mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania FARAGHA: Waziri amwagiza Mganga Mkuu wa Serikali kufuatilia suala la Taarifa Binafsi za Mgonjwa kuanikwa Mtandaoni

    Kufuatia tukio la mwanaume mmoja anaesemekana kuwa na mataizo ya akili kukata uume wake, ambapo toka tukio hilo limetokea mpaka baada ya matibabu waandishi wametoa taarifa zote juu ya hali yake, ikiwemo jina, umri, jinsia, makazi na ugonjwa wenyewe. Wadau mbalimbali wamelalamikia kitendo cha...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tuelewe wananchi wako na rekebisha mkataba, ili tukutetee humu mitandaoni!

    Contradictions zilizomo katika mkstaba/maelewano/MOU ya Tanzania na DP World ni za kimsingi kabisa. Kama mababu na baba zetu walipigania uhuru, misingi hiyo isikiukwe kwa namna yoyote ile. Hilo ndilo suala katika malumbano yote haya ya Bandari kubinafsishwa. Naamini Mama Samia utarejesha...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Microsoft na OpenAI zafunguliwa kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 7.24 kwa kuiba Taarifa Binafsi za Watu Mtandaoni

    Kampuni ya OpenAI inayoendesha mfumo wa Akili Bandia (AI) wa 'ChatGPT', inadaiwa kuchukua 'Bila Ridhaa na Kutumia Vibaya' Taarifa Binafsi za Watumiaji Mtandao kwa lengo la kutoa mafunzo katika mfumo wake wa AI. Katika hati ya Mashtaka yenye kurasa 160, OpenAI na Microsoft zimeshtakiwa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Makubwa(Kijana anayetrend Mitandaoni kwa kuuza Condom Mtaa kwa mtaa

    Hii Nchi ngumu sana ... nauliza hivi kondom zinarusiwa kuuzwa hadharani? Kama anavyofanya kijana huyu. Doooh
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Serikali kuanzisha Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Wataanzani wanaharibu dhana nzima ya "digital marketing"

    Leo nimesikia kitu kilichonifurahisha sana kutoka wa waziri wa fedha wakati akiwasilisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2023/2024 nalo ni kuja na mpango wa kuanza kukusanya Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Sijajua kwa upande wa Serikali ukiachana na kukusanya Kodi kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Ingekuwa Kenya kingeumana !! Sisi hatuna upinzani upo TU WA mitandaoni!

    Ingekuwa Kenya pasingekalika saa hii !! Ccm itatawala miaka 1000 mpaka kizazi Cha WAOGA kifutiliwe mbali ,wenzetu wamepiga hatua kubwa sana kisiasa ...sisi hata mlio wa gitaa tunakimbia hovyo kama kuku wa kisasa ! Ingekuwa Kenya muda huu raila angekuwa anaelekea ikulu na Mitaa yote imefungwa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Marais wanacheka na kuteta kirafiki sisi mtandaoni tunaandikiana laana na kila aina ya matusi

    Kanisani mara nyingi Padre anayeongoza ibada huweka msisitizo wa kuiombea dunia nzima. Hukataza ile aina ya maombi yenye kunihusu mimi na watu wa familia yangu pekee. Huwa anasema tupunguze zile 'yangu' kila tunapoongea na Mungu. Kazi yangu, mume wangu, mke wangu, watoto wangu, nyumba yangu...
  8. JamiiForums Tanzania Wanachapana mitandaoni Mwigulu na Makamba itakuwaje Rais akawa Mwinginee kama ilivyotokea kwa Lowassa na Membe

    Nimewaza yale ya Lowassa Vs Membe alafu mwingine ndo akaongoza nchi! Kwa kifupi hawa vijana hawajaiva kushika madaraka makubwa kivile ya nchi wanatakiwa kuwa chini ya Uangalizi, wana familia na kila kitu Ila Uvulana bado unawatawala sana Mtu ambaye umeshakuwa unakuwa na Dalili zifuatazo 1...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini polisi wanapenda sana kujipost mitandaoni?

    Nauliza tu mbona wao sio kama wale wa TPDF kidogo picha kidogo kujisifia
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mnaoshinda mitandaoni mnafanya kazi saa ngapi?

