mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeua kiki zote mjini. Uchaguzi wao unazungumziwa kuliko hata wa Serikali za mtaa uliopita

    Sasa hivi mpaka january wale wapenda kiki watulie tu mpaka upepo wa chadema uishe yaan nimejua kua CHADEMA inafatiliwa sana inapendwa huu uchaguz unazungumziwa kuliko hata ule uchafuzi wa serikali ya mtaa uliofanyika juz juz
  2. JamiiForums Tanzania Sema mwenyewe Mjini hapa una Christmas ngapi?

    Yes wazawa na wakuja uzi special Mjini hapa Dar tangia ufike una Christmas ngap Binfsi jiji hili la dar nina Christmas 24 Aya wewe mwenzangu hadi sasa hii ni Christmas ya ngapi kuwepo jiji hili
  3. N

    JamiiForums Tanzania Sifa za mtoto wa mjini

    Kuna watu wanapenda sana kujiita watoto wa mjini! Wana jamii wenzangu embu tuchambue sifa za mtoto wa mjini. Binafsi sijui mtoto wa mjini ni mtu wa aina gani. Nasikia tu watu wakijiita au kuitwa mtoto wa mjini!! Hivi ukiwa mtoto wa mjini ndo unakua na sifa zipi? Au unatakiwa uwe na sifa zipi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha ICOT-Morogoro cha Wizara ya Ujenzi kinatoa elimu dhaifu na hakilipi wakufunzi

    Habari ndugu zangu, kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina changamoto kubwa sana. Chuo hakina wakufunzi wakutosha kwaio wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu...
  5. JamiiForums Tanzania Wakala wa mabati ALAF Arusha anapatikana wapi Arusha Mjini?

    Kwa wakazi wa Arusha napenda kufahamu wakala wa mabati ya ALAF anapatikana wapi Arusha mjini na je wanauza mabati kwa urefu ninaohitaji au zimeshakatwa katika urefu wa mita tatu? Naomba kufahamishwa.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Fursa za kiuchumi za kukutoa kimaisha kwa mkoa wa Kigoma hasa Ujiji na Kigoma mjini

    Naomba kufahamishwa fursa za kiuchumi za mkoa wa Kigoma
  7. JamiiForums Tanzania Tangazo kwa wale wote mtasafiri kutoka mjini kwenda vijijini, hapa kuna mambo ya msingi ya kuzingati

    🇹🇿TANGAZO TANGAZO.🇹🇿 Kwa wale mnaokuja kula christmas vijijini zingatia yafuatayo: 1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 2 usiku hivyo mkae kwa kutulia. 2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Byabato Awafariji Watoto Yatima 200 Kupitia Tamasha la Bukoba Mjini Mpya 2024

    MBUNGE BYABATO AWAFARIJI WATOTO YATIMA 200 KUPITIA TAMASHA LA BUKOBA MJINI MPYA 2024 📌 Lengo ni kuwapa faraja katika msimu wa sikukuu 📌 Vitabu, Madawati, Vitanda vyatolewa 📌Wananchi wajitolea kuchangia Damu Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau...
  9. JamiiForums Tanzania JAMANI KUNA WATU WANA MBINU YA KUKWEPA KULIPA MADENI HAPA MJINI

    Huyu Boss nilimshushia mzigo wa kama 2.4m wiki ilopita tuaahidiana baada ya siku 3 ataclear. Juzi nimeenda ofisini kwake, alikuepo yeye na mkewe, ile napaki ka pikpik kangu pembeni naingia ofisini waliponiona tu wakaanza kutupiana maneno kama ya ugomvi vile ugomvi so wa kitoto maneno makali...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwa maisha ya mjini ukizembea malezi unakuja kuwa na hasara ya watoto mbeleni hasa watoto wa kike

    watoto wa mjini wanahitaji malezi serious sana vinginevyo ni hasara tupu mbeleni nakua disappointed sana kuona blunders za uswahililini hasa kwa dar kwa hawa watoto wakike ni ama wasome waje kua na kazi za maana au waolewe na wanaume wanajielewe vinginevyo wapo kwenye risk ya kua hasara ...
  11. JamiiForums Tanzania Sikushangaa kumuona Rayvanny kwenye jukwaa la Mwamposa. Mjini kuna mengi

    https://www.instagram.com/reel/DDik26boAQ2/?igsh=aTVva3FldHozbmRw Najua wengine mnashangaa Rayvanny na Mwamposa wapi na wapi. Rayvanny ametoa album na kuna wimbo yupo na Mwamposa. Usiku alikuwa kwenye ibada ya Mwamposa na akapanda jukwaani akapewa na maiki aimbe. Watu wanasema anapromoti...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Hivi mliojenga hapa mjini, mliwezaje? Mna miujiza ama ni wezi?

