miti

  1. JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya kukata miti maeneo ya ujenzi

    Tunatoa huduma ya kusafisha eneo la ujenzi (kwa kukata miti katika eneo husika) kwa kutumia mashine. Tunapatikana mbezi louis na tunafanya kazi popote ndani na nje ya Dar es Salaam. Bei zetu ni nafuu sana Mawasiliano: 0758700852/0694340728
  2. JamiiForums Tanzania Kilimo cha miti ni uwekezaji mzuri?

    Nimefanikiwa kupata ardhi yenye ukubwa wa ekari 200. Ni eneo ambalo bado ni pori. Huenda halijawahi kulimwa tokea liwepo, pengine. Kwa kuwa ni eneo kubwa, ninakusudia kulifanyia kazi taratibu, kwa kadiri nitakavyokuwa nikipata nguvu (kifedha). Kwa kuwa eneo lina miti mingi, nitafanya utaratibu...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo

    Na MWANDISHI WETU, IGUNGA WAZIRI wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (Mb) amemtumia salamu Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuwa awe na shukrani kwa serikali achezee sekta nyingine sio kilimo ambayo ni tegemeo kwa Taifa. Amesema chokochoko za uongo za mbunge huyo zinapogusa sekta ya kilimo hawezi...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Miti kwenye Wajenzi-Tanzania kwenye Vipengele vya kuijenga

    Kwenye miti hakuna wajenzi nadhani umesikia huu msemo mara kadhaa,Kwa tafsiri ya kimsingi ni kuwa, kuna namna saa zingine kunakuwa na nyenzo pasi uwezo. Msemo huu hudhaniwa pia kuwa ni kitu kisichozuilika kama vile upele ambavyo haumpati mwenye kucha. Lakini ikumbukwe kucha huota wakati...
  5. JamiiForums Tanzania India na dawa nzuri sana za mitishamba

    India ni moja ya mataifa yanayo amini sana kwenye Tiba asilia na ndio sababu wana idadi kubwa sana ya dawa za asili. Kampuni kama Himalaya ina dawa nyingi sana za asili za magonjwa tofauti tofauti. Kwa Dawa za Himalaya welness kama kuna dawa ya asili ya ugonjwa wowote unaitafuta kwa nuda...
  6. JamiiForums Tanzania Kampeni za upandaji miti ni usanii?

    Hivi hizi kampeni za upandaji miti huwa ni usanii au kitu gani? Maana unakuta baada ya zoez Hilo hakuna mwendelezo Wala ufuatiliaji. Korea/Seoul miti kila pahala. Sisi yupo bize na kukopwa tu
  7. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mkakati huu una tija zaidi katika hifadhi endelevu ya misitu

    Kuna nchi ninayotamani kuona ikijengeka, tena kwa kasi. Hii ni Tanzania iliyosheheni miti, misitu na uoto mwingine. Ili kuipata nchi ya aina hii, tunapaswa kutengeneza mikakati madhubuti, na kuisimamia ipasavyo. Kama nchi nyingine, Tanzania imeshuhudia changamoto kubwa ya mabadiliko ya tabia...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tuwe na mpango madhubuti wa kupanda miti millioni 50 msimu huu wa mvua

    Ninaiomba Wizara ya Muungano na Mazingira ije na mpango madhubuti kabisa wa kupanda miti millioni 50 katika kipindi hiki cha mvua. Uhamasishaji ufanywe kuanzia uongozi wa Kaya, Mashule, Mitaa/Vijiji, Kata, Tarafa, Wilaya , Mikoa mpaka Taifa. Mpango huu usimamiwe kikamilifu na Waziri mwenye...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Bei ya miti ya kupandwa

    Nataka kulinda shamba langu kwa kupandwa miti... Naulizia bei ya miti ambayo ni affordable naweza kupanda morogoro
  10. JamiiForums Tanzania SoC04 "Miti Yetu, Maisha Yetu: Sheria Mpya ya Upandaji Miti Kuleta Matumaini ya Kupambana na Mabadiliko ya Tabia ya Nchi na Kustawisha Vizazi Vijavyo"

