mjinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Padre Kessy: Mtu mjinga akikaa kimya katikati ya watu wenye hekima na yeye huoenekana ana hekima, lakini akifungua mdomo tu amejitambulisha mwenyewe

    Padre Prosper Kessy (OFM Cap) kupitia ukurasa wake wa Instagram amechapisha video akieleza ni kwa namna gani mtu mjinga anapenda kumshauri mtu mwenye hekima. "Mtu mjinga akikaa kimya katikati ya watu wenye hekima na yeye huoenekana ana hekima, lakini akifungua mdomo tu amejitambulisha mwenyewe".
  2. JamiiForums Tanzania Edward Snowden sio mjinga kufahamu ujasusi mnajua taarifa za CCM zipo nchi zote wanaweza kutumia kuwa tumia wanavyotaka

    Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi. JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Kuna mtu anaamini Watanzania hawana uwezo wa kuitoa CCM ni mjinga

    Nasema hivi CCM isipomsikiliza Polepole basi viongozi wengi wa sasa wa CCM watashuhudia chama chao kinafutwa na wataishia magerezani. Hii video nimeikuta mitandaoni, huyu ni mmoja aliyeamua kujirekodi na kufanya hivi ambaye sikutarajia kama kuna askari watakuja mbele kabla ya muda...
  4. JamiiForums Tanzania Nimejiona mjinga kwa kupiga Kura 2015 & 2020

    Awali, 2015 nilisimama kwenye foleni zaidi ya masaa matano. Nilimpigia Kura Lowasa kumbe Nilikua najisumbua tu. 2020 tena kumbe narudia kosa la 2015. Asante MIDA. Mnaupiga mwingi. 2025 sasa ujinga umeniisha rasmi.
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe Mrisho Mpoto ni mjinga kiasi hiki

    Wahenga huwa wanawaambia watu wapumbavu kukaa kimya ili kuficha upumbavu wao.. Kwakuwa kwa kufungua kinywa tu kila mtu hujua kwamba hakuna kitu hapa Mrisho Mpoto msanii wa kutumainiwa na ccm anasema watu wanafichwa ili wasingizie wametekwa kuichafua serikali Kama huu ndio mtazamo wake basi...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Harambaee imejaa โ€˜watu Fulani Mafisadiโ€™

    Wakuu, Hii harambee ya Chama tawala imejaa genge Fulani la watu wachafu tu na hawana interest na taifa letu, Urais ni cheo cha juu kabisa na nadhani ni vyema kika serve interest ya umma kuliko Kuhuduma kwa cartel Fulani la watu wachache, power inakuja na Kuondoka ila generation zetu zitakuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli Wanawake wanamchukia sana kijana ambaye hajaoa, ana Mali na Pesa nyingi, ila sio Mjinga wa kuhonga ? Kama kweli nini sababu?

  8. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu ni limbukeni mkubwa

    Mtu yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani hata baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu bali ni limbukeni mkubwa!
  9. JamiiForums Tanzania Kukubali kuliwa na Panya ndio ujinga

    "Usijiite mjinga hadi pale panya atakapokushinda akili na kukula ukiwa hai. Kufikia hatua hiyo, hautakua na haja ya kuuliza "wewe ni mjinga au sio". ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚"โ€” Alloyce, P.R.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Lissu siyo mjinga kuamua kujitetea, nadhani Ina maana kubwa kisheria. Soma hii kutoka mtandaoni

    In Tanzania, the right to legal representation is enshrined in various laws and constitutional provisions, and the courts have emphasized its importance in ensuring a fair trial. Any denial of this right, especially if it prejudices the accused, can have serious legal consequences. Denying an...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe, fumbo mfumbie mjinga, mwelevu ataling'amua

    Nimevutiwa sana na mahojiano ya EATV na mbunge mstaafu wa Kilwa kusini, ndugu Suleiman Abdallah, almaarufu Bwege ya tarehe June 9, 2025. Mahojiano hayo yaliyohusu mambo mengi ikiwemo, hali yake kiafya, vyama vya siasa na madai ya reforms kuelekea uchaguzi mkuu October 2025, nafasi ya ndugu...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 KUMBUKIZI: Gwajima awajibu Machawa: Silaha ya Wajinga ni Kujipendekeza

