mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa Bongo hii ukiajiriwa ni sawa umesaini mkataba wa kuwa maskini daima

    Hello! Hivi mtu analipwa laki 7, 8, 5, 6, 4,3 au milioni 1, 1.5 na milioni 2 huyo umaskini utamtaka vipi? Usafiri na kula 20k per day hapo nyumbani 20 jumla 40 kwa siku. Hapo ukiweka, ada, umeme, ndugu, michango, dharura, mavazi n.k jibu linakuja NEGATIVE. Wengine wanaamua kukopa walipwe 33%...
  2. JamiiForums Tanzania Mkataba wa kupanga chumba kama hujauelewa unaweza dai pesa kuhama

    Wadau ukipanga nyumba ukipewa mkataba wake ukawa hujaelewa sheria zake unaweza kuda pesa yako kusepa ndio siku ya kwanza.
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu Kuvunjiwa mkataba

    Habari zenu humu
  4. JamiiForums Tanzania Mkataba Ujenzi Daraja la Jangwani - Dar Kusainiwa Mwezi Septemba, 2024

    MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI - DAR KUSAINIWA MWEZI SEPTEMBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho za kusaini Mkataba wa Ujenzi wa Daraja katika eneo la Jangwani jijini Dar es salaam ambapo mkataba unatarajiwa kuwa umesainiwa mwezi...
  5. JamiiForums Tanzania LHRC yatoa wito Tanzania kuridhia Mkataba wa Kimataifa wa Ulinzi kwa Watu Wote dhidi ya Kupotea na Kutekwa, 1994

    MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WAHANGA WA MATUKIO YA KUTOWEKA NA KUTEKWA (ENFORCED DISAPPEARANCES) Dar es Salaam, Agosti 30, 2024 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo Agosti 30, 2024 kinaungana na wadau wote wa Haki za Binadamu Duniani katika kuadhimisha siku ya Kimataifa ya...
  6. JamiiForums Tanzania Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambazo mkataba wake sio wa kudumu

    Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambao mikataba yao haizidi mwaka m1
  7. M

    JamiiForums Tanzania JKT mbona watu wa degree hamuawachukui mara nyingi wanatoboa mkataba

    Kwa miaka zaidi ya minne mfululizo wale vijana walioko makambini hamuwachukui wenye degree kwa ajili ya ajira Na kama mkiwachukua huwa mnadonoa tu Ila wa form 4 na form 6 ndo mnawa pendelea Hivi majui kwamba mnazidi kuongeza wimbi la jobless wengi wenye degree mtaani tunaomba mliangalie hili...
  8. JamiiForums Tanzania Virgil van Dijk asema Liverpool haijampa mkataba mpya

    Beki wa kati na nahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk (33) amesema licha ya kuwa mkataba wake umesaliwa na Mwaka mmoja, hajapata mkataba mpya hali ambayo inaonesha dalili kuwa inawezekana maisha yake yasiwe marefu kikosini hapo. Mbali na Van Dijk mastaa wengine wat imu hiyo ambao mikataba yao...
  9. JamiiForums Tanzania Mkataba wa Muungano una kipengele cha ‘Masharti ya Kuuvunja’?

    Wataalamu wa mambo ya sheria mtakubaliana na mimi kuwa mkataba wowote halali lazima uwe na kipengele cha kuvunja ambacho kinaeleza ni mambo gani yanaweza kupelekea mkataba husika kuvunjika. Kwa walio na mkataba wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar je kuna kipengele hicho na endapo kipo kina...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania Yasaini Mkataba wa Dola za Marekani Milioni 77 kwa Uchimbaji wa Madini ya Chuma

    Shirika la Maendeleo la Taifa la Tanzania (NDC) limesaini mkataba wa dola za Marekani milioni 77 na kampuni ya Fujian Hexingwang Industry Tanzania ili kuwezesha uchimbaji wa madini ya chuma. Mradi huo utajengwa katika Wilaya ya Ludewa, mkoani Njombe, huku uzalishaji wa chuma wa majumbani...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Hiyo Yanga Mmeingia mkataba wa milioni 16.6 kwa mwezi na GSM?

