miti

  1. JamiiForums Tanzania Viwanja vya ndege vinazungukwa na mashamba migomba au miti kuruhusu ndege kutua kwa dhalula salama

    Kuna tetesi kwamba kuna maelekezo kutoka kwa waongoza ndege kumweleza rubani wa ndege ya precision kutua kwenye maji nani alikuambia sehemu salama. Kama blackbox kutakuwa na communication itaeleza kwamba rubani alielekezwa apeleke kwenye maji waongazaji ndege wanatakiwa kuchapwa viboko 24 ,12...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jangwani hakuna miti ya maana wala misitu lakini mbona mvua zinanyesha?

    Najiuliza hili jambo mara nyingi kwani kuna wakati nilikuwa kule Sharjah,moja katika falme za kiarabu (IMARATI). Siku moja ikanyesha mvua kubwa tena ya kutisha na kwa muda mrefu. Nikajiuliza kule hakuna misitu kama huku kwetu tunayoitegemea kwa mvua,inakuwaje wapte mvua ?
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Pwani wanakata sana miti na kusababisha uhaba wa maji

    Rais Samia amesema shida ya maji inayoendelea katika Mkoa wa Dar es salaam imesababisha na athari za kimazingira ikiwemo kukata miti. Amesema mkoa wa Pwani unaongoza kwa kukata miti iliyoko kando ya mto Ruvu unaoleta maji Mikoa ya Dar es Salaam na hivyo wanasababisha uhaba wa maji. Rais...
  4. JamiiForums Tanzania Miti ya Oak(Mialoni kwa kiswahili) inapatikana wapi kwa Tanzania?

    Habari wakuu. Eti hiyo miti inapatikana Tanzania? Sehemu gani?
  5. JamiiForums Tanzania Ukame wa sasa ni Matokeo ya Ukataji Miti Mil 2.7 ya Selous

    Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
  6. JamiiForums Tanzania Kwa ubinafsi huu ni aibu na kukosa uzalendo

    Nipo maeneo ya Arusha mjini, ninasikitishwa sana na hali niliyoiona maeneo ya barabara ya Sokoine jirani na hospital ya AICC. Eneo hili ni mahali kilipo chuo cha utalii cha Tropical Institute. Ukataji miti unaofanyika hapo barabarani eneo la nje ya chuo kwa sababu ya kupasafisha ili mgahawa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Miti na Vyanzo vya maji nawaomba hapa

    JF isiwe ya stori tu jamani, tuje hapa kwenye majadiliano ya muhimu. Naulizia aina ya miti ambayo inakua kwa haraka huku pia inasaidia kutunza vyanzo vya maji kama chemchemi na visima. Tafadhali kama unafahamu niwekee hapo chini.
  8. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Lima matunda uinuke kiuchumi na boresha afya yako

    Napenda kutoa ushauri kwa kila mtu anayeweza kupanda miti ya matunda ya aina mbalimbali apande kwa wingi,ikishindikana kupanda kwa wingi, panda angalau hata miti mitatu ya matunda aina tofauti tofauti kwani kuna matunda yanatofautiana misimu japo matunda mengi yanafanana misimu ya upatikanaji...
  9. JamiiForums Tanzania Ipandwe miti pembeni mwa mto Mpiji

    Wana jukwaa JF na wizara husika ya mazingira Napendekeza ipandwe miti pembezoni mwa mto Mpiji kuanzia daraja linalotengganisha Kibaha na Ubungo hadi Mbweni baharini katika pande zote zinazotenganisha Kinondoni na Mapinga, Bagamoyo ili kutunza mazingira ambayo yanaharibiwa kwa kasi kutokana na...
  10. JamiiForums Tanzania Wazazi walalamika Wanafunzi wa shule tatu za Msingi kusomea chini ya miti Kigoma

    Wanafunzi wa Shule za Msingi Muungano, Mvugwe na Kasasa katika Kata ya Makere, Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma, wanalazimika kusoma wakiwa wamekaa chini ya miti na wakati mwingine kwenye sakafu kwa kile kinachoelezwa na wazazi wao na viongozi kuwa wamekosa madawati ya kutosha. Hayo yameelezwa na...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo juu ya upandaji bora wa miti ya mvule