    Umofya kwenu members! Umofya tena !!! Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni. Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ? Tutafikia...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuweni wakweli tu. Sura zenu mbaya ndiyo maana hampost picha zenu mitandaoni

    Wale wote wenye muonekano mbovu ndiyo huwa wanajifanya wana maadili mema, eti ndo maana hawapost picha zao mitandaoni. Lkn ukiwachimbua deep down ndani ya mioyo yao ni kwamba wanatamani nao kufanya hizo show off lkn sura zao mbovu. Mitandao ndiyo mbadala wa albums za picha mnato tulizokuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Unafikiri Tanzania imefikia sehemu unaweza kununua bidhaa na huduma mitandaoni kwa urahisi?

    Je unapitia changamoto zipi unaponunua bidhaa mtandaoni? Je nini kifanyike kusuluhisha suala hili kwenye nchi yetu Tanzania?
  13. JamiiForums Tanzania Kilwa Lindi: Miaka 30 jela kwa kukiri kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

    Mahakama ya Wilaya ya Kilwa masoko mkoani Lindi imemuhukumu Muharami Ngayoma maarufu Kibwege (30) kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile. Hukumu hiyo ya kesi namba 27 ya mwaka 2023 imetolewa Aprili 17,2023 na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Carolini Mtui...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya wafanyabishara kulalamika biashara mbaya kipindi cha pasaka kimenifanya nijue wa Tanzania sio wa'DINI mitaani km inavyoonekana mitandaoni

    Sikuu kuu imenifunza mengi na pia nimeangalia maisha halisi toka utotoni nikaunganisha dot nikapata huu ukweli Nikianza na wafanyabiashara wa chakula masokoni Wao walisema mauzo yalikuwa ya chini sana katika bidhaa zao za vyakula tofauti na sikuu zingine.hii imetoka na ukweli kwamba kipindi...
  15. JamiiForums Tanzania Usumbufu wa kumtafutia mwanao Mitandaoni shule bora sasa umekwisha

    Kutokana na usumbufu uliokuwepo wa kutafuta shule nzuri kwa ajili ya mwanao. Kama mzazi au mwanafunzi ulikuwa na ndoto za kupata shule nzuri. Iwe ni shule ya private au government au ulikuwa ukijiuliza nichague shule gani iliyo na ufaulu mzuri kimkoa au kitaifa kwa ujumla. Tatizo hili kwa sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Mitandao unayoweza ukapata kazi za mitandaoni

    Hizi nimezipata mahala so na wewe weka zako watafutaji vijana wanaweza wakazipata mana . 1.flexjobs.com 2. who is hiring .io 3. remoteml .com 4. freelancer .com 5. upwork.com 6. remoteok .io 7. devsnap .io 8. remote .co 9. dice .com 10. angel .co
  17. JamiiForums Tanzania Madaktari wa JamiiForums huu Ugonjwa Hatari na Mpya Mitandaoni unaitwaje?

    Unakuta kuna Member Mmoja Maarufu mno Mitandaoni mpaka Rais Samia anamjua na Kufurahishwa nae na Wengine baadhi ila anachukiwa na Members kadhaa lakini hao hao Members Wanaomchukia huyo Member maarufu kila mara na kila Saa tu Wanamfuatilia na Kumsoma huku Wengine hata wakiwa Wanamfolo vile vile...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu ajira za mitandaoni

    Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamehangaika sana kutafuta ajira. Nimekaa miaka 2 mtaani mpaka nilipokuja kupata ajira mwaka huu. Kuna websites huwa zina matangazo ya ajira. Sitaki kuzitolea mfano maana sitaki kuchafua website yoyote. Na lengo la hii post sio kuchafua website yoyote ila kushare...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ukatili dhidi ya Wanawake Mitandaoni: Je, tuna sera, sheria na mifumo rafiki kwa waathiriwa?

    Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, unadhani kwanini Ukatili dhidi ya Wanawake Mitandaoni unazidi kukithiri? Ni hatua gani Jamii inachukua kupambana na Ukatili huu? Waathirika wanapata msaada gani ili kuendelea kutumia Mitandao hiyo hata baada ya kupitia ukatili? Una maoni gani katika jambo...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini mnawashambulia wanawake mitandaoni?

    Mitandao ya kijamii ipo kwa ajili ya kuwaleta watu Pamoja kwa namna moja ama nyingine, kubadilishana mawazo na kufikisha ujumbe moja kwa moja kwa jamii na kwa haraka Zaidi, lakini mitandao ya kijamii imegeuka kuwa sehemu ya kushambulia utu na mwanamke kwa ujumla na kufanya wanawake kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…