mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Simwelewi Chalamila; anapunguza msongamano wa mabasi kuingia mjini kwa wenye mabasi kununua shuttle za kuingiza abiria mjini; shuttle zitaruka hewani?

    Chalamila anasema, ili kupunguza msongamano wa magari mjini, mabasi yaishie Magufuli stand, halafu wawe na shuttle za kupeleka watu mjini. Hivi mnamwelewa huyu bwana? Basi moja la abiria 45 likifika Magufuli stand litahitaji kwa wastani shuttle mbili ili kufikisha watu mjini. Sasa basi moja kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ex mchezaji wa Yanga aingizwa mjini, atapeliwa NYUMBA na mbongo, kataa ndoa kichekoo, tusali sana wajameni

    Mwaka Fulani nikiwa Dar coco beach, nilibahatika KUMUONA Mukoko Tonombe akifanya mazoezi mepesi nadhani hicho ndio kilikua kipindi katoka majeruhi ya muda mrefu. Kwa pembeni yake alikuwepo mtoto mzuuri alikua ameshikilia viatu vya mukoko, mi nilidhani yule demu ni mkongo mwenzake kumbe la hasha...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge agawa bagia na soda kwa wakaazi wa Mbeya Mjini

    Naona lengo la ccm kuwapumbaza watanzania linaenda kutimia. Angalieni jinsi baadhi ya wana Mbeya wanavyo kimbilia kupata mgao wa bagia na soda kutoka kwa Mbunge wao kupitia ccm.
  4. JamiiForums Tanzania Je, Magari yanayotolewa na mbunge wa Moshi Mjini, Ibrahim Shayo, Kuwahudumia Wananchi Moshi Mjini ni Mali ya Serikali au Bado ni Mali yake Binafsi?

    Ni jambo jema kwa viongozi, taasisi na wananchi kuhakikisha kuwa mali zinazotumika kwa ajili ya kutoa huduma za umma zinasimamiwa kwa uwazi na kwa kuzingatia sheria na taratibu za Serikali. Kutokana na taarifa zilizotolewa kuhusu magari yaliyokabidhiwa kwa ajili ya kuhudumia wananchi wa Jimbo...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Lodge za Mtwara Mjini

    Habari Wakuu, Nategemea kuwepo Mtwara mjini kwa wiki mbili kikazi. Naomba kujua lodge nzuri na safi hasa zenye internet kwa 30,000 - 40,000. Asanteni.
  6. JamiiForums Tanzania Hasara za Kufanya Kazi Vijijini Huku Ukiishi Mjini

    Kufanya kazi katika maeneo ya vijijini huku makazi yako yakiwa mjini kunaleta changamoto nyingi za kifedha na kijamii. Baadhi ya changamoto hizo ni: 1. Gharama kubwa za kununua usafiri Watumishi wengi wanaofanya kazi katika maeneo ya pembezoni hulazimika kumiliki usafiri binafsi, hasa pikipiki...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba sababu kwanini niendelee kutumia mafuta zaidi ya 400K kila mwezi wakati ninaweza kubadili gari itumie gesi ya 60K hadi 100K kwa mwezi

    Tuchukulie mfano wa mtu anayesafiri km 30 hadi 35 kila siku ndani ya mji. Kwa mwezi (siku 30), atakuwa amesafiri takribani km 900. Petrol - 4000 kwa lita Gesi - 1545 kwa Kg Sasa tuangalie upande wa gesi. Kwa gari la CC 1900, mfano Nissan X-Trail, kwa mafuta inaweza kukulamba lita 1 kwa km...
  8. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini Mtaa wa Chinyoya karibu na Mtaa wa Uzunguni, kina sqm 800 na kina Hati, Maji na umeme vipo vyote

    Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini mtaa wa Chinyoya uliopo karibu na Uzunguni kina ukubwa wa Sqm 800 pia kina Hati, Huduma za maji na umeme zipo zote kwenye kiwanja kwahiyo ukinunua huna haja ya kuvuta umeme wala kuunganisha maji..... Bei yake ni 60M kama ukihitaji nicheki Dm tuongee.
  9. JamiiForums Tanzania Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichoketi tarehe 30 Juni 2026 Sunset Vista Hotel, Kigoma Mjini

  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji Kata ya Sombetini, Wilaya ya Arusha Mjini

    Ni wiki sasa inakwenda, wakazi wa kata ya Sombetini hatuna huduma ya maji safi. Hakuna taarifa yoyote toka kwa mamlaka husika ya maji safi na maji taka ya jiji la Arusha (AUWSA) huku wananchi tukitaabika na adha ya kupata maji safi kwa matumizi mbalimbali ya shughuli za kila siku. Tunaomba...
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi Arusha mjini au Moshi mjini, Mimi nipo iringa

    Mimi ni kijana mwenye umri 28 nipo iringa ni fundi sofa na vitanda vya sofa kwa pamoja, najua kutumia cherehani na kukata vitambaa kwa jiri ya kushonea sofa, hivyo kama Kuna mtu anahitaji mtu wa kazi iyo naomba anitumie ujumbe, inbox kwa mawasiliano zaidi, hata kama ipo kazi nyingine yoyote...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Nauli za Daladala Arusha: Tsh. 1,000 badala ya Tsh. 700?

