mjamzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Ni sahihi kwa mama mjamzito kubagua vyakula?

    Huyu dada tangu amepata ujauzito wangu, amekuwa ni mtu wa kubagua vyakula; hataki kula mchicha, chainizi, tembele, bamia, nyanya chungu, yaani mboga za kuota shambani hataki. Yeye anataka kitimoto, nyama ya mbuzi, kuku, samaki sato; kwa ujumla anataka kula vizuri vizuri tu, mbaya zaidi anataka...
  2. Marcy

    Ni kweli nyoka hawezi kumng'ata mtoto, mama mjamzito au anayenyonyesha?

    Wanasema nyoka hawezi kuwang'ata hao watu wenye mahitaji maalumu na ikitokea amewang'ata basi kuna namna kuna ukweli wowote hapa Ipi sababu inayopelekea wasing'atwe na nyoka hasa kwa mtoto maana muda mwingine unaweza kuta anacheza nae na asimng'ate
  3. Tempest

    Presha kwa Mjamzito na sababu yake huwa ni nini

    Habari Kuna jirani yetu mtaani hii mara ya 3 kila ikifika wiki 1 kabla ya kujifungua anapata presha kubwa kiasi cha kwamba inabidi mtoto atolewe kwa upasuaji na mara zote mtoto ana survive siku 1 tu kisha anafariki Mwaka huu walienda hospital kubwa kidogo kufanyiwa monitoring lakini issue...
  4. Masaki road

    ASALAAM ALAYKUM,, NDG zangu Nina swali. Juu ya mjamzito na matibabu yake anapoumwa akiwa ameanza clinic.

    Nianze na kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema. Ndugu zangu nauliza Kwa mjamzito ambae anaendekea na clinic akiumwa magonjwa yahusianayo na ujauzito wake je matibabu yanakuwa yanalipiwa ama yanakuwa free kama nilivyoskia kwamba wajawazito wanatibiwa bure Mwenye taarifa sahihi anielekeze...
  5. Replica

    Uvinza: Halmashauri yachukua hatua kupitia video iliyosambaa lakini yashangazwa na aliyechukua video ikidai ameleta taharuki

    Halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imechukua hatua ya kumpumzisha daktari wa zamu ili kupisha uchunguzi baada video ya Mwanamke anaedaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza kusambaa mtandaoni. Halmashauri baada ya kufatilia...
  6. Shabani mbilu

    Maumivu ya mgongo kwa mjamzito wa miezi 7 inaweza ikawa ni ishara mbaya?

    Habari wadau hivi maumivu ya mgongo kwa mjamzito wa miezi 7 inaweza ikawa ni ishara mbaya?
  7. J

    SoC04 Msongo wa Mawazo na Unyogovu baada ya mjamzito kujifungua

    Ni wakati sasa serikali inatakiwa kuwaangalia wanawake wajawazito nakutoa elimu ya magonjwa ya afya ya akili kwa wajawazito lakini kwa jamii nzima kuelewa hili janga kwasababu jamii yetu pia haina elimu ya utambuzi kuhusiana na hili zamani lilijulikana kama swala la kawaida tu mwanamke kuparta...
  8. Ngufumu

    Wajue madhara ya Upungufu wa Damu Kwa Mjamzito na jinsi ya kujikinga nayo

    Anaemia/ Upungufu wa Damu kwa wajawazito Je unajua upungufu wa damu huchangia 14.5% ya vifo vya kinamama(Martenal Deaths) Tanzania? Kiasi cha damu pungufu ya 11g/dl uhesabika upungufu wa damu kwa Mjamzito ambapo kikawaida hutakiwa kuwa 11.5 - 13g/dl wakati huu Fuatana nami sasa 👇🏿 Upungufu...
  9. Madwari Madwari

    Wakati mjamzito, chembechembe za mtoto huhamia kwenye mkondo wa damu wa mama na kisha kurudi ndani ya mtoto, inaitwa "fetal-maternal microchimerism"

    Mwanamke anapokuwa mjamzito, chembechembe za mtoto huhamia kwenye mkondo wa damu wa mama na kisha kuzunguka tena ndani ya mtoto, huitwa “fetal-maternal microchimerism”.⁠ Kwa muda wa wiki 41, seli huzunguka na kuungana kwenda nyuma na mbele, na baada ya mtoto kuzaliwa. , nyingi za chembe hizo...
  10. PharaohMtakatifu

    Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

    Salamu kamsalimie waziri wa Afya. Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii. Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/= Inakuwaje mama mjamzito akijifungua mtoto wa kike atoe kiasi Cha pesa Tsh 15,000/= na akijifungua mtoto...
  11. G

