mke wake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwijaku aachwa na Mke Kisa UZINZI

    Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata mtoto mmoja anayejulikana kwa jina la Marichui. Kupitia chapisho la Instagram, aliyekuwa mke wa...
  2. H

    Account ya Akon yakutwa ipo mil 24 tu kwenye mchakato wa kugawana Mali na mke wake

    Mke wa msanii maarufu anayejulikana Kama Tomeka Thiam ambaye ni mke wa msanii maarufu wa R&B Akon ameenda kudai talaka mahakamani baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miaka 29 akidai alipwe euro million 100 Kama fidia ya kuvunja ndoa yake na Akon. Katika mchakato wa kugawana Mali mahakama imekuta Akon...
  3. M

    Mwanaume limbukeni atamruhusu mke wake kuvaa hovyo lakini anachukia akiona wanaume wengi wakimtongoza, kumuangalia maumbile, kumpigia miluzi, n.k.

    Mwanamke ambae umemtolea mahari na kumuoa ukimuwekea mazingira ya kumruhusu kuvaa taiti, vimini, vitopu, vigauni, vibukta, nk. hesabia umemruhusu ajitangaze kama bidhaa inayohitaji wateja. unaporuhu avae hivyo tafadhali usichukie unapoona anatongozwa sana, watu kugeuza shingo zao kumdadisi au...
  4. Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake

    Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake
  5. Mama Mkwe ni Rais wa Nchi, yeye kama Mume ni Waziri wa Wizara kubwa kuliko zote, Mke wake naye anaenda kupata Ubunge.

    Kwani tukisema nchi inakaribia kuwa ya ki Falme au ki Monarchy tutakosea? ======================================== Katika familia zenye hadhi kubwa ya kisiasa na utawala hapa nchini, huwezi a kuacha kuitaja familia ya Mohamed Mchengerwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Tawala za Mikoa...
  6. M

    Jose Chameleone asikitishwa na mke wake kudai talaka na mgawanyo wa mali

    Mke wa msanii kutoka Uganda Jose Chameleone aitwae Daniella ambaye wameishi kwenye ndoa kwa miaka 17 amepeleka kesi mahakamani ya kudai talaka na mgawanyo wa mali . Hata hivyo Jose Chameleone amepinga kulazimishwa kusaini wosia wa mgawanyo wa mali wakati yeye akiwa bado hai na mzima wa afya...
  7. Mchungaji Kapola na Mke wake naona wana akili za kimasikini sana

    Hawa watu , they are poor. And they will die poor . Materials things like Car, house is nothing ikiwa una akili ya kimasikini.
  8. Weasel manizo wa uganda yuko hoi mke wake alimgonga na gari maksudi

    Nitarudi nasikia uganda mke wake kamgonga na gari nitakuja asubuhi kuleta taarifa kamli kutoka uganda nasikia anaweza katwa miguu mke wake ni mrwanda Haya 15:08 nimerudi tena kumalizia ufyete kutoka uganda Basi bwana, vyanzo vya kuaminika vya mitaa ya kampala vimepiga kelele...
  9. Msanii Zimwi adai mke wake alimkimbia baada ya kuugua

    Muigizaji na mchekeshaji maarufu Zimwi amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu Hivi karibuni amefanya mahojiano na waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa yeye ni baba wa mtoto mmoja na amekuwa na mwanamke aliyemkimbia kipindi cha kuugua ingawa alimsaidia sana mke wake pamoja na familia ya...
  10. Rafiki yangu kampa kadi ya benki mke wake na akipata mshahara wote anampa mkewe. Yuko sawa kweli?

