mjinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto Amlipua Mwandishi - "Usiniletee Mambo ya Mtu Mjinga"

    Rais William Ruto alikumbana na swali la Mwanahabari kuhusu madai ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhusu madini ya niobium na rare earth yaliyopo Mrima Hills, huko kaunti ya Kwale. Badala ya kujibu moja kwa moja madai hayo, Ruto alimkatiza mwanahabari huyo na kusema: “Usiniletee maneno...
  2. JamiiForums Tanzania Nimezunguka kutoka singida(manyoni) to kigoma (kasulu) kwa kweli fursa nimeziona, nimejiona mjinga.

    Yes nimejiona mjinga, nimeenda manyoni hapo kwenye mnada wa mbuzi nilichokiona mbuzi walikua bei juu sana, mbuzi mdogo sana alianza bei ya 70,000/= mpaka 300,000/= nimeshangaa kweli, kwasababu tunapokuwa mjini vijana tunawaza mambo makubwa sana, tunawaza biashara, skills, ufundi n.k mfano...
  3. JamiiForums Tanzania Mwaipopo ni Muislam mwenye Misimamo Mkali, Mjinga asiyekua na akili , Mwenye Chuki na Ukristo , aliyeshindwa kujifunza Somo kupitia SHEIKH MAJINI .

    Uislam ni Dini iloanzishwa na Ukatoliki !!. TUNAJUA , Mpumbavu alipata MADARAKA, Jambo la kwanza ni kúanzisha vita na wenye Akili ili kuwadhoofisha. Hatua nyingine ,Huwa ni Kuwaita Wapumbavu wenzie na kuwaleta karibu. Mambo hayo mawili , huleta Anguko la TAASISI/NCHI. Endeleeni kumtuma...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kama matokeo ya wanaomaliza JKT ndio hawa vijana wanaojirekodi, sipeleki watoto wangu JKT

    Nimesikiliza video za hawa vijana ambao ndio wanaomaliza mafunzo ya JKT wakiongelea kuhusu mtu atakaendamana atatolewa haja kubwa, au atoe Shs 20,000 nk. Imenisikitisha sana. Japo watu wanasema vijana hao ni mihemuko yao bonafsi, sikubali hilo hata kidogo. Haiwezekani vjana wote hao, wa kike...
  5. JamiiForums Tanzania Dini ilianza pale mjanja wa kwanza alipokutana na mjinga wa kwanza.

    Dini biashara yenye faida kubwa sana nje ya teknolojia, mafuta na madawa ya kulevya Wanafaika ni viongozi wa dini na kondoo ndo wateja wazuri na wakubwa Zinduka bado hujachelewa Taikuni la kuwastua wanaotapeliwa kiimani hasa wakristo Kubwa la Maadui
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni mjinga tu anayefikiri kuna Dira nzuri ya 2050 kwa mfumo huu wa siasa (Katiba hii)

    Watanzania sasa mpaka dira za uongo tu. Hebu tujiulize kwa utaratibu wa sasa serikali yenyewe haifuati sheria, hakuna uwajibikaji na viongozi wala rushwa hivi . Kwa katiba hii na mifumo hii Dira ni kama vichekesho tu. Kila mwenye akili anajua ni kujidanganya tu kwa huyu Mama na kupenda kusifiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kama Hana Haya usoni, atateka, ataua, na bado atasema "Tanzania tunajali Haki za Watu "

    Katika Makosa aloyafanya Magufuli, ni kukubali Kikwete kumchomekea huyu aliyefeli Darasa la Saba, akarudia rudiaz Kumaliza Kidato cha Nne tu ilikua ni vita patashika Nguo kuchanika ambaye Mwisho akaishia kusoma ELIMU za Mambo mbalimbali Kitu linateka, Linauma watu, Limemfunga Lissu bila sababu...
  8. JamiiForums Tanzania Kataa kua mjinga

    Nawasalimu wote. Habari ya wakati huu?!. Moja kwa moja kwenye mada. Ujinga sio tusi, bali ni hali anayoweza kuwa nayo mtu yeyote, wakati wowote. Ukiambiwa wewe ni mjinga usilaumu kua umetukanwa bali jitafakari. Mohamed Dewji (Mo) aliwahi kusema "unaweza kua mjinga kwa kufikiri ujinga."...
  9. JamiiForums Tanzania Kombo: Rais Samia amesemwa na kuchorwa sana baada ya uchaguzi, wakati amefanya kazi kubwa kutulinda kuwa na uhai

