mkandarasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐™Š: MARIO ๐™ˆ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐˜ผ๐™…๐™„: MADILU & FRANCO ๐™๐˜ผ๐™๐™Ž๐™„๐™๐™„: SULE MKANDARASI

    ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐™Š: MARIO ๐™ˆ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐˜ผ๐™…๐™„: MADILU & FRANCO ๐™๐˜ผ๐™๐™Ž๐™„๐™๐™„: SULE MKANDARASI ๐™ˆ๐™–๐™ง๐™ž๐™ค ๐™ฃ๐™ž ๐™Ÿ๐™ž๐™ฃ๐™– ๐™ก๐™– ๐™ ๐™ž๐™Ÿ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™–๐™ฃ๐™–๐™ฎ๐™š๐™ฅ๐™š๐™ฃ๐™™๐™– ๐™ ๐™ช๐™ก๐™š๐™ก๐™š๐™ฌ๐™– /๐™ ๐™ช๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ž๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ฎ๐™š ๐™ข๐™–๐™๐™ช๐™จ๐™ž๐™–๐™ฃ๐™ค ๐™ฃ๐™– ๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™–๐™ฌ๐™–๐™ ๐™š ๐™ฌ๐™–๐™ก๐™ž๐™ค๐™ข๐™ฏ๐™ž๐™™๐™ž ๐™ช๐™ข๐™ง๐™ž. ๐™†๐™ฌ๐™– ๐™ฃ๐™ฎ๐™–๐™ ๐™–๐™ฉ๐™ž ๐™๐™ž๐™ฏ๐™ž ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™๐™–๐™ฅ๐™– ๐™๐™ฏ ๐™ซ๐™ž๐™Ÿ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ฎ๐™š ๐™ฉ๐™–๐™—๐™ž๐™– ๐™ฏ๐™– ๐™ฃ๐™–๐™ข๐™ฃ๐™– ๐™๐™ž๐™ž ๐™ฌ๐™–๐™ข๐™š๐™ฅ๐™š๐™ฌ๐™– ๐™Ÿ๐™ž๐™ฃ๐™– ๐™Ÿ๐™ž๐™ฅ๐™ฎ๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฉ๐™–๐™ข๐™—๐™ช๐™ก๐™ž๐™ ๐™– ๐™ ๐™–๐™ข๐™– "๐™†๐™ž ๐™—๐™š๐™ฃ ๐™ฉ๐™š๐™ฃ". ๐™†๐™ฌ๐™–...
  2. ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐™Š: Djodjo ngonda wa Wenge musica bcbg

    ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐™Š: DJODJO NGONDA ๐™ˆ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐˜ผ๐™…๐™„: WENGE MUSICA BCBG ๐™๐˜ผ๐™๐™Ž๐™„๐™ : SULE MKANDARASI ^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^ ๐™’๐™–๐™ ๐™–๐™ฉ๐™ž ๐™ข๐™ฌ๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ž๐™ฃ๐™š ๐™ ๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ฎ๐™š ๐™จ๐™–๐™›๐™–๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™ข๐™–๐™๐™ช๐™จ๐™ž๐™–๐™ฃ๐™ค ๐™๐™ช๐™ฌ๐™š๐™ฏ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฉ๐™ค๐™ ๐™š๐™– ๐™ช๐™ ๐™–๐™Ÿ๐™ž๐™ ๐™ช๐™ฉ๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™—๐™–๐™๐™–๐™ฉ๐™ž ๐™ข๐™—๐™–๐™ฎ๐™– ๐™ช๐™ข๐™š๐™–๐™ฃ๐™œ๐™ช๐™ ๐™ž๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ฎ๐™š ๐™ฅ๐™š๐™ฃ๐™ฏ๐™ž ๐™ฏ๐™ž๐™ฉ๐™ค ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™ข๐™ฉ๐™ช ๐™–๐™จ๐™ž๐™ฎ๐™š๐™Ÿ๐™–๐™ง๐™ž ๐™๐™ž๐™จ๐™ž๐™– ๐™ฏ๐™–๐™ ๐™ค ๐™ฃ๐™– ๐™๐™ž๐™ซ๐™ฎ๐™ค ๐™ช๐™ ๐™–๐™Ÿ๐™ž๐™ ๐™ช๐™ฉ๐™– ๐™ช๐™ข๐™š๐™—๐™–๐™ ๐™ž ๐™ ๐™ช๐™ฌ๐™– ๐™ฃ๐™ž...
  3. L

