miti

  1. Roving Journalist

    Prof. Shemdoe aongoza Watumishi TAMISEMI kupanda miti kuadhimisha Siku ya Kuzaliwa Rais Dkt. Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM -TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewaongoza viongozi na watumishi wa ofisi hiyo, kupanda miti katika viwanja vya OWM- TAMISEMI Mtumba, ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  2. H

    Dkt. Mwigulu ashiriki zoezi la upandaji miti, Dodoma

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI, DODOMA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 27, 2026 ameshiriki zoezi la upandaji miti, mbele ya ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma. Zoezi hilo ni sehemu ya hatua ya kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia...
  3. PAYE

    Samia: Mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchi nzima zihakikishe kunatengwa maeneo ya kijani na upandaji miti

    Leo Januari 27, 2026, katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa Rais Samia, akiongoza zoezi la upandaji miti katika eneo la Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ameagiza mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchini kote kuhakikisha kwamba katika upimaji wa maeneo mapya, kunatengwa maeneo ya...
  4. Waufukweni

    Mwanasheria Mkuu CHADEMA: Polisi wanazuia Wanachama wa CHADEMA wasipande miti, mbona ya Kizimkazi hawazuii?

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema: “Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha sheria kinachomruhusu kuwazuia wanachama wa CHADEMA kupanda miti. Tuna sheria ya mazingira...
  5. Fbn

    Penye miti hakuna wajenzi kwa nini serikali ya CCM inataka wasio umuhimu wakati tuna mtu Malisa GJ anaweza kuwa chachu waziri wa vijana na wananchi

    Nimekuwa nikimfatilia bwana Malisa GJ ambaye ndio msaada wa watu wengi kwa vijana na wananchi. Kuna kijana alivunjwa miguu kipindi cha October 29 na alikuwa ana msomesha mdogo wake ila jamaa alivyoweka ujumbe alichangiwa na kufikisha milion 15. Baada ya siku watu wakaomba na huyu achangiwe...
  6. M

    Natafuta mtu wa kukata Miti

    Nimefuta maana nimeshapata mtu
  7. Webabu

    Kama Gaza kuna Hamas huku kwa Palestine kuna nani mpaka majumba yao yanavunjwa na miti yao inang'olewa

    Hawa watu ni waovu na wenye laana ya kudumu. Matendo yao ya uovu daima huwa yanavuka mpaka wa uovu unaofanywa na binadamu wengine.Na siku zote ni wadanganyifu sana. Wakishakudanganya wakapata kidogo kutoka kwako wataendelea kukudai kilichobaki kidogo kidogo mpaka wakumalize uwe kama mtumwa wao...
  8. Top Gun

    Kama kuna muuzaji wa miche humu naomba anisaidie bei za miche hii ya miti

    1: waburgia ugandesis 2: cordia africana 3: Waburgia ugandesis 4: vepris lanceolata 5: indian almond (Terminalia catappa)
  9. Blasio Kachuchu

    Vodacom na Stanbic wametoa miche ya miti na vifaa kusaidia Singida

    ●Ni kupitia Msafara wa waendesha baiskeli wa Twende Butiama Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania, Chiha Nchimbi (kulia) na Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa Benki ya Stanbic Tanzania, Geofrey Mwijage (kushoto), wakikabidhi miche 100 ya miti kwa Mkuu wa Divisheni ya Awali na Msingi wa Manispaa...
  10. Samia atosha tukutane2030

    Wale watu wa "tusikate miti joto litaongezeka" wako kimya sasa. Mambo mengi tunayosoma shule ni utapeli

    Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali. Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu? Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana...
  11. Muuzaji Mkuu

    Biashara ya mbao za Miti aina ya Pines: Njoo ujifunze toka Miti inanunuliwa mpaka Mbao zinamfikia mtumiaji wa mwisho

    Natumaini ni wazima wa afya watumiaji wote wa jf. Leo nitaandika kila kitu nachojua kuhusu biashara ya mbao laini zinazotokana na mti aina ya pine. Nitazungumzia kuanzia manunuzi ya miti kutoka kwa mkulima hadi namna mbao inamfikia mtumiaji wa mwisho. Kabla sijaendelea ningependa kuweka...
  12. The redemeer

    Ukipanda Mimea au miti inazuiaje nguvu za Giza na uchawi.

