mitandao ya kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini contents nyingi katika Mitandao ya kijamii ni ya kuhamasisha ngono?

    Katika Videos kumi utaka-zoplay either FACEBOOK, INSTAGRAM e.t.c, Saba katika videos hizo ni za kuhamasisha ngono. Je, Ni kuwa watu wamewekeza sana katika ngono. Karibuni tujadili hili Wanajamiiforums wenzangu.
  2. JamiiForums Tanzania Dalili za Mtu Mwenye IQ Ndogo Kwenye Mitandao ya Kijamii na Jamii kwa Ujumla – Je, Utamjuaje?

    Habari wadau wa JamiiForums, Katika dunia ya sasa, tunakutana na aina nyingi za watu kwenye mitandao ya kijamii na jamii kwa ujumla. Wengine ni wasomi, wengine wamepitia changamoto mbalimbali za maisha, lakini cha kushangaza ni kwamba hata mtu aliyesoma anaweza kuonyesha dalili za IQ ndogo...
  3. JamiiForums Tanzania Tauhida Gallos: Vijana Tumieni Vizuri Mitandao ya Kijamii Kujiingizia Kipato

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo akiwa Wilaya ya Magharibi A tarehe 06 Machi, 2025 amewataka Wazazi na Walezi kuwashajihisha Vijana wao kutumia vizuri mitandao ya kijamii ili kujipatia kipato. Mbunge Tauhida Gallos Ameyasema hayo mara baada ya kukabidhi...
  4. JamiiForums Tanzania Itumie mitandao ya kijamii vizuri iwe ajira kwako

    Ndugu zanguni Ni muda sasa sijapost humu kwani nimekua bize sana na kazi Nimekua nikiona na kusikia vijana wakilalamika sana kuhusu ajira. Napenda kuwajuza tu kua moja ya ajira ambazo huhitaji kutuma maombi wala elimu ni kuitumia mitandao ya kijamii kama ajira Mimi nadhani wengi mnanifahamu...
  5. JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii (social network) kwa dunia ya sasa inalipa watu kwa maudhui ya wateja kwa nini jamiiforum wasiingie.

    Ili kupata watumiaji wengi mitandao ya kijamii imekuwa ikivutia watu wengi kwa malipo ya maudhui na idadi ya wafuasi waliopo kwenye maudhui. Kutokana na sisi kulala na yeye jamiiforum kuzidi kuchuma kwetu maudhui bila malipo kutungwe sheria ili kulipwa kwa wanaotoa maudhui. Yeye anafaidika na...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unadhani kwanini vijana wengi wanasiasa, hususan wa CHADEMA, hukosa ujasiri kujitambulisha field kuliko kwenye mitandao ya kijamii?

    Je, huwa wanajua na wanafahamu kabisa kwamba hawaaminiki, hawaelewekagi wala hawakubaliki mbele ya wananchi? Nini kifanyike kuondoa unyonge huo wa wanachama wa chadema hasa wakiwa mitaani bila viongozi wao? Na kipi hupelekea vijana hao kupata mihemko na makasiriko ya kiwango cha kurusha ngumi...
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Je, ni sahihi kwa wamiliki wa Night Club kurusha picha au video za wateja wao kwenye Mitandao ya Kijamii?

    Kwa Miaka Ya Hivi Karibuni Kumeibuka Wimbi Kubwa La Wamiliki kuchapisha Picha Au Video Za Wateja Wao Katika Mitandao ya Kijamii Hali Ambayo Kwa Namna Moja Sio Nzuri Kwa Baadhi Ya Wateja. Unaweza Kwenda Kwenye Baadhi ya Kumbi za Starehe Kipindi Ukipata Kinywaji Iadara Ya masoko Na Habari Wao...
  8. JamiiForums Tanzania Wanasiasa na Wakurugenzi hamtumii mitandao ya kijamii ndo maana Gen Z wanaishia kuwaona kina Gigi Money na Baba Levo kama Role Models wao

    Wakuu, Juzi umeme ulikuwa umekatika kwangu, ikabidi niende kwa jirani yangu kupoteza muda kidogo nikisubiri umeme urudi. Jirani yangu (anaelekea utu uzima) ana watoto 3. Mmoja yuko nursery na hao wengine wawili wapo shule ya msingi. Wakati nimekaa pale nikawa napiga story mbili tatu na wale...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama asemewe awaagiza Wanavyuo Kutumia Mitandao ya Kijamii Kueleza Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita"

    Mwenyekiti wa Kampeni ya *Mama Asemewe, Ndugu Geofrey Kiliba, amewataka wanavyuo kote nchini kutumia mitandao ya kijamii na elimu zao kueleza mafanikio makubwa ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Soma Pia: Pre GE2025 - Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya...
  10. JamiiForums Tanzania Kufanya kura za maoni mtandaoni kwa kulinganisha wanaosemwa kugombea URAIS nchini Tanzania ni makosa?

