miundombinu

  1. M

    JamiiForums TPA yapunguza Tozo ya uendelezaji miundombinu kwa asilimia 50

    MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetangaza kupunguza tozo ya Uendelezaji wa Miundombinu Mipya ya Bandari (PID) kutoka asilimia tisa hadi asilimia 4.5 ya kodi ya forodha. Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa TPA, Dk. George Fasha, amesema uamuzi huo unalenga kuongeza ushindani wa...
  2. X

    JamiiForums Marekani ina mradi wa reli uliokwama zaidi ya miaka 10 + Daraja lililoanguka | China inajenga mtandao mpya wa miundombinu kila kukicha

    Tangu 2008 serikali ya Marekani kupitia jimbo la California, iliidhinisha ujenzi wa California High Speed Rail (San Francisco–Los Angeles) mpaka leo miaka 18 mradi haujakamilika. Zimejengwa km 192 tu kwa zaidi ya USD 100 billion. USD 100 billion China wanaweza kujenga km 1600-4000 ikitegema...
  3. JamiiForums Uharibifu Miundombinu Wasababisha Hasara Kuu Kiuchumi

    Uchumi wa maeneo mengi ulidorora pakubwa. Biashara zilifungwa, mapato yalipungua na ajira nyingi zilipotea. Tume ilibaini kuwa uharibifu wa miundombinu ulisababisha hasara kubwa ya kiuchumi kwa taifa kwa ujumla. #AmaniNaUwajibikaji #TumeYaUchunguziReport Sauti Ya Wananchi
  4. A

    JamiiForums KERO Ruvuma: Shule ya Msingi Miembeni (Mbinga Mji) hali yake ni mbaya sana, Miundombinu imechoka

    Shule ya Msingi MIEMBENI ipo Kijiji cha MIEMBENI, Kata ya Kitanda Halmashauri ya Mbinga Mji, hali halisi ni kuwa haishawishi kabisa suala zima la kufundisha wala kujifunzia. Madarasa hayana madirisha wala milango... Majengo ya madarasa ya shule hii ni kama magofu yaliyosahaulika, Wanafunzi...
  5. JamiiForums TARSI endeleeni kutoa Mafunzo ya Usalama wa Miundombinu ya Barabara kwa Wahandisi: Prof. Shemdoe

    https://youtu.be/V8w-2LzbQSQ?si=EP9MVrdcvS8xs8jJ Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameishukuru na kuitaka taasisi ya Tanzania Road Safety Initiative (TARSI) kuendelea na utaratibu wa kutoa Mafunzo ya Usalama wa...
  6. JamiiForums Mwigulu: Rais aelekeza fedha za Muungano zikarabati miundombinu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais, Samia Suluhu ameelekeza fedha zilizokuwa zimepangwa kugharamia maadhimisho ya Sherehe za Muungano mwaka huu, zitumike kukarabati miundombinu ya barabara iliyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Ameyasema hayo, Jumatatu, Aprili 20...
  7. JamiiForums Gerson Msigwa: Tutaomba kuwa Wenyeji wa Kombe La Dunia

    My Take Naunga mkono hayo maono na Mawazo ya bwana Msigwa. Kwa kuwa kama Nchi tunatekeleza vision 2050 ya kuwa na Uchumi wa Trilioni 2,500 ($1T) Sina shaka kwamba uchumi huo ni mkubwa sana kama tutafikia hata nusu yake tuu manake tutakuwa kama South Africa au Egypt au Algeria ya sasa. Kama...
  8. JamiiForums DOKEZO Miundombinu duni yakwaza elimu kwa Watoto wenye ulemavu Mkoani Mwanza

    Mwanza. “Changamoto ya ngazi na vyoo, halafu kuna mawe, kwa hiyo ukienda vibaya unaweza kujikwaa. Katika ufaulu mtu asipofikisha wastani wa 64, anapata viboko, wakati huku mwanzo hajapata vitabu vya kutosha.” Kauli ya Joasen Julius, mwenye ulemavu wa miguu na kuzungumza, ikiweka wazi uhalisia...
  9. JamiiForums PostGE2025 Iran viongozi wameuliwa, miundombinu imelipuliwa na kupata hasara ya 700Trilion, ila hawajasusia maridhiano na US. CHADEMA tusigomee maridhiano

    Mimi ni Chadema pure kabisa, katika watu top 5 waliohamasisha MO29, hapa jamii forum na Mimi nimo. Nimekaa nkatafakari je tutasongaje bila kukaa meza moja?? je tukisusia maridhiano ajenda zetu tutazipataje? Mbona Raila aliridhiana na Kibaki Akaridhiana na Kenyatta,the same to Ruto. Je Raila...
  10. JamiiForums Waziri Ulega: Serikali itaimarisha miundombinu ya Mara, Barabara na Uwanja wa Ndege

