waliofeli maisha wafanye hivyo wasije kufa njaa

    Hello! Ofisi yetu ya umma ina mabinti zaidi ya 20, iko Dar es salaam. Kati ya hao mabinti zaidi ya 20 mabinti zaidi ya 10 kila mtumishi anajua kuwa bosi kawapitia. Hapo hatujahesabu wengine ambao aliweza kutembea nao kwa siri zaidi. Kati ya hawa mabinti wapo wake za watu na wachumba wa watu ...
  19. ngara23

    Kuambatana na mke wako Kwa watu, haimaanishi una mapenzi ya dhati kwake

    Wanaume hatuoneshi mapenzi Kwa maneno au Kwa kujionesha Kwa watu Tunaonesha mapenzi Kwa vitendo na kuwajibika hapo mke na watoto watajua kweli anawapenda Kwa dhati Sio kutaja " I love you" mara 100 Kwa siku, wakati watoto hawana hawana ada, chakula na mahitaji Hapo mwanaume unaonekana huna...
Back
Top Bottom