Watanzania elimu ni tiba ya kutatua matatizo siyo kusoma tu kama unasoma gazeti. Inakuwaje mwanachuo ulalamike mitandaoni na upo na utawala hapo hapo ,na Kuna suggestion boxes kibao, na umesoma research writing huoni kama unakidhalilisha chuo?
Andikeni maandiko, fanyeni mini research watu waone...
Musiki ni therapy, burudani na njia ya kufikisha ujumbe kwenye jamii. Kuna namna nyingi za kufurahia mziki. Miaka ya karibuni imeibuka hii trend ya mabinti na wanawake kutuma video fupi za kucheza mziki wakitingisha makalio wakiwa wamegeuzia mgongo kamera.
Tunaweza tukasema ni burudani tu...
Ukitizama uchambuzi wa mitandaoni sasa ni habari za Iran na Marekani na Israel.
Hakuna uchambuzi au kelele au shamlashamla kuelekea mechi ya derby itakayopigwa jioni.
Hakuna habari yoyote ya Bongo inayotrend kwa sasa
Huyu jamaa aliwahi kunifundisha Tuition pale kwa Demtatuzi( naye ni marehem) boma Kama unaenda msimbazi.
jamaa alikuwa anafundisha physics na chemistry tu, alikuwa akisema hawezi kufundisha somo rahisi Kama pure mathematics😄
Alikuwa TO mwaka 2006, akaenda chuo pale UDSM akadisco(inasemekana...
Hawa watu walishatupanga sana tu.. Tena! Si mara moja tuu bali tena na tena! Ila asilimia 99 ya mara zote walizotupanga ni kuhusiana na kifo
Ni asilimia moja hivi ndio imehusika na mahusiano, ugoni/fumazini, kufilisika nk!
Hili la Mwafwere linaweza kuwa la kwanza kwenye medani za kupangwa...
Katika pita ZANGU mitandaoni, nikakuta HABARI ya TFF WAASI kuhusika na mambo ya mauaji, Sasa kilicho niacha hoi ni comments za waja.
HABARI inasema, kiongozi wa kikosi cha TFF waasi adai kuhusika na mauaji mbeya,
MTU ana comment hivi,
1. Heee, Walace karia NAE ana kikosi KAZI, hi Isha kuwa...
Gari hiyo aina ya Bentley Flying Spur lenye kibao cha namba W HUSM linalodaiwa kutumiwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda limezua mjadala hasa katika mtandaow a X, ambapo watu mbalimbali wamehoji kiongozi wa Serikali kutumia gari aina hiyo.
Kwa mujibu wa akili mnemba...
Bahati mbaya kwakuwa sasa maendeleo aliyoyafanya Samia yako wazi kabisa wanaomtukuza Magufuli wanaishia tu kusema angekuwa hai mpaka sasa tungekuwa mbali sana.
Ahahaha 😂 😂 😂 😂
Huu ni uwendawazimu kabisa.
Ukimchallenge kidogo tu anaweza kukupiga kirungu kichwani. Jamaa mmoja kutoka Kanda ya...
Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ?
Maana mnaenda kinyume na wale wanaopinga vitendo hivyo vya kuuliwa na kutekwa je mnapiginia haki za kutekwa? au mna magonjwa ya akili ? katika utafiti wangu mimi sielewi hawa watu...
Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana.
Sasa sijui ndiyo masharti ya...
Kwanza nikiri, Mimi siitambui hii Serikali kama Serikali Halali , na hii inanipa ugumu wa kushauri kwakua sitaki nitaje neno 'Serikali'.
Lakini pia, Andiko hili ningemtaja Waziri Gwajima, ila kwakua siitambui Serikali hii, na huyu Mama Waziri ni Mama Smart aliyendani ya Genge la Wahuni...
Hivi karibu katika ulimwengu wa kidijitali, imekuwa ni kawaida watu kuzungumza kama bile wamekatwa vichwa. Mitandao imekuwa ji mahali ambapo ukweli unapigwa kwa sababu ya kulinda hisia za mtu na ambapo mantiki inaonekana kama ni adui.
Hivi sasa, ukiingia TikTok au Instagram, hutakutana tu na...
Ilinishangaza kidogo
wale wanaojiita Polisi wanaofanya doria mitandaoni walishindwa kabisa kujua hili
wachina juzi walifikishwa mahakamani wakidaiwa kukutwa na minoti kwenye masandarusi huko MASAKI tena kwa washua kabisa.
inadaiwa wachina hao walikuwa wakiiba pesa toka kwenye ATM usiku yaani...
Kama Polisi walishasema ushahidi tulionao wananchi ni "AI", ninyi mnataka mpewe nini tena?
Hebu nendeni kwanza kwa Muliro akawaambie alijuaje huo ushahidi uliotumwa kwa Larry Madowo ni AI, akiwapa jibu na mkajiridhisha siyo AI ndipo mje kuomba ushahidi kwa wananchi!
Acheni kutujazia simu buree!
Nimeona humu jukwaani na huko mitandaoni, machawa pro max wa wauaji wakipambania kampuni yao ya mauaji (CCeM). Wapo maprofesa uchwara, wanahabari, watu maarufu na viongozi.
Machawa wa humu tunawafahamu, na wamekuwa wakishambulia kila hoja inayotolewa kuhoji na kukosoa serikali wamekuwa mstari...
1: JORDAN PETERSON
https://youtube.com/shorts/bUynwmuTZA0?si=eoQeDd8uByUwS1ar
2: BEN SHAPIRO
https://youtube.com/shorts/fBLCnVkJ5vY?si=7Y48SE_E2PL9sukM
3: CHARLIE KIRK (RIP)
https://youtube.com/shorts/dl8azReaeks?si=CAUenD-4wRm84pm3
4: JOE ROGAN...
Vijana wa sasa sijajua au ndio kizazi chenu cha wakati.
Ila sisi wakubwa wenu mnavyo jionesha kuwa mnashindwa kutafutana mtaani mpaka kwenda kwenye media yani niliona kijana mmoja kuna kipindi kimoja mpaka nika jisikia vibaya sana.
Umfahamu wala hakufahamu mnaenda kuokotana kama madanguro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.