    Wakuu, Hivi hii imekaaje? Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini. Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya...
  11. N

    Mwanaume ni busara amzidi mke wake umri, uumbaji wa Adam kabla ya Hawa ni fundisho, Ndoa zenye watu waliolingana zinaongoza matatizo

    Adam aliumbwa kwanza. Kabla ya kuletwa kwa Hawa, aliishi peke yake kwenye bustani ya Edeni, akajifunza mazingira, kuishi na wanyama na namna ya kuyaendesha maisha. Alipokuwa tayari, ndipo Mungu akamletea msaidizi wake, Hawa, si kama kiongozi mpya, bali kama msaidizi wake wa karibu. Adam...
  12. Amepewa kichapo na kaka wa mke wake baada ya kumpiga mkewe ni sahihi?

    Jamaa moja huko Nigeria amempiga mke wake. Kaka wa mke wake wamefika nyumbani kwake na kumpatia kipigo kitakatifu. Hili suala limekaaje?
  13. R

    Angalia majibu anayopewa Mrisho Mpoto baada ya kupost Instagram kuwa amefiwa na mke wake

    Watu wanatembea na visasi rohoni/moyoni. Nenda X muna alivyojibiwa
  14. W

    Mama yake na dada zake wanashirikiana amwache mke wake hadi kwenda kwa waganga kumroga, Hivi wanawake wapo timamu kweli ?

    Kuna mdau ni rafiki wa muda mrefu tangu tukiwa shule ya msingi. elimu ipo, roho safi na kwa bahati nzuri alipata connection kuajiriwa moja ya shirika kubwa, so yupo vizuri financially. Sasa tangu aoe hali imekuwa tete, nasema ni tete kwasababu sio kawaida mwanaume mwenzako kuja kukuomba...
  15. Je, ingekuwaje kama Rais Macron angemsukuma mke wake?

    Katika masuala ambayo huwa siyaelewi ni hili. Huu ni mfano mmoja tu kuwa wanaume tunapitia mengi chini ya mapaa ya nyumba zetu wenyewe. Wanaume wanaopigwa na wake zao sio wengi saana lakini wanaume wanaokuwa verbally, emotionally na psychologically abused/tortured na wanawake ni wengi saana...
  16. Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca

    Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca. Faida ni kuwa utakuwa Comfortable Sana . Na pia utakuwa unawaza kitofauti Sana . Na itakuongezea heshima 35 Yrs Jux 23 Yrs Prisca.
  17. Mtazamo wangu kuhusu jamaa anaedai kuibiwa vitu na hela milioni tano na alie kuwa mke wake wa ndoa.

    Huenda jamaa kamuua mke wake. Na hii story ametengeneza kama Alibi. Ushauri: Ahojiwe vizuri, anaweza akawa anajua mke wake yupo wapi. Thank me later 🙏🙏🙏🙏
  18. Kuna uwezekano Miaka ijayo mtu akamuozesha mke wake mwenyewe kwa jamaa mwengine

    Naona zipo dalili kwa wanaume kukosa misimamo katika ndoa zao,jambo ambalo linenifanya nifikirie mbali zaidi kwa kuona Tunaweza kuingia katika utamaduni mpya wa ndoa. Wengi wataozesha wake zao kwa sababu za kifedha au kuendeshwa na wake zao ama wazazi. #UziTayari
  19. B

    Anaomba ushauri kila akifanya tendo la ndoa na mke wake, anachoka sana tofauti na "akichepuka"

    Habari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri. Ninaye mwanangu mmoja anaomba ushauri kila akikutana na mkewe anachoka kupita kiasi kulinganisha na akikutana kimwili na mwanamke mwingine. Anasema hii changamoto imekuwepo kwa miaka 10 sasa toka waoane. Mwanzoni alikuwa anafikiri labda changamoto...
  20. N

    Hivi unamuitaje mpenzi au mke wako mama?

    Kuna kitu ambacho sitakielewa hapa duniani basi ni hii tabia ya wanaume kuwaita wapenzi wao au wake zao mama! Hivi mpenzi wako anaweza kuwa mama yako kweli? Mtu ambae unalala nae uchi na mnamaliza staili zote za mibinuko unamwita mama? Au mimi mshamba? Hii ni heshima au ndio mapenzi? Na nyie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…