    David Kafulila ni Mkuu wa Mkoa Pekee Nchini ambaye amewahi kumpa Amri Mkandarasi kurudia Barabara kwa gharama zake

    Ndugu zangu Watanzania, Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kuogopa wala kupoozwa wala kuangalia ni nani anayepambana naye au aliye mbele yake. Chuma David...
  4. Mbunge Suma Fyandomo Alia na Barabara ya Mbeya, Ataka Mkandarasi Apewe Fedha kwa Wakati

    MBUNGE SUMA FYANDOMO Alia na Barabara ya Mbeya, Ataka Mkandarasi Apewe Fedha kwa Wakati "Nampongeza Waziri Bashungwa, anafanya kazi nzuri sana, anaitendea haki Wizara ya Ujenzi, endelea na moyo wako huo unaokutuma kufanya kazi za Watanzania, sina mashaka na wewe unafanya kazi kubwa sana...
  5. Tafsiri ya wimbo 'Centieme dossier' wa Fally Ipupa

    ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐™Š : Centieme dossier ๐™ˆ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐˜ผ๐™…๐™„ : FALLY IPUPA ๐™๐˜ผ๐™๐™Ž๐™„๐™๐™„ : SULE MKANDARASI "๐™…๐™š ๐™ ๐™ช๐™ข๐™ฅ๐™–๐™ฉ๐™– ๐™ข๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ฏ๐™– ๐™จ๐™–๐™๐™ž๐™๐™ž ๐™ฌ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ž๐™จ๐™๐™ž ๐™ฃ๐™–๐™ฎ๐™š ๐™ฃ๐™ž ๐™—๐™–๐™๐™–๐™ฉ๐™ž ๐™–๐™ข๐™– ๐™Ÿ๐™ž๐™ฉ๐™–๐™๐™–๐™™๐™– ๐™ฏ๐™– ๐™ข๐™ฉ๐™ช?? ๐™…๐™ž๐™—๐™ช ๐™—๐™–๐™ ๐™ž ๐™ฃ๐™–๐™ก๐™ค. ๐™„๐™ก๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ฎ๐™š ๐™๐™ž๐™ ๐™ž ๐™ ๐™ž๐™—๐™–๐™ค ๐™ฉ๐™ช๐™ฃ๐™–๐™–๐™ข๐™—๐™ž๐™ฌ๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™–๐™ข๐™—๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฃ๐™– ๐™ข๐™ฉ๐™ช ๐™–๐™ข๐™š๐™ฅ๐™ž๐™ฉ๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ฎ๐™š ๐™ข๐™–๐™๐™ช๐™จ๐™ž๐™–๐™ฃ๐™ค ๐™ข๐™—๐™–๐™ก๐™ž๐™ข๐™—๐™–๐™ก๐™ž ๐™ฉ๐™–๐™ ๐™ง๐™ž๐™—๐™–๐™ฃ๐™ž 99 ๐™—๐™ž๐™ก๐™– ๐™ข๐™–๐™›๐™–๐™ฃ๐™ž๐™ ๐™ž๐™ค, ๐™ž๐™ก๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ฎ๐™š...
  6. ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐™Š : YA JEAN ๐™ˆ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐˜ผ๐™…๐™„ : MADILU SYSTEM ๐™๐˜ผ๐™๐™Ž๐™„๐™๐™„ : SULE MKANDARASI '''''''''''''''''' '''''''''''''''''''' '''''''''''''

    ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐™Š : YA JEAN ๐™ˆ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐˜ผ๐™…๐™„ : MADILU SYSTEM ๐™๐˜ผ๐™๐™Ž๐™„๐™๐™„ : SULE MKANDARASI '''''''''''''''''' '''''''''''''''''''' ''''''''''''' ๐™…๐™š! ๐™๐™ฃ๐™–๐™ฌ๐™š๐™ฏ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ข๐™ฌ๐™–๐™˜๐™๐™– ๐™ข๐™ฅ๐™š๐™ฃ๐™ฏ๐™ž ๐™ฌ๐™–๐™ ๐™ค ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™จ๐™–๐™—๐™–๐™—๐™ช ๐™ฎ๐™– ๐™ฃ๐™™๐™ค๐™ฉ๐™ค ๐™ข๐™—๐™–๐™ฎ๐™– ๐™ช๐™ก๐™ž๐™ฎ๐™ค๐™ค๐™ฉ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ข๐™๐™ช๐™จ๐™ช ๐™ฎ๐™š๐™ฎ๐™š? ๐™†๐™ž๐™จ๐™– ๐™˜๐™๐™– ๐™๐™ช๐™ช ๐™ฌ๐™ž๐™ข๐™—๐™ค ๐™ ๐™ž๐™ฃ๐™–๐™ข๐™ช๐™๐™ช๐™จ๐™ช ๐™ข๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ข๐™–๐™ข๐™– ๐™–๐™ก๐™ž๐™ฎ๐™š๐™–๐™˜๐™๐™ž๐™ ๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™ข๐™ช๐™ข๐™š๐™ฌ๐™š ๐™จ๐™–๐™—๐™–๐™—๐™ช ๐™ฉ๐™ช ๐™ข๐™ช๐™ข๐™š๐™ฌ๐™š ๐™–๐™ก๐™ž๐™ข๐™ช๐™ค๐™ฉ๐™–...
  7. A

    KERO Mkandarasi anayechimba mchanga Mto Tegeta anaharibu eneo kubwa la barabara, TARURA wapo kimya tu

    Asante sana JF kwa kutupa Wananchi platform kama hii za kueleza kero, dukuduku na mengine yote ambayo inaweza kuwa ngumu kuyafikisha kwenye mamlaka mbalimbali za binafsi na Serikali hasa kwa sisi Wananchi wa kawaida. Kero yangu ambayo pia naweza kusema ni kero yetu inahusu mamlaka ya Wakala wa...
  8. Bashungwa Awabana Wataalam na Mkandarasi SITE, "Naweza Kufukuza Timu Yote"

    BASHUNGWA AWABANA WATAALAM NA MKANDARASI SITE, "NAWEZA KUFUKUZA TIMU YOTE" Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema hatasita kubadilisha timu ya Wataalam na Mkandarasi wanaoendelea na kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara ya Dar es salaam- Lindi katika eneo la Nangurukuru kutokana na...
  9. Bashungwa Aagiza Kukamatwa kwa Mkandarasi anayejenga Daraja la Mpiji Chini - Dar

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kinondoni (OCD), Mohamed Senkondo, kumshikilia Meneja Mradi wa Kampuni ya China Railway Seventh Group (CRSG), anayetekeleza ujenzi Daraja la Mpiji Chini (mita 140) pamoja na barabara unganishi (km 2.3), ahojiwe ili...
  10. T

    Mkandarasi Mshauri Mwanza Airport

    Naomba kumjua mkandarasi mshauri kwenye uboreshaji wa miundo mbinu uwanja wa ndege wa kimataifa Mwanza, ni nani hasa ili tujua uwezo wake.
  11. Albert Chalamila atishia kumuweka ndani mkandarasi wa Mwendokasi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema haridhishwi na kasi ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka ya Gongo la Mboto na kama hali itaendelea hivyo atamuweka ndani mkandarasi au mhandisi mshauri. Ametoa kauli hiyo leo Aprili 18, 2024 alipofanya ziara ya kukagua ujenzi wa...
  12. Waziri Bashungwa Akagua Barabara ya Matai - Tatanda, Aagiza Mkandarasi Kusimamiwa Kikamilifu