    Askofu Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe; "Silaha ya wajinga ni kujipendekeza, mtu asiyejua kitu silaha yake kubwa ni kujipendekeza na kuwasemea wengine mambo mabaya. Vijinga vinajua kuji-position. Mwenye uwezo analindwa na uwezo wake haitaji kujipendekeza kwasababu uwezo wake unambeba"
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hupaswi kujibizana nao kwani wewe ndio utaonekana mjinga Na kupoteza heshima

    Kuna muda unaweza kutamani kumjibu ukidhani unalinda heshima yako kumbe ndio unaipoteza kabisa kwa sababu watu wataaanza kukushangaa kujibizana na aliyeshindikana. Kuna watu furaha yao ni wewe kuvurugwa ili mfokeane hivyo kwa namna mbalimbali watakuchokoza ili mjbizabe na hiyo ndio furaha yao...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana msithubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo kwa watoto na mke

    Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake...
  15. JamiiForums Tanzania Steve Mangele: Haiwezekani mtu atoke kwao aje kwetu kutetea waasi

    Katika maisha hakuna mtu hatari kama mtu mjinga aliejaaliwa Kujiamini na kukosa aibu. Mfano wa watu wa aina hii ni huyu Steve Nyerere, huyu ni moja ya watu wa hovyo sana nchini, ambapo imekuwa bahati mbaya sana kwa taifa mtu huyu kupata umaarufu na media coverage.
  16. JamiiForums Tanzania Ndoto ya CCM ni kuona kila Mtanzania anakuwa Mjinga

  17. JamiiForums Tanzania ๐–๐ก๐š๐ญ๐ฌ๐š๐ฉ๐ฉ ๐ฅ๐š ๐Œ๐จ๐ฌ๐ก๐ข ๐ฒ๐ž๐ญ๐ฎ: Kuna Mjinga mmoja atishia kuwafuta wanachama wenzake kwa ujinga wake kwenye group!

    ๐Š๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐š๐ง๐š ๐ง๐š ๐Œ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ง๐œ๐ก๐ข ๐ƒ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐š๐ฅ ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐š ๐ก๐š๐›๐š๐ซ๐ข ๐ณ๐ข๐ฌ๐ข๐ณ๐จ ๐ณ๐ข๐ง๐ ๐š๐ญ๐ข๐š ๐ค๐š๐ง๐ฎ๐ง๐ข ๐ณ๐š ๐ฎ๐š๐ง๐๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ก๐จ๐ฃ๐ข ๐ฉ๐š๐ง๐๐ž ๐ณ๐จ๐ญ๐ž ๐ณ๐ข๐ง๐š๐ณ๐จ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ก๐š๐›๐š๐ซ๐ข, ๐€๐ง๐š๐ฉ๐ž๐ฐ๐š ๐š๐๐ก๐š๐›๐ฎ ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐ฎ๐ฉ๐จ๐ฌ๐ญ ๐ก๐š๐›๐š๐ซ๐ข ๐ฒ๐จ๐ฒ๐จ๐ญ๐ž ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ ๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐ฅ๐š ๐–๐ก๐š๐ญ๐ฌ๐š๐ฉ๐ฉ ๐ฅ๐š ๐Œ๐จ๐ฌ๐ก๐ข ๐ฒ๐ž๐ญ๐ฎ ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ข๐ฉ๐ข๐ง๐๐ข ๐œ๐ก๐š ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ 90 ๐ค๐ฎ๐š๐ง๐ณ๐ข๐š ๐ฅ๐ž๐จ 27/3/2025 - 26/6/2025, ๐ก๐ข๐ฏ๐ฒ๐จ ๐ฒ๐ž๐ฒ๐จ๐ญ๐ž ๐š๐ญ๐š๐ค๐š๐ฒ๐ž ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐š...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu mlokole ni wa ajabu sana. Anafanya mambo ya ajabu! Msaidieni jamani

    Huyu mlokole anafanya kazi ya uhasibu kwenye shirika kubwa, lakini hajawahi kuiba hata senti. Eti anasema wezi hawataingia mbinguni. Mtu ana nafasi ya kutajirika haraka kwa pesa za shirika, yeye anakomalia uaminifu. Ujinga mtupu! Akipanda magari ya abiria, akizidishiwa chenji, anamrudishia konda...
  19. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Muhoozi Kainerugaba; ni mjinga sana mwenye confidence au ana dharau sana

    Angalia tamko lake la jana kuhusu sintofahamu ya M23 na DRC Huyu ni mtoto wa Yower Museveni na ndiye CDF wa Uganda People Defence Force na Rais ajaye wa Uganda
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