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa Serikali itaendelea kujenga na kukamilisha barabara zilizopo Mkoa wa Mara kwa kiwango cha lami, ili kufungua fursa za kiuchumi na kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji ndani ya mkoa huo na mikoa jirani. Pia soma ~ Barabara ya Tarime Mjini...
  11. JamiiForums KERO Miundombinu ya soko la Buguruni ni hatari kwa wafanyabiashara na wakaazi wa karibu na soko

    Soko la buguruni ni moja ya soko kubwa na maarufu ndani ya jiji la Dar es salaam ambalo linahudumia watu wengi hasa kwa wafanyabiashara wa matunda. Lakini cha kusikitisha miundombinu ya soko hilo ni kero kwa wafanyabiashara na wanunuzi ambao hufika hapo kwa ajili ya ununuzi wa mahitaji yao ya...
  12. JamiiForums Muda wa kuishambulia miundombinu ya Iran umefika!!!!

    Kauli ya mwisho ya Rais Trump kwa Tehran inaisha saa 2:00 PM saa za Washington (saa 3:30 AM saa za Iran, saa 3:00 Tanzania) usiku wa leo, ikiacha chini ya saa 10 tu. Tarehe ya mwisho, iliyowekwa wiki moja iliyopita kutokana na mvutano unaoongezeka kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, imesababisha...
  13. JamiiForums Miundombinu Tanzania bado sana

    Kusema kweli Tanzania tuna safari ndefu kwenye miundombinu Tanzania ukiachana na main roads, barabara nyingi bado ni za vumbi especially mitaani wanakokaa watu. Hata miji mikubwa kama Mwanza na Mbeya, barabara ni changamoto. Mji unaokua kwa kasi kama Kahama bado uko nyuma kwenye barabara. Dar...
  14. JamiiForums Kamati ya Miundombinu yapitisha Randama ya Bajeti Wizara ya Ujenzi 2026/2027, yapongeza mikakati ya kupunguza foleni

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Randama ya Mpango na Bajeti ya Matumizi ya Kawaida na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ya Wizara ya Ujenzi hatua inayotajwa kuwa muhimu katika kuendeleza kasi ya uboreshaji wa miundombinu nchini. Akizungumza jijini Dodoma...
  15. JamiiForums Serikali inaboresha miundombinu ili Mtoto wa Kitanzania apate haki yake ya msingi ya elimu bora - Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inaendelea kusimamia uboreshwaji wa miundombinu ya elimu nchini, ili kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata haki yake ya msingi ya elimu bora katika mazingira...
  16. D

    JamiiForums DAWASA yatoa wito matumizi sahihi miundombinu majitaka kipindi cha mvua

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa wito kwa wananchi kutumia ipasavyo miundombinu ya majitaka, hususan katika kipindi hiki cha mvua zinazoendelea, ili kuepuka kuziba kwa mifumo hiyo na kusababisha uchafuzi wa mazingira. Akizungumza kuhusu suala hilo, Meneja...
  17. JamiiForums Waziri Kijaji: Serikali itatoa Shilingi Bilioni 8.1 kukarabati miundombinu Serengeti

    Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema serikali itatoa shilingi bilioni 8.1 kwa ajili ya matengenezo ya miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha baadhi ya magari ya watalii kukwama kuendelea na safari kwa muda mrefu...
  18. JamiiForums Ratiba ya Ligi Kuu-Bara izingatie ubora miundombinu ya viwanja vinavyotumika kuchezewa mechi usiku, vingi havina ubora

    Nimefuatilia mechi kadhaa hasa msimu huu2025/26 na msimu uliopita wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara, kumekuwa na ongezeko la mechi zinazochezwa usiku ili kuruhusu urushaji wa moja kwa moja kupitia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na wadhamini na watangazaji. Lengo...
  19. JamiiForums ZECO: Changamoto ya umeme Zanzibar inachangiwa na miundombinu ya kusafirisha umeme, kuna mpango wa kuweka njia kutoka Bara

    Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia changamoto ya umeme kukatika mara kwa mara maeneo ya Kwahani Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini, Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) limetoa ufafanuzi kuhusu hali hiyo. Hoja ya awali iko hapa ~ Shirika la Umeme Zanzibar mnatukwaza kukata...
  20. H

    JamiiForums Mwigulu kukabidhi miundombinu ya utalii

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba leo Februari 11, 2026 ameelekea katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere ambapo anatarajiwa kuzindua na kukabidhi Miundombinu ya Utalii.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…