mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana wa kusimamia Play Station yangu Dodoma. Mshahara 100k

    Done
  2. JamiiForums Tanzania Kama Mdada wa mjini akikuambia kuwe wewe ni "boring" basi tambua unaishi sahihi.

    ................Akikusifia sana basi tambua unajilazmisha kuishi nje ya mipaka yako na comfort zone yako ili kumridhisha yeye au ku-brag kwake kuwa unamuweza. Shikilia hapo hapo mwanangu ni bora uitwe mshamba kuliko kujisukuma sukuma hadi unajikuta umempangia nyumba malaya. A HOE IS A HOE.
  3. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba ipo Kange Mkurumuzi *Rooms 3 (Viwili master) *Sebule *Dinning *public toilet *Umeme *Maji Sqm 603 Price Milioni 39 (mazungumzo yapo) Call 0679991114 / whatsapp 0763316426
  4. JamiiForums Tanzania Tetemeko mjini Arusha

    Wasalaam, Wandugu, ni kweli nimepata beer kadhaa za safari lakini sidhani Kama nimelewa kushindwa kusikia hiki nilichosikia around 8:33 up to 8:34 pm almost 30 seconds kumetokea tetemeko la kutisha maeneo ya, Ilboru na maeneo ya jirani mjini Arusha, Kuna mtu mwengine aliye shuhudia hili? Wasalamu.
  5. JamiiForums Tanzania KERO Wajawazito zahanati ya Mbinga wadaiwa kutozwa Tsh. 500 ya mlinzi

    Mnamo tarehe 29 Aprili nilifika katika zahanati hiyo iliyopo Halmashauri ya Mbinga Kata ya Lusonga nikashangaa kuona wanawake wajawazito wanatozwa Tsh 500 wakidai wahudumu wa pale wakidai kwa ajili ya kumlipa mlinzi. Kama hakitoshi Kadi ya mama mjamzito inauzwa Tsh elfu 2,000 na wakichelewa...
  6. JamiiForums Tanzania Nahisi ni baya mno na ndiyo maana Kakataa au Kakataa kwakuwa liko Vijijini kwa Washamba, ila lingekuwa liko Mjini angekubali haraka sana

    Rais Samia Suluhu Hassan amekataa daraja kuitwa jina lake, akisema ni vema liitwe Mama Maria, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, ikiwa ni sehemu ya zawadi ya kazi ya kupigania uhuru wa Tanzania. Awali, mbunge wa Kalambo, Josephat Kandege (CCM) alimuomba Rais Samia akubali daraja...
  7. JamiiForums Tanzania Dada wa kazi wanasaidia sana kulinda ndoa za watu hapa mjini else nyingi zingepumua icu

    House girls wote popote mlipo. Naomba niwape heshima zenu, na kwa KONGOLO KUBWAA. Haijalishi mateso na mapito mnayopitia, ila akili zenu kubwa za kutembea na wenye nyumba na kuwasitiri zinasaidia kupunguza talaka hapa mjini. Ni wachache watashindwa kutambua hili, ila binafsi kabla ya kulala...
  8. JamiiForums Tanzania Mtendaji wa Mtaa III - nafasi 10 Ifakara Mjini - July, 2024

    POST LOCAL EXECUTIVE III – 10 POST EMPLOYER Ifakara Town Council APPLICATION TIMELINE: 2024-07-09 2024-07-22 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES 1. Secretary of the Local Committee 2. Local Chief Executive 3. Coordinator of the implementation of Policies and Laws implemented by the...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Shirikisho la soka nchini Senegal limezindua sanamu kumuenzi mwanasoka wa taifa hilo Sadio Mane, mjini Bambali alikozaliwa!

    Mambo ndo kama hayo mnavyoona ndugu watazamaji
  10. M

    JamiiForums Tanzania Makonda ni karata muhimu CCM kwa jimbo la Arusha mjini 2025. Anafaa kupewa jimbo.