    Team; Salaam! Sheria ya mitandao ya kijamii na Sheria zingine zinasemaje kuhusu kura za maoni kwa wamaotajwa kugombea URAIS mwaka 2025? Kama itakuwa kitu kinachoruhusiwa kufanyika basi ningeomba Hashim Rungwe Spunda; Zitto Zuberi Kabwe Tundu Antipas Lissu Dkt Samia Suluhu Hassan Ibrahim...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtwara: Vijana watakiwa kutumia vizuri mitandao ya kijamii kwa manufaa ya CCM

    Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaenda kutimiza miaka 48 tangu kuanzishwa kwake vijana wameshauriwa kutumia kwa faida mitandao ya kijamii ili iwanufaishe kwenye shughuli zao na shughuli za kichama. Soma Pia: Mtwara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Akizungumza kwenye hafla...
  12. JamiiForums Tanzania Uzingativu wa jinsia: Mfumo dume bado kikwazo katika mitandao ya kijamii

    UZINGATIVU WA JINSIA: MFUMO DUME BADO KIKWAZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII Utamaduni wa mfumo dume katika jamii umeelezwa ni mojawapo ya sababu za kutozingatia uandishi wa masuala ya kijinsia katika kuripoti habari wakati huu ambao idadi kubwa ya vijana nchini Tanzania wakitumia mitandao ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kama unajiuliza kwanini polisi wamekataza Press ya Mnyika, tazama hapa jinsi Uchaguzi wa CHADEMA ulivyoteka mitandao ya kijamii

    Wakuu, Binafsi nawaelewa CCM kwanini wamekataza Press ya Mnyika na wakaenda kuweka polisi mbele ya jengo la CHADEMA ili kuzuia hiyo Press kufanyika. Whoever made that decision anaelewa ni kiasi gani CHADEMA wana nguvu kwenye mitandao ya kijamii. Kama hiyo press itafanyika, hakuna mtu...
  14. JamiiForums Tanzania Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii nchini

    Serikali ya Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ikiwamo Facebook na Tiktok nchini humo kwa muda wa hadi miezi mitatu, huku ikitegemea udhibiti wa maudhui. Agizo hilo limetolewa na Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano ya Sudan Kusini (NCA) Jumatano Januari 22...
  15. JamiiForums Tanzania Sudan Kusini Yapiga Marufuku Matumizi Mitandao Ya Kijamii Kwa Miezi Mitatu

    Mamlaka ya Mawasiliano ya Sudan Kusini imepiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia Januari 22, 2025. Katazo hilo linafuatia kusambaa kwa picha za video zinazoonesha mateso na masumbuko ya wakimbizi wa Sudan Kusini walioko katika eneo la Wad Medani, nchi...
  16. X

    JamiiForums Tanzania Ukweli ambao wengi hawaujui ni kuwa China haijawahi kuifungia mitandao ya kijamii ya Marekani, ila mitandao ya Marekani ilikimbia kutoa huduma China

    Baada ya hili sakata la TikTok nimekutana na wadau majukwaani wakidai China ndio wa kwanza kufungia mitandao ya kijamii ya Marekani. Kwa hiyo ni kama Marekani nao wameijibu China. Wengi hawajui kuhusu sheria za China inapohusu huduma zozote ambazo zitahitaji taarifa za watumiaji. Ikiwa unataka...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yatoa muongozo kutaka kampuni zote za mitandao ya kijamii kuwa na ofisi nchini humo

    Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Kenya imeagiza mitandao yote ya kijamii nchi Kenya kuanzisha ofisi nchini humo. Wizara hiyo imedokeza kuwa ina lengo la kuhakikisha maudhui yanayosambazwa na kampuni hizo sio mabaya. "Kuongezeka kwa matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, ikiwemo unyanyasaji...
  18. JamiiForums Tanzania Elon Musk: Vyombo vya habari vimeshakufa, mitandao ya kijamii imechukua nafasi zao

    Hata mimi naungana na bwana Musk, binafsi inaenda miaka 2 sasa nimeshasahau kitu inaitwa redio, runinga kutizama ni mara moja moja sana, tena siyo taarifa ya habari, natazama vipindi vingine kama mpira, wildlife nk. Mainstream media za bongo zimejipangaje na hii transition inayoenda kutokea?
  19. JamiiForums Tanzania Dodoma: Polisi yamsaka nchi nzima aliyetangaza kuuza mtoto kwenye mitandao ya kijamii kwa TSh. milioni 1.6

    Jeshi la Polisi linamtafuta kwa kuendesha msako nchi nzima mtu ambaye anaonekana kushoto mwa taarifa hii ambaye ametengeneza na kusambaza picha mjongeo (video clip) akitangaza jongeo kuwa anamuuza mtoto al aliyembeba kwa shilingi milioni moja na laki sita. Msako huo utahakikisha anakamatwa ili...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA-TAIFA hauna ushindani kabisa, ni Uchaguzi mwepesi mno

    Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…