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa siku za hivi karibuni Rais Samia amekuwa akisemwa na kuchorwa sana na lawama zote kupewa yeye kutokana na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi, wakati rais alifanya kazi kubwa ya kikatiba...
  10. JamiiForums Tanzania Yericko aelewe Adui wa CHADEMA ni adui wa MBOWE. CHADEMA ni moja ya Legacy ya Mbowe na sidhani mbowe ni Mjinga kiasi atake ife

    Hamjambo! Mbowe hata awe na hasira kiasi gani. Bado hawezi kuukata mtoto WA mwanaye kisa ameunyea. CHADEMA ni moja ya Mambo ambayo yamempa heshima Freeman Mbowe. Mwenyekiti Mbowe ametumia ujana wake wote kuikuza na kuieneza CHADEMA hapa Tanzania. Asilimia tisini ya watu hapa Tanzania na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mjinga hujisifu ana mbio katikati ya viwete

    Katika jamii yetu kuna tabia ya watu kujiona wakubwa kwa sababu wanashinda wale walio dhaifu kuliko wao. Msemo huu unatukumbusha kuwa ushindi wenye maana hupatikana unaposhindana na watu wenye uwezo sawa na wako, siyo unapomponda mtu aliyeshindwa tayari. Katika maisha ya kila siku tunaona...
  12. JamiiForums Tanzania Elimu ya mjinga ni majungu, Bora ukose mali upate akili, yanga wamedhihirisha KUKOSA KWAO AKILI

    Eti sababu ya pesa zako unaenda kununua nyumba JIRANI ya uwanja wa meja isamuyo unaifanya sehem ya kubadilishia nguo. SIJAWAHI kuona upumbavu mkubwa kama huu duniani. TFF sio wajinga kuweka sheria, zilizotungwa na kusimamiwa na FIFA kua vyumba vya kubadilishia nguo ni ndani ya uwanja na...
  13. JamiiForums Tanzania Silence is the best reply to a fool, ukiona mtu ni mjinga mpuuze

    Mjinga anatakiwa apuuzwe... Unakuta mtu anajibizana na fool na kurushiana matusi hadharani..sasa hapo wote tutawaona wajinga. #A fool is fool never change.
  14. JamiiForums Tanzania Najua watu wataniona mjinga ila Lamine Yamal is talented than Lionel Messi

    This kid kila siku nikimuangalia nabaki mdomo wazi tu the way he is toying defenders Vission + composure 💯 Akiamua kuchukua kijiji anachukua vizuri skills yupo 🔥 Anaponichosha anaweza piga pass hatari akiwa sehemu yoyote ya uwanja
  15. JamiiForums Tanzania Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena

    Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena. Lazima tujiulize mpaka sasa ni wangapi wametekwa ni wangapi wame uwawa kikatili ni wangapi wamenyimwa haki zao, ni wangapi wapo gerezani kwa kesi...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaitwa Nuruvazi yule anarudisha nyuma mapambano mtanielewa baadae

    Kuna kitu nimejiuliza huyu mtu yeye kwenye maandamano hakuwepo alikua nje eti anaibuka anasema wanaume wanaogopa kujipambania nchi hivi huyu bwege anajua kwenye maandamano ground asilimia g5% walikua wanaume yaani hatumii akili hivi huyu mtu mzima kweli halafu kwingine anasema tuende Kwa amani...
  17. JamiiForums Tanzania Wewe kijana mjinga, tazama hii video huenda ujinga utakutoka

    Badala ya kuwatafutia kazi US hata za kulea wazee yeye anawatafutia vurugu.
  18. JamiiForums Tanzania Tiktok bunge la wananchi Kuna jamaa anaitwa summer ni mjinga sana

    Huyu Jamaa nasikilizaga live za bunge la wananchi TikTok Kila siku kuanzia saa mbili usiku kusema kweli hastahili kuongoza live sababu anakejeli hasira za ajabu yaani anajiona kama mungu mtu Kisa lipo ulaya halafu likataka kuendesha watu ambao watakua ground Cha ajabu anajiita gen z halafu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Padre Kessy: Mtu mjinga akikaa kimya katikati ya watu wenye hekima na yeye huoenekana ana hekima, lakini akifungua mdomo tu amejitambulisha mwenyewe

    Padre Prosper Kessy (OFM Cap) kupitia ukurasa wake wa Instagram amechapisha video akieleza ni kwa namna gani mtu mjinga anapenda kumshauri mtu mwenye hekima. "Mtu mjinga akikaa kimya katikati ya watu wenye hekima na yeye huoenekana ana hekima, lakini akifungua mdomo tu amejitambulisha mwenyewe".
  20. JamiiForums Tanzania Edward Snowden sio mjinga kufahamu ujasusi mnajua taarifa za CCM zipo nchi zote wanaweza kutumia kuwa tumia wanavyotaka

    Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi. JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…