    Upandaji miti umekuwa suala la kutumia nguvu sana kwa sababu ya umuhimu wake mkubwa katika kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kuhifadhi mazingira. Hata hivyo, licha ya ufahamu wa umuhimu wa upandaji miti, jitihada zimekuwa za hiari au za kujitolea tu badala ya kuwa na sheria madhubuti...
  11. JamiiForums Tanzania Kamwe miti ya matunda ya kisasa haiwezi lingana na ya asili iwe utamu au kuzaliana

    Jf salaam Huwa nashangaa sana mtu kuanza kuinadi hii miti ya kisasa akiiponda ya kienyeji (asili). Ukweli ni kwamba miti ya matunda ya asili inazaa sana iwapo itatunzwa kidogo tu! Na daima ni mitamu sana na mivumilivu mno katika Hali zote! Hii yenu hii iliyoibuka hata nusu haiwezi fikia...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali Kupitia (TAFORI) Ipo Tayari Kupokea Ushauri wa Tafiti za Miti ya Mikaratusi Ili Kupunguza Athari za Mazingira

    Serikali Kupitia (TAFORI) Ipo Tayari Kupokea Ushauri wa Tafiti za Miti ya Mikaratusi Ili Kupunguza Athari za Mazingira "Kuna zaidi ya Species 500 za Miti ya Mikaratusi Duniani, Tanzania kupitia Taasisi ya Utafiti Misitu Nchini (TAFORI) imeruhusu aina 25 za Miti ya Mkaratusi ili kupata fursa...
  13. JamiiForums Tanzania Wapenda kupamba miche ya miti Mwanza tujuane

    Niko mwanza napenda kupanda miti. Tupeane Location na hii bidhaa ya miti 1.Miche ya Bure✅ 2.Miche ya ofa✅ 3.Miche ya hela⚠️✅ Nimeanza na mti mmoja wa maembe. Mwenze miche anipee basi nikapande
  14. JamiiForums Tanzania Sio kila hela kubwa unayopata ujengee au ufanyie biashara nyingine kula Bata ila kumbuka kununua mashamba bado utaonekana mjanja tu

    Kama unajijua huna madeal ya million 50 huko na unajinyima kisa tu ujenge nyumba kali kama unazoziona za wengine za million 200 eti udundulize kila hela unayopata unakuwa Mpaka mchoyo kila pesa unaielekeza kwenye mjumba. Huku bado unaishi maisha ya shida ukiendelea kujisifu nyumba imekukula...
  15. JamiiForums Tanzania Shamba ekari 60 linauzwa Mufindi, linafaa kwa Parachichi au Miti ya mbao

    Habari wakuu, Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi. Kwa aliyekuwa anahitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha parachichi, sasa jibu limepatikana. Kuna shamba la ekari 60 Mufindi linauzwa kwa bei nzuri. Shamba halijatumika kwa miaka mingi, kwa hiyo lina rutuba na linafaa kwa kilimo cha parachichi na...
  16. JamiiForums Tanzania Biashara ya hewa ya ukawa ina manufaa kwa mtu mwenye shamba dogo la miti?

    Nina shamba la ekari 21 mkoani Kigoma. Mwezi uliopita, nilimwachia mtu mmoja jukumu la kupanda miti kuzunguka mpaka wa shamba. Nilipokuja kulikagua hivi karibuni, nilikuta kaotesha tofauti na nilivyomwelekeza. Kakata eneo la ekari tatu na kufanya shamba la miti. Sikumgombeza. Wala...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mashamba ya miti ya mbao yanauzwa

    Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana. Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa. La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10. La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji karibuni shamba la miti ya mbao liko sokoni

    Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10. La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Siku ya Misitu Duniani - Musoma Vijijini Washerehekea kwa Kupanda Miti Mashuleni

    SIKU YA MISITU DUNIANI (THE INTERNATIONAL DAY OF FORESTS) - MUSOMA VIJIJINI WAISHEREHEKEA KWA KUPANDA MITI MASHULENI Leo (21.3.2024) ni siku ya Umoja wa Mataifa (UN) ya kukumbushana umuhimu wa misitu ya aina zote. UN ilipitisha azimio la siku hii (tarehe 21 Machi ya kila mwaka) kwenye Mkutano...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki Akagua Mabanda ya Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) leo Machi 20, 2024 amekagua mabanda ya Maonesho yatakayotumika katika Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa yanayotarajiwa kufanyika Machi 21 ambapo Mgeni Rasmi katika Kilele hicho anatarajiwa kuwa Makamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…