    Imenishangaza sana kuona Club ya Young Africans wanakubali mkataba wa kimangungo kabisa. 1 bilion kwa miaka mitano ni hela ndogo sana na sijui watanufaikaje nayo in a long run. Pesa ambayo kwa mwezi ni Milioni 16.6 tu.. This is too stupid for the club development
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mati Super Brands yasaini mkataba na Bongo Records

    Ferdinand Shayo, Manyara. Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi yenye makao makuu yake Mjini Babati Mkoani Manyara ya Mati Super Brands Limited imesaini mkataba wa makubaliano ya kufanya kazi pamoja na Kampuni ya Muziki ya Bongo Records inayoongozwa na Producer Maarufu PFunk Majani kwa lengo...
  13. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Barabara hazijatengenezwa, Bora Tungesaini mkataba bila kuwa na sherehe

    https://www.youtube.com/watch?v=_u-grci0Q9Q Akizungumza na viongozi mbalimbali wa Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa huo, Albert Chalamila amesema ucheleshwaji wa maboresho ya Barabara unaoendelea hauna taswira nzuri kwa kuwa mikataba ilisainiwa na sherehe ikafanyika. Anasema “Tulisaini mkataba na...
  14. JamiiForums Tanzania Makambo Jr atimkia Ujerumani, alamba mkataba wa miaka 3

    Timu hii kule nchini Ujerumani inacheza daraja la 6 (Verbandsliga Hessen Süd) wakati huku team ya Mashujaa ilikuwa inacheza daraja la kwanza, hapa ameula au hoya hoya Wakuu? ==== Aliyekuwa mshambuliaji wa Mashujaa FC, Athuman Masumbuko 'Makambo Jr' amejiunga rasmi na Klabu ya 1.FCA Darmstadt...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kazi dereva wa mkataba

    Mawasiliano +255620666761 Naendesha class D vehicles only.
  16. JamiiForums Tanzania Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube

    TAARIFA Tunapenda kuutaarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024. Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji hiyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoanishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba. Tunamtakia...
  17. JamiiForums Tanzania Seoul yasaini Mkataba wa Kujenga Bandari ya Uvuvi Zanzibar

    Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ya Zanzibar imesaini mkataba wa ushirikiano na wizara ya bahari na uvuvi ya Jamhuri ya Korea kwa ajili ya utafiti wa uwezekano wa kujenga bandari ya uvuvi na maendeleo ya miundombinu ya uvuvi Zanzibar. Wakati wa hafla ya kusaini mkataba iliyofanyika katika...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Chama amesaini mkataba wa mwaka mmoja kwa mabingwa Yanga

    Taarifa kutoka kwa viongozi wa Clatous Chama wamedai kiungo Mshambuliaji wa Simba amefanikiwa kutia saini ya mwaka mmoja na Mabingwa wa ligi kuu ya NBCPL ambao ni Yanga. kwahiyo Chama msimu ujao tunaweza kumshuhudia akiwa ameva uzi wa njano na kijani akikiwasha inavyopaswa. Licha Chama...
  19. JamiiForums Tanzania Hospitali ya rufaa kitete yatangaza ajira 126 za mkataba kwa wataalamu wa afya mbalimbali

    Hospitali ya rufaa kitete mkoa wa Tabora imetangaza ajira za mkataba 126 kwa wataalamu wa afya mbalimbali mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 25/06/2024.
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa hospitali ya liwale iliyopo Liwale-Lindi walioajiriwa kwa mkataba na Halmashauri kupitia mdau MSF hawana tarehe maalumu ya mshahara

    Kuna watumishi wapatao 43 ambao wameajiriwa kwa mkataba Halmashauri ya Liwale kupitia mdau Medicines San Frontiers (MSF) au Madaktari wasio na mipaka miongoni mwao ni Madaktari, wauguzi na wataalamu wa maabara na wahudumu wa afya ngazi ya jamii zaidi ya 10. Cha ajabu ni kuwa hawajapata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…