    Katika majimbo yanayoleta changamoto kubwa kwa CCM nyakati za uchaguzi ni jimbo la Arusha mjini. Kibaya zaidi changamoto kubwa huwa ni ndani ya CCM kwenyewe wakati wa kupata mgombea ubunge kupitia CCM. Kwa utafiti wangu binafsi nadhani CCM Arusha ndo imejaa mamluki wengi sana wa CHADEMA kuliko...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya spika kwa Mpina ni mwendelezo wa watoto wa mjini kuwang'onyesha sukuma gang?

    Kuna maneno na minongong'ono mingi sana vijiweni, kufuatia adhabu inayodhaniwa kuwa ya uonevu iliyotolewa na spika kwa Mpina. Wapo wanaodai spika ana unasaba ama "amewekwa sawa" na wafanyabiashara (mafisadi), lkn wapo wanaodai kuwa hii ni vita ya chini kwa chini kati ya ccm ya watoto wa mjini...
  12. JamiiForums Tanzania Barabara ya Tabora Mjini hadi Igalula yaanza kufanyiwa maboresho

    Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika juu ya kero ya barabara itokayo Tabora Mjini kuelekea Igalula, Goweko na Makibo kupitia Ndevelwa hatimaye kipande cha Kilometa 30 Igalula-Ndevelwa-Tabora Mjini kimeanza kufanyiwa kazi kwa maboresho. Kero ya Mdau ~ Barabara ya Tabora Mjini...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanza: Mlioko Huko Yasemekana Kuna Ajali Hapo Mjini Imesababisha Foleni Kubwa Sana

    Habari na picha
  14. JamiiForums Tanzania Njoo bàriadi mjini nije pwani, morogoro au dar idara ya msingi

    Habari walimu.Mimi ni mwalímu nipo elimu idara ya msingi halmashauri ya mji bàriadi -simiyu nahitaji mtu wa kubadilishana naye Mimi nije pwani , morogoro au dar.Namba za simu 0745388532
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hostel ya vyumba 12 inauzwa tanga mjini million 55

    Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 55 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga. Kwa mawasiliano 0612630936 Attachments
  16. JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea Picha Kutoka Mbali Katika Historia ya TANU Moshi Mjini

    Limekuwa jambo la kawaida sana siku hizi wasomaji wangu kuniletea taarifa nyingi ambazo wao wanazo katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Taarifa nyingine pamoja na picha zinatoka kutoka familia za wapigania uhuru ambao historia imewasahau. Leo nimepokea picha ambazo kwa hakika...
  17. JamiiForums Tanzania Fundi madish aina zote(Dstv, Azam, Startimes,FTA) nipo hapa kwa maeneo Dar es salaam mjini

    Fundi nipo hapa karibu kwa kazi za madish na mfumo wa tv cable ofisini, hotel au lodge karibu tufanye kazi. Napatikana Dar es salaam mjini(mwenge, kariakoo,na sehemu zingine) Mawasiliano 0749247929
  18. JamiiForums Tanzania Naona kumechangamka mjini watu wamepata hela

    Jumatano hii kweli ya watu kujaa beach nimenusa watu Wana mipango ya Hela week hii toka ianze Mpaka itakapoisha maokoto kama yote kama wewe hujapitiwa aisee badilisha mfumo kabisa. Ila mnaotegemea mulipwe madeni tulieni kwanza watu walikuwa na ukata wa kutisha acha wale wale maisha kidogo...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna ile dhana watu wa vijijini wanaishi miaka mingi kuliko wa mijini, kuna uhalisia kwenye ili?

    Kumejengeka dhania ya kwamba watu wa vijijini wanaishi kwa muda mrefu kuliko watu wa mijini kutokana na aina ya mifumo ya maisha wanayoishi. Unakubaliana na hili na unafikiri ni kwa nin watu wanaweka fikra hzi?
  20. JamiiForums Tanzania Hadithi: Mapenzi ya Mjini

    Sehemu ya Tatu: Mtihani wa Mapenzi Baada ya harusi yao ya kifahari na sherehe za furaha, Musa na Amani walijitosa katika maisha mapya kama wanandoa. Waliendelea kuimarisha uhusiano wao, wakifanya kila juhudi kuhakikisha wanadumisha furaha na mapenzi kati yao. Walihamia kwenye nyumba yao mpya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…