    Kuna malalamiko sana kuhusu nauli za dadadala mjini Arusha. Daladala zinatoza nauli Tshs 1000 badala ya nauli elekezi ya Tshs 700. Mamlaka zipo kimya kwenye hili. Simu zikipigwa hawapokei. Je hii ni sahihi? Tunaziomba mamlaka zilitazame hili jambo limekuwa mwiba mchungu kwa wanachi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi Morogoro Mjini Mshahara 180,000/= + Internet ya bure

    Anahitajika binti mwenye uwezo mkubwa wa kutumia simu na computer. Ofisi yetu inafanya kazi 2 ambazo ni kutoa huduma ya internet Morogoro mjini na kukata tiketi za treni ya SGR. Anahitajika mdada smart anayefahamu kutumia computer na simu vizuri, awe sharp na asiye na hasira za hapa na pale...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vilio vya Wamiliki wa Vituo vya Afya Binafsi Wilaya ya Tarime Mjini - Mara

    Habari,hongereni Kwan kazi nzuri ya kufichua maovu,Mimi ni mdau wa Vituo afya wilaya tarime Napenda kuziomba mamlaka za juu zifuatilie kwa makini mwenendo wa usimamizi wa vituo binafsi vya afya katika Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Katika kipindi cha takribani miaka miwili , zaidi ya vituo 11...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa vitongoji mjini Maswa wamgomea Dc

    Wenyeviti wa Mamlaka ya mji mdogo mjini Maswa mkoani Simiyu wamegomea agizo la Mkuu wa wilaya ya Maswa,Dkt Vicent Anney la kuwataka kutotumia mihuri katika kutekekeza majukumu yao wakidai inawanyima nguvu ya kufanya kazi.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Overdrive ON vs OFF: Ipi ni bora katika mazingira ya mjini ya kuendesha kwa speed ndogo na Kusimama simama.

    Katika mazingira ya mjini ambapo mara nyingi tunaendesha kwa mwendo mdogo chini ya 45 km/h na kusimama-simama kutokana na matuta, mashimo, wapita njia, foleni, bodaboda, bajaji, makutano ya barabara, n.k. je ni bora kuacha Overdrive ikiwa ON au kuizima (OFF)? Overdrive (O/D) ni gia ya juu...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtwara: MTUWASA wanahujumu Maisha na Afya za watu wa Shangani

    Mamlaka ya maji safi na taka Mtwara mjini imeshindwa kutoa maji kwa wakazi wa shangani east, sijui na maeneo mengine kwa muda wa takriban miezi miwili. Afya za watu hawa zipo hatarini kwani hakuna vyanzo vingine vya maji wanaweza kupata watu hawa. Jitahidini kuja na majibu ya changamoto hii...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la Stendi ya Mabasi

    Hapa Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la stendi ya mabasi taka zinakaa muda mrefu sana na imekuwa changamoto ya muda mrefu sana harufu kali inahatarisha afya za watumiaji wa eneo hili gari la taka haliji kwa wakati kubeba taka mpaka imekuwa kero. Mda mwingine inapita hadi...
  19. JamiiForums Tanzania CHUMA CHAKAVU: "Mishangazi" Mjini

    Neno "Mshangazi" (au wingi wake "Mishangazi") katika lugha ya mitaani limebeba maana mpya na ya kipekee. Tofauti na maana rasmi ya dada wa baba, neno hili sasa linamaanisha wanawake waliokomaa kiumri (kawaida miaka 30 hadi 45+), wanaojitegemea kiuchumi, warembo, na wanaojiamini. 🌟 Sababu za...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Wasira akonga nyoyo za wananchi Kigoma mjini

    WASIRA AKONGA NYOYO ZA WANANCHI KIGOMA MJINI Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewahutubia na kukonga nyoyo za mamia ya wana CCM na wananchi wa Kigoma mjini huku akiwataka kudumisha amani, umoja na mshikamano. Wasira amewahutubia wananchi hao leo Mei...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…