asanteKunywa kwanza mtori nyama utazikuta chini
Mbona hajasema hivyo, au kiingereza kimakupita kombo, amesema ni mtu mjinga ndiye anaweaza kuamini kuwa Mbowe amekula asali.Mbowe asema Tundu Lissu ni mjinga, ametoa ufafanuzi wa shutuma batili anazotoa Tundu Lissu alipokuwa akihojiwa na Salim Kikeke
Tazama Video hii