mitandao ya simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu: Usiku wa kuamkia leo na ninyi mlidukuliwa ama shida ilikuwa ni nini?

    . Hali isiyo ya kawaida leo kuanzia mida ya sita usiku nimetumiwa message kwenye simu yangu kwa namba tofauti tofauti. . Nikawa nafikiria labda kuna watu walikuwa wananitafuta kuhusu masuala fulani au wamesajili namba tofauti hivyo wananijulisha kuwa wana namba mpya. . Asubuhi naamka kisha...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Wanaotuma na kupokea pesa kwa mitandao ya Simu waongezeka

    WANAOTUMA NA KUPOKEA PESA KWENYE MITANDAO YA SIMU WAMEONGEZEKA Sekta ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeendelea kukua ambapo takwimu zinaonesha kuwa laini za simu zilizosajiliwa zimeongezeka kutoka milioni 73.5 kwa mwezi Aprili, 2024 hadi laini milioni 90.4 mwezi Aprili, 2025 sawa na...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Nollo: Kuna Intaneti ya Mitandao ya Simu inasumbua kama kuni mbichi

    Mbunge wa Bahi, Kenneth Ernest Nollo amesema kuna mazingira kadhaa yanayosababisha Watu wengi kutotumia intaneti ikiwemo baadhi ya Mitandao ya Simu kuwa na huduma mbovu ya intaneti.
  4. Bwana Bongo

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kushuku kama hawa watu wa mitandao ya simu ni wasanii waliokosa kazi Bongo Movie

    Nimeanza kushuku kama hawa watu wa mitandao ya simu ni wasanii waliokosa kazi Bongo Movie, wakaamua kutu-actia. Maana sasa hivi ukiwa na bundle ni kama uko kwenye uhusiano wa long distance—upendo upo, mawasiliano hayapo! Unaamka asubuhi, unacheki simu: “Huna salio la kutosha kutuma ujumbe huu.”...
  5. Tindo

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu mnaibia wateja

    Ni dhahiri kwa sasa ukiweka bundle linaisha kwa haraka kwenye data, na sababu ni Makampuni ya simu kuibia wateja Mchezo huu umekithiri sana sasa kuelekea uchaguzi. Ni kosa makampuni ya simu kifanya wizi wa kidola dhidi ya watumiaji
  6. Lavit

    JamiiForums Tanzania Kwanini transaction fee kati ya mabenki na mitandao ya simu ni kubwa sana?

    Wakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa! Kwa mfano mtu anayetuma mil 1 anakatwa mpka 11k wakati hela hiyo hiyo kutoka bank moja kwenda nyingine wanakata buku tu...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu Voda, Airtel Yas waanze kutafuta mashamba ya kulima.

    Elon Musk enables satellite calls on iPhones and Androids worldwide. Elon Musk has once again made waves in the tech world, this time with a groundbreaking advancement that could forever change mobile connectivity. Starlink, his satellite internet service, is set to enable satellite calls on...
  8. Yofav

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani kwenye mitandao ya simu kwa sasa, Je tupo salama?

    Hali ya usalama wa mali za raia inatia wasiwasi sana kwani kwa sasa mfululizo wa jumbe za utapeli umekuwa kwa kasi sana. Linalotia shaka zaidi ni pale unapokuwa mtu wa kufanya transactions mob maybe depositing au withrdrawing basi punde baada ya muamala ujumbe wa “Tuma kwenye namba hii”...
  9. immortanity

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba details kwenye malipo ya uwakala wa mitandao ya simu (Mpesa Mix by Yas, Halopesa )

    Ukituma pesa kwa mteja/kuweka pesa. mteja akitoa pesa . Malipo kutoka mtandao husika kwa wakala yanakuaje kwa mweźi au ni papo hapo kwa kila muamala? . mwenye kuelewa msaada tafadhali.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu Tanzania, kwanini mmezuia neno "SEX" kwenye meseji?

    Ukituma meseji yenye neno sex haiendi. Hii maana yake nini? Kwamba ndio mnalinda maadili ama nini? So mnataka tuwe tunaandika meseji kama watoto wa elfu2 sex tuandike sx au xex. Acheni utoto nyie
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania TCRA tunaomba mtusaidie Wananchi wenu, kuna mitandao ya simu kila ukiweka salio la fedha unatafutwa na namba ngeni

    Serikali ya Tanzania kupitia TCRA tunaomba mtusaidie Wananchi wenu, kuna mitandao ya simu (..) kila ukiweka salio la fedha unatafutwa na namba ngeni Kuna mitandao fulani ya simu kila ukiweka salio la fedha katika account yako au ukitumiwa pesa unatafutwa na namba mpya yenye viashiria vya...
  12. snipa

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu Tanzania na utapeli wanaoufanya kuongeza CPA "Click per Action".