    Nitakueleza kwa kina na kwa lugha rahisi jinsi mimea na miti hii inafanya kazi kuzuia nguvu za Giza: --- 🌿 1. Jinsi mimea inavyofanya kazi kuzuia nguvu za Giza ✅ (a) KIMWILI (Physical effect) 1. Harufu kali (aromatic compounds) Mimea kama uvumba, manemane, mkaratusi (eucalyptus), mikusu...
  13. 3

    Nina miti 10 ya maembe naikata kama kuni ambaye yupo interested karibu

    Habari. Shambani kwangu nina miti ya maembe 10 ambayo haizai Tena nimeamua kuikata. Kwa ambaye anafanya biashara ya kuuza kuni kwa wingi anakaribishwa kuja kununua miti hii. Iko miti 10 kila mti nauza sh 20,000. Ukija utakatiwa kwa kila mti sh 5000 kama tu posho ya mkataji wangu. Ukishakata...
  14. PendoLyimo

    Ukataji wa miti sasa basi, REA yarahisisha upatikanaji wa gesi vijijini

    UKATAJI WA MITI SASA BASI, REA YARAHISISHA UPATIKANAJI WA GESI VIJIJINI Imeelezwa kuwa, mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku katika maeneo ya vijijini na pembezoni imelenga kuchochea, kuwezesha na kuboresha upatikanaji wa huduma za nishati safi ya kupikia ili kuchochea...
  15. Roving Journalist

    Waziri Jumaa Aweso awataka Wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewataka wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo na kufanya shughuli za kibinadamu ili kuepuka ukame. Ametoa wito huo mara baada ya kutembelea mabanda ya maonesho wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 2, 2025...
  16. Mshana Jr

    Uzio wa miti

    Haupo kwa ajili ya ulinzi.. La hasha.. Bali upo kwa ajili ya kuonesha mipaka, kikomo cha uhuru, umiliki haki miliki na utawala... Je kwenye maisha yako una uzio? Ama ni free to air kama choo cha jiji?
  17. Z

    Rafiki zetu wa kweli hapa duniani ni MUNGU na Miti

    Katika maisha ya binadamu ,tunao marafiki wa wili ambao bila wao hatuwezi kuishi duniani. Rafiki wa kwanza kabisa ni Mungu,muumba wa mbingu na dunia.Alianza kuumba maji ,ardhi ikafuata miti ambayo inatupatia hewa ya oxygen,.Bila hewa ya oxygene huwezi ukaishi hata sekunde moja. Ndiyo maana...
  18. W

    PreGE2025 Msambatavangu: Hao wanaosema polisi wanapiga, basi hiyo ni ''trailer'' hawajakutana na polisi wanaofanana na miti na udongo

    Wakuu kumbe kuna polisi wanaofanana na miti na udongo === "Nimeona mwingine anasema sema jamani nasikia hao polisi askari wanapiga, hiyo ni trailer tena yinyi mmekutana na polisi ambao sisi tunashinda nao kila siku yani ambao wamezoea kidogo mambo ya uraia tuna wengine wanafanan na miti na...
  19. Mangi wa Rombo

    Natafuta Nguzo za miti (Wooden Poles) kwa ajili ya kuzungushia uzio

    Tafadhali husika na kicha cha habari hapo juu! Natafuta nguzo za miti (Wooden Poles) Pisi 225 Kwa ajili ya kuzungushia uzio shambani (Nimeambatanisha picha hapo chini). Natafuta zile ambazo zina dawa kabisa manake shamba lina mchwa kweliii! Ningependelea kama kuna msambazaji ambaye yupo...
Back
Top Bottom