Kitaa hali ni ngumu sana, hata ukiacha haka kamvua ka leo.
Ukame
Joto
Fukuto
Ukosefu wa maji
Mke wa Kapola aliwahi kuishiwa na gesi ya kupikia. Mumewe akafanya muujiza, mtungi ukajaa gesi, mambo yakawa sawa. Japo hatukuwahi kupata mrejesho kama ile gesi ya muujiza iliisha au la, wala kama...