    Habarini za leo, Nataka nipande miti ya mvule kwenye shamba langu ili watoto waje kufaidi matunda uko mbeleni. Nipo mkoa wa Mara uku, kwenye wilaya ambayo mvua sio za uhakika na ardhi ina joto kiasi je, mvule utakua vizuri kwenye eneo hili? Pia naomba kufahamishwa mvule unachukua miaka mingapi...
  12. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Masanja akagua mradi wa Kitalu cha Miche ya Miti Wilayani Magu

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja (Mb) amekagua mradi wa kitalu cha miche ya miti wenye thamani ya shilingi milioni 43 unaosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza. Akizungumza leo Agosti 21, 2022 katika ziara, Masanja amewataka...
  13. JamiiForums Tanzania MITI YA MIAKA 6 INAUZWA MAFINGA

    Bei laki 6 kwa EKARI Umbali kutoka Mafinga mjini ni km 60 Kijiji kinaitwa Chakilosa Jumla zipo ekari 4
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tunauza Miti (mirunda) Kwa ajili ya ujenzi au matumizi mengine

    Tunauza miti (mirunda) Kwa ajili ya ujenzi wa magorofa , nyumba za kawaida au matumizi mengine tuna mirunda takribani 900 PCs bei yetu ni nafuu sana Mawasiliano. sangmelina85@gmail.com
  15. JamiiForums Tanzania Tusipomsemea Rais Samia Watanzania; dunia, miti, wanyama na viumbe vingine vitanena kwa ajili yake

    WAUNGWANA WALINENA HAKUNA KAMA MAMA ILA WATANZANIA TUNASEMA HAKUNA KAMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN (aka Mama wa Taifa)! Ukimuangalia Mh Rais kwa jicho la akili haraka haraka utagundua kuwa ni: •JASIRI • MKOMAVU KI UONGOZI •HANA PAPARA • ANA JIAMINI AFANYACHO NA KUBWA ZAIDI ANA MAPENZI YA...
  16. JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao jijini DAR

    Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao kwa kutumia mashine (CHAINSAW). TUNAPATIKANA MBEZI MWISHO Kwa mawasiliano :0758700852
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti dawa

    Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti Dawa. "Nimewapa maelekezo NIMR, Nataka kuona Mashamba ya miti Dawa nchi nzima, kwa kuangalia upatikanaji wa hizo dawa. Kwasababu hizi dawa zimetusaidia na zimetutibu" Alisema Waziri Ummy. Aidha Waziri Ummy...
  18. JamiiForums Tanzania Wizara ya Mazingira, NEMC, anzisheni kampeni ya kupanda miti kutumia teknolojia ya "Air Pots" kuinusuru nchi na jangwa linalotunyemelea

    Air Pots ni Vyungu (Container) maalumu vya kupandia mimea mbalimbali ambavyo huwekewa vishimo vidogovidogo kuzunguka chungu, lengo ikiwa ni kuruhusu mizizi ya mimea kuweza kutafuta mwanga na hewa. Teknolojia hii huwezesha Mmea kukua bila kipangamizi na hata kufikia ukubwa wa kutosha kama...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Miti gani inafaa kupandwa kwenye makazi yaani nyumbani?

    Nielezee na jinsi ya kuipanda ikiwezekana tafadhali
  20. JamiiForums Tanzania Mwanza jiji: wanafunzi wa shule ya Msingi Kasota wakipata Elimu chini ya Miti

    Wakuu Kwa mujibu wa Mkuu wa Shule hii, Hii Shule ina madarasa ambayo hayakidhi mahitaji kabisa. Shule iko katika manispaa ya jiji la Mwanza, ina eneo kubwa tu ambalo wangeweza kuongeza madarasa matatu ama manne kabisa ambayo yangekidhi mahitaji ya shule.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…