    Kila kitu hapa mjini kinahitaji hela, unawezaje kusevu hela mpaka ufike hatua ya kujenga? Na ukichukuwa mkopo benki ndiyo hatari zaidi. Kama ni mkopo wa kutegemea mshahara utakuta unakuwa mteja wa kausha damu, na kama ni biashara utaona inakufa mbele ya macho yako. Mjini mambo yote yanahitaji...
  13. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge Moshi Mjini Japhari Michael: Genge la Mbowe limeumiza watu wengi ndani ya CHADEMA

    "Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe Freeman Mbowe amezungukwa na kundi la watu ambao wamejijengea umangi meza. Bahati mbaya ni kwamba Mweyekiti ni mwepesi wa kupokea fitina na majungu na wakati mwingine anayapokea kwenye vikao visivyo rasmi. Na akishaamua kukushughulikia lazima atakushinda. Hawa...
  14. JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki npo moshi mjini, bei 1.5M maongez yapo kwa mawasiliano 0672901144

  15. JamiiForums Tanzania Wewe ambaye maisha yanakutandika mjini chukua hii password

    Uko mjini wazazi wako hasa Maza wako yuko kijijini na maisha yanakuswaga kila siku? Mpigie simu maza wako muulize mama una chakula ndani? Muulize mama umekula nini leo? Muulize hayo maswali mawili halafu uone maisha ya mama yako yalivyo huko kijijini. Halafu fanya maamuzi magumu, angalia ni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wenyeji/Wakazi wa TANGA MJINI nipeni uelekeo wapi naweza nikapata kazi...

    Aminia sana wakuu. Moja kwa Moja kwenye Mada, Wakuu Naomba mnipe uelekeo nahitaji kujua sehemu gani TANGA MJINI ambayo naweza nikapata kazi zile nzito nzito za ujenzi au kubeba zege au kwenye viwanda vya nondo vya wahindi kama vipo, Viwanda vya cement, Kushusha mizigo nk. Ili nikatafute kazi...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kagera: Mbunge Neema Lugangira apiga Kura Shule ya Sekondari Kahororo

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anaewakilisha Asasi za Kiraia Tanzania Bara Mheshimiwa Neema Lugangira amepiga kura kuamua Fyucha ya Kitaa kwenye kituo cha kupigia kura shule ya sekondari Kahororo Mtaa wa Rwome, Kata ya Kashai Bukoba Mjini.
  18. JamiiForums Tanzania Hizi Harrier 3rd gen zilivyojazana hapa mjini utasema haziuzwi Mil 70+

    Sahivi Harrier tako la nyani namba E za kutafuta, kuna hizi 3rd gen za kuanzia 2013 kuja juu. Chuma naziona aisee kibao utasema zinauzwa bei za CX5 kumbe unapata CX5 mbili hapo. Mfano cheapest unaweza ipata BF hizi hapa, mil 30 kasoro. Sasa ukija na ushuru wa TRA ndio utajua haujui...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake wa mjini hawaridhishwi kimapenzi, vijana kuweni makini

    Wadada WA mjini, Wana mambo mengi, akilalamika humridhishi achana nae HUWEZI kuridhisha, wapo wanatumia Tango, chupa ya bia, carrot 🥕 na kwa sasa wamehama kwenye kibomba.
  20. JamiiForums Tanzania Baba Levo: Majengo ya Kariakoo hayavutii kuwepo mjini, panatakiwa pabaki peupe pyee

    Wakuu Baba Levo anaiota Times Square huku! Mtangazaji wa Wasafi Media, Baba Levo, ametoa maoni yake kuhusu majengo ya eneo maarufu la Kariakoo jijini Dar es Salaam, akisema kuwa hayafai kuwepo katikati ya jiji. "Majengo ya Kariakoo, asilimia kubwa, kama kweli tunataka haki, eneo hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…