    Sijawahi kuona Askari akiwa mjamzito

    Sijawahi kuona askari akiwa mjamzito. Huwa hawabebi mimba? Mwenye picha ya askari akiwa mjamzito atupie hapa.
  12. Common Folk

    Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

    Nianze na Swali: Watoto wa kuanzia miaka mingapi wanapaswa kulipa nauli za mwendokasi? Mida ya hii jioni huyu dada mjamzito alikuwa na mwanaye wakiwa wanasubiri mwendokasi za Kivukoni. Mtoto alikuwa na miaka kama mitano hivi. Alipoingia kwenye gari cha ajabu mhudumu anayescan ticket akawa...
  13. Tman900

    Urefu wa Mama Mjamzito

    Leo nimesoma kadi ya kliniki. Ambayo mama yangu, alitumia kipindi Mimi sijazaliwa kuna sehemu imeandikwa Urefu wa mama yangu. Naomba kufahamishwa Urefu wa mama mjamzito unafaida au athari gani kwa mama mjamzito na Mtoto aliyeko tumboni
  14. Informer

    Tanga: Mjamzito adaiwa kufa baada ya kuwekewa damu kimakosa, Watano wasimamishwa kupisha uchunguzi

    Watumishi watano wa Kituo cha Afya cha Mikanjuni kilichopo Jijini Tanga wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi baada ya kufanya uzembe uliosababisha kifo cha Mama mjamzito Fatuma Mussa Suleiman (36) Mkazi wa Magaoni, aliyefariki baada ya kuwekewa damu ambayo hakustahili kupewa na hakuwa na...
  15. Mwachiluwi

    Mume ajipiga punyeto mkwe akiwa mjamzito. Nini kifanyike?

    Hellow, Kuna mkasa umetokea hivi karibuni kuna familia mke ni mjamzito ni mimba ya pili lakini mwanaume anajichua. Mke alishajaribu kuongea nae lakini inaonesha mwanaume ndio anazidi kuendeleza kujichua. Nini kifanyike?
  16. Extrovert24

    Je, ni vyakula gani ambavyo anapaswa kula mwanamke ambaye amejifungua?

    Je, ni vyakula gani ambavyo anapaswa kula mwanamke ambaye amejifungua ili kuweza kurejesha hali yake kuwa sawa na pia aweze kuwa na maziwa mengi kwaajili ya kumnyonyesha mtoto?
  17. Papaa Mobimba

    KWELI Unywaji wa pombe kwa mjamzito unaweza kupelekea changamoto kwa mtoto atakayezaliwa

    Bado nipo njiapanda, nimesikia kuwa mwanamke mjamzito akinywa pombe kwa kiwango kikubwa wakati wa ujauzito basi huweza kusababisha changamoto kubwa sana kwa mtoto. Kuna wajawazito kadhaa nimepata kuwaona wakinywa pombe tena kali sana lakini hizo changamoto kwa watoto wao sijaziona. Baadhi ya...
  18. Kizibo

    Mjamzito anapitia changamoto hizi, je nini chanzo?

    Heshima kwenu wakuu. Kuna mama /dada ni mjamzito. Sio ujauzito wake wa mara ya kwanza. Anapitia changamoto hizi. ★Tumbo kuuma chini ya kitovu, linauma baadae linaachia lenyewe na kujirudia rudia. ★ Kichwa kuuma mara kwa mara. ★ Kuhisi baridi sana mara kwa mara. ★ Kuhisi kizunguzungu...
  19. BARD AI

    Watumishi 3 wasimamishwa kazi kwa kusababisha Kifo cha Mjamzito kisa hajatoa Tsh. 150,000

    Nimepokea kwa masikitiko makubwa habari za kifo cha mjamzito na kichanga chake, kilichotokea Wilaya ya Handeni Tanga tarehe 11/11/2023 katika kituo cha Afya Kabuku kwa kinachoelezwa kuwa ni uzembe wa watumishi wa kituo hicho. Pia soma > Tanga: Mjamzito afariki kwa kukosa Tsh. 150,000 Tayari...
  20. BARD AI

    Tanga: Mjamzito afariki dunia kituo cha afya kwa kukosa Tsh. 150,000

    Mama mjamzito, Mariam Zahoro (30) Mkazi wa Kijiji cha Mumbwi Wilayani Handeni, Tanga amefariki dunia akiwa kwenye Kituo cha Afya Kabuku kilichopo Wilayani humo ikidaiwa kuwa alikosa huduma ya upasuaji baada ya kushindwa kulipa Tsh. 150,000 alizotakiwa kutoa kwa ajili ya huduma hiyo. Tukio hilo...
Back
Top Bottom