mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Klabu ya Simba imeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya MobiAd

    Klabu ya Simba imeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya MobiAd kwa ajili ya kusaidia ukuzaji wa maendeleo ya soka la Vijana huku Mkataba huo ukiwa na Thamani ya 500M huku kukiwa na nafasi ya kuboresha zaidi. “Soka la vijana ni muhimu sana. Ili uwe na timu ya vijana iliyo bora lazima...
  2. Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) kuingia mkataba na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Kufundisha wanafunzi

    Utangulizi Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE) kila baada ya miaka 5 inafanya Utafiti wa soko la Ajira ili kuboresha mitaala yake. Mwaka jana Mwezi March, 2022 CBE kilifanya Utafiti kwa Wahitimu waliomaliza chuoni apo. Matokeo ya Utafiti 59.5% ya Wahitimu wameajiriwa katika Taasisi za Umma na...
  3. Uganda yasaini Mkataba na China kujenga Kinu cha kwanza cha Nyuklia

    Serikali imetia saini Mkataba na Shirika la Kitaifa la Nyuklia la China (CNNC) ambalo litasaidia kujenga uwezo katika matumizi ya Nishati ya atomiki kwa malengo ya amani. Kwa mujibu wa Waziri wa Nishati na Madini, Ruth Nankabirwa Ssentamu, Nchi hiyo inatarajia kupata Megawati (MW) 1,000 kutoka...
  4. B

    NCCR Mageuzi wapinga vikali mkataba wa LATAFIMA kuzuia Uvuvi ziwa Tanganyika

    NCCR - MAGEUZI wapinga vikali mpango wa serikali ya Tanzania ulioridhia kuzuia uvuvi kwa miezi mitatu mitatu katika miaka ya 2023, 2024 na 2025 ambao miezi mitatu ya mwanzo itaanza mwezi Mei 2023 ziwa Tanganyika kupumzisha uvuvi kwa miezi mitatu kisha mpango huo kurudiwa mwaka 2024 na mwaka 2025...
  5. Kampuni ya Tanzania yasaini mkataba wa ugavi wa madini na Tesla ya Elon Musk

    Wakati maombi yake ya leseni ya kutoa huduma za intaneti kupitia kampuni yake ya Starlink yakiwa yamewekewa kigingi na masharti ya serikali, Bilionea Mmarekani Elon Musk amepenya kwenye soko la Tanzania ambapo atanunua malighafi ya kutengenezea betri za magari ya umeme. Taarifa iliyotolewa kwa...
  6. TFF hawana uwezo wa kufafanua kisheria vipengele alivyokosea Feitoto kimkataba. Watarudia maneno matano tu. Feitoto ni mchezaji wa Yanga kimkataba

    Hilo ninauhakika. Hawana jeuri ya kusema kuwa feitoto alitakiwa afanye Nini kisheria. Nasisitiza hakuna hoja za kisheria zinazombana
  7. Hersi akiri Yanga imekiuka mkataba na SportPesa

    Wakati mazungumzo yakiendelea kuhusiana na hatma ya mkataba kati ya Yanga na mdhamini wao SportPesa, Rais wa Yanga Hersi Said amekiri kuwa baadhi ya vipengele vilivyokuwa vinaibana Yanga wamevikiuka katika mkataba wake na SportPesa. Akihojiwa na kituo cha Television cha Clouds, Hersi amesema...
  8. Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
  9. Mwathirika mkuu wa ndoa kwa Sasa ni mwanamke! Tubadili Sheria tufunge ndoa za mikataba muolewaji alipwe pesa kulingana na mkataba!

    Kokote unakoenda Tanzania mwanamke ni mhanga wa ndoa! Haijui kesho yake na linapotokea tatizo ni mwanamke ndie anafukuzwa, kupigwa na kudhalilishwa! Hakuna mahari mwanaume akafukuzwa! Akifukuzwa ujue ni yeye aliekuwa analelewa! Tubadili Sheria mwanamke aolewe kwa mkataba kwa usimamizi wa...
  10. Kaya 644 Magomeni kota zagomea kusaini mkataba kununua nyumba

    Dar es Salaam. Wakazi 644 wa Magomeni Kota wamegomea kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba hizo, kwa madai kwamba bei waliyoletewa sio rafiki na haiendani na hali ya uchumi wao. Aidha wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan aingilie kati kwa kuwa bei ya Serikali iliyowasilishwa ni kati ya Sh48...
  11. Mwigulu mjibu Mpina ishu ya Mkataba wa SGR Tabora Kigoma