    Miaka ya hivi karibuni mitandao ya simu imekuwa ikitulazimisha kusoma sms, na wanafanya hivyo ili tu tusome matangazo yao mengine yasiyokuwa na Tija, bila kujua kuwa wanakwamisha watanzania Kwa kuwapotezea muda. Mfano unapo angalia salio, asilimia kubwa hii mitandao imekuwa ikitulazimisha...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kusimamia Biashara yako ya Uwakala wa Benki na Mitandao ya Simu

    Mfumo huu ni suluhisho kwa biashara yako ya uwakala. Simamia na fuatilia mwenendo wa biashara yako ya uwakala ukiwa mahali popote, muda wowote. Wakala Agency Banking System: https://youtu.be/0ug73zhGnuI
  14. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mitandao Ya Simu

    Naomba kufahamishwa mtandao wa simu ambao upo stable katika streaming na price za data package zao. Nimejaribu kuingia kwenye account za insta za Airtel na Halotel, hakuna nilichoambulia zaidi ya matangazo ya zawadi za Faza Xmas. Likewise na kwenye website zao, hawajaandika gharama za package...
  15. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa mitandao ya simu (Vodacom, yas, airtel, halotel, etc)

    Habari zenu enyi makampuni ya huduma za mawasiliano. Nakuja kwenu kwa lengo la kuwapa wazo la kibiashara ambalo litaweza kuboresha huduma zenu kwa wateja, haswa kwa upande wa intaneti. Changamoto ambayo nyie makampuni mnayo ni urasimu haswa linapokuja suala la mtu mwenye nia ya kufanya kazi na...
  16. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mitandao ya Simu ilishindwa kuendelea kutumia codes za zamani (Voda-0754, Tigo Yas-0717, Airtel-0787)?? Any technical justification please??..

    Good Morning my dear brothers and sisters out there. (1) Kwanini mitandao ya simu (mfano Tigo Yas) wanatumia codes mbili yaani 0717****** pamoja na 0654******?? Kwanini ilishindikana kubaki na ili ili code yao ya zamani?? (2) Je, numbers za simu kuwa na 10 digits badala ya 11 (0654527779) ni...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Nakodisha Line za uwakala wa mitandao ya simu

    Nilikuwa na ofisi yangu ya Uwakala wa fedha kwa mitandao ya simu lakin bahati mbaya nimefulia na line zipo ila sizifanyii kazi. Kiukweli sina mpango wa kuzitumia hizi line tena. Kama unazihitaji tunaweza kuingia makubaliano/Mkataba ili kuwe na usalama kwako na kwangu pia. Line nilizonazo ni...
  18. Akotia

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu jiongezeni kwenye mfumo wenu wa lipa namba.

    Ruhusuni mfumo ambao pesa ikiingia kwenye simu ya lipa namba itoe notification kwa simu nyengine pia. Mfano nina lipa namba moja ila watoa huduma watatu nahitaji hao watoa huduma watatu wapate ujumbe kwa simu zao iwapo mteja atalipa namba kwa mmoja wapo bila wao kuhakiki kwa kuangalia message...
  19. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu na benki, wekeni option (chaguo) kwenye menu zenu mtu kukubali mkopo kutoka kwa mtu mwingine

    Aslaam, Kuna jamaa hapa amepigwa tukio na mtu wake wakaribu. Alimkopesha ela ila alimtumia kupitia mtandao wa simu. Jamaa baada ya muda saana amemgeuka, amemwambia hajawahi kukopa ela kutoka kwake. Na sms ya Muamala anayo, alijaribu kumfoadia ile sms ya ela ambayo alimtumia Jamaa akajibu...
  20. L

    JamiiForums Tanzania KERO Kumekuwa na changamoto ya kununua LUKU kupitia mitandao ya simu

    Kumekuwa na changamoto ya kununua LUKU kupitia mitandao ya simu. Ukinunua hupati token na wenye mitandao wanajua kuna shida kwasababu ukiwapigia wanakiri. Lakini bado unakatwa pesa! Kwa nini maelezo ya kuwepo kwa shida yasitolewe kupitia menu za apps ili mteja ajipange kivingine badala ya...
Back
Top Bottom