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Rukwa kumsimamia Mkandarasi Kampuni ya China Geo-Engineering Corporation anayejenga barabara ya Matai โ€“ Kasesya; sehemu ya kwanza Matai โ€“ Tatanda (km 25) kwa kiwango cha lami ili uweze kukamilika...
  13. A

    KERO Ujenzi wa barabara ya Safina Olasiti hadi Morombo-Arusha

    Naipongeza Serikali kwa ujenzi wa barabara hii. Changamoto iliyopo ni kuwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Safina Olasiti hadi Morombo hajaweka alama ambazo zinawataka/kuelekeza watumiaji wa barabara kutumia njia mbadala. Hili linasabisha usumbufu kwa watumiaji wa barabara/njia hizo. Pia...
  14. M

    DOKEZO Barabara za Chato zinaharibiwa na mkandarasi uchwara. Amejenga njia za maji za ovyo. Kalemani yupo tu hana lolote

    Hapa gari ndogo haiwezi kupita maana itaharibika kabisa. Mkandarasi kama huyu inakuwaje anapewaa kazi na kuharibu barabara. Any way mzee baba alishaondoka acha mjipigie tu.
  15. Serikali kupitia TANROADS imemkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara-Bonyokwa-Kinyerezi kwa kiwango cha lami

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imemkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara โ€“ Bonyokwa โ€“ Kinyerezi kwa kiwango cha lami; Sehemu ya kwanza yenye urefu wa kilomita 6 pamoja na ujenzi wa daraja la Kinyerezi lenye urefu wa mita 25. Akizungumza kwa niaba ya...
  16. Bashungwa Amataka Mkandarasi Barabara ya Nanganga - Ruangwa Kuelekeza Nguvu Ujenzi wa Madaraja

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameutaka Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Lindi kuhakikisha wanamsimamia Mkandarasi wa Kampuni ya China Railway 15 Bureau Group anayejenga barabara ya Nanganga โ€“ Ruangwa (km 53.2) kwa kiwango cha lami, kuelekeza nguvu katika ujenzi wa Daraja la Lukuledi...
  17. Bashungwa Aagiza Mkandarasi Aliyedhulumu Mfanyabiashara Atafutwe na Kuchukuliwa Hatua

    BASHUNGWA AAGIZA MKANDARASI ALIYEDHULUMU MFANYABIASHARA ATAFUTWE NA KUCHUKULIWA HATUA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amemuagiza Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) kumtafuta na kumchukulia hatua za kisheria Mkandarasi Mohammed Ally wa Kampuni ya Sure Civil and Building...
  18. Kihenzile aitaka TAA kuvunja Mkataba na Mkandarasi anayejenga kiwanja cha Ndege Ruvuma

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameelekeza mamlaka wa viwanja vya ndege Tanzania (TAA) kuvunja mkataba na Mkandarasi anayejenga jengo la abiria la kiwanja cha ndege cha Ruvuma kutoka na Mkandarasi huyo kushindwa kukamilisha jengo hilo kwa wakati. Naibu Waziri David Mwakiposa Kihenzile...
  19. Bashungwa Atoa Miezi Miwili kwa Mkandarasi Kukamilisha Daraja la Mtoa Ruaha Mkuu - Kilombero

    BASHUNGWA ATOA MIEZI MIWILI KWA MKANDARASI KUKAMILISHA DARAJA LA MTO RUAHA MKUU - KILOMBERO Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Reynolds Construction Company kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mikumi-Kidatu-Ifakara, sehemu ya Kidatu-Ifakara...
  20. Bashungwa amuondoa Mkandarasi wa barabara katika Kiwanda cha Sukari Mkulazi - Morogoro

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kumuondoa Mkandarasi wa kampuni ya Kay Bouvet Engineering Ltd ya nchini India na kumtafuta Mkandarasi mwingine mwenye uwezo na sifa za kujenga miundombinu ya barabara katika Kiwanda cha sukari cha Mkulazi Mkoani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