    Mwigulu Nchemba naona jana umepambana bungeni kumjibu Mpina kuhusu hoja ya Mfumko wa Bei na waliokuelewa wamekuelewa na ambao hawajaelewa hawataelewa. Kuna jambo kubwa sana Mpina amelizungumzia kuhusu Mkataba wa Kampuni ya China inayojenga reli ya SGR Tabora Kigoma nadhani ni muhimu pia umjibu...
  12. S

    Luhaga Mpina aanika Bungeni Ufisadi wa Trilioni 1.7 Mkataba wa SGR Tabora - Kigoma

    Mchango wa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina (Mb) akichangia kuhusu taarifa ya mwaka ya shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu na Kamati ya Kilimo Mifugo na Maji kwa kipindi cha Januari 2022 hadi Januari 2023 Bungeni Dodoma tarehe 31 Januari 2023 Mheshimiwa Spika...
  13. Mkataba wa sportpesa na Yanga unaruhusu haya?

    Visit Tanzania ni tangazo ambalo linapaswa kufanywa na idara ya utalii na tanapa ili kuvutia wageni kuja Tanzania kuona vivutio vyetu. Matangazo kama haya huwaga na bajeti yake tena kubwa TU kwenye sekta husika. Je, mkataba unamruhusu sportpesa kuichagulia Yanga nini Cha kuweka kwenye jezi yake...
  14. Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

  15. Tanzania na kampuni ya UAE zatia saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) wa mafuta kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kupokea na kuhifadhi mafuta

    Serikali jana ilisaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na kampuni ya Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kupokea na kuhifadhi mafuta ya petroli. Mkataba huo ulitiwa saini na Wizara ya Nishati na wawakilishi wa Shirika la Emirates National Oil Company Group (ENOC) lenye...
  16. Simba SC hivi kweli 'a Competent CEO' anaweza kupewa Mkataba wa Miezi Sita ( 6 ) na Taasisi inayojitambua?

    Sasa kama mmempa Imani Kajula kuwa CEO wa Simba SC kwa hii Miezi Sita ( 6 ) tu kwanini msimuite Kaimu CEO ili tujue moja. Acheni kudhani wana Simba SC wote hawana Akili kama mlivyo sawa? Hivi katika Corporate World na Taasisi yenye Uweledi na Umakini CEO anayepewa Mkataba wa Miezi Sita ( 6 )...
  17. Fahamu hili, kabla hujasaini mkataba wa ndoa na mwenzi wako

    Siku Ile unasaini Ile karatasi ya mkataba wa ndoa ni siku Muhimu Sana Wenda kuliko siku zote katika maisha yako yote. Siku hiyo unasaini mkataba wa Mafanikio yako katika awamu mpya ya maisha au mkataba wa kufeli kabisa katika maisha. Kabla ya kufikiri ni gauni gani utavaa, fikiri Huyu...
  18. Klabu yavunja mkataba wa Dani Alves akikabiliwa na tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia

    Beki wa zamani FC Barcelona ameendelea kubaki chini ya ulinzi wa Polisi jijini Barcelona Nchini Hispania kutokana na tuhuma zinazokabili wakati uchunguzi ukiendelea. Alves (39), anadaiwa kumshikashika na kumpapasa mwanamke mmoja bila ridhaa yake katika ukumbi wa muziki, Desemba 2022, tuhuma...
  19. Uganda yaingia mkataba na kampuni ya Uturuki kwenye SGR

    Hii ni kwa kipande cha SGR kitakachounga hadi Kenya.... After eight years of non-execution, the Uganda government has terminated the contract of China Harbour Engineering Company (CHEC) to build the country’s first phase of standard gauge railway (SGR), a 273km line from Malaba to Kampala, The...
  20. Uganda yavunja mkataba wa ujenzi wa SGR wa Tsh. Trilioni 5.1 na kampuni ya China, yasaini na Yapi Merkez

    Baada ya miaka 8 ya kushindwa utekelezaji, Serikali ya Uganda imesitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour Engineering Company (CHEC) ya kujenga awamu ya kwanza ya reli ya kisasa (SGR), njia ya kilomita 273 kutoka Malaba hadi Kampala. Njia hiyo, inayoanzia mpaka wa Malaba kati ya Uganda na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…