misri

Rock candy or sugar candy (in British English), also called rock sugar, is a type of confection composed of relatively large sugar crystals. This candy is formed by allowing a supersaturated solution of sugar and water to crystallize onto a surface suitable for crystal nucleation, such as a string, stick, or plain granulated sugar. Heating the water before adding the sugar allows more sugar to dissolve thus producing larger crystals. Crystals form after 6 to 7 days. Food coloring may be added to the mixture to produce colored candy.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kwa rank yetu jeshini namba 6 duniani, tukirushiwa bomu na mataifa tuliyoyazidi kama Uturuki, Israel, Pakistan, Misri, n.k. Tutajibu au kufunika kombe

    Kwa ranks tunazozisikia Jeshi letu lipo fiti sana ni la sita dunioni hao wanyonge namba saba na kuendelea wakirusha bomu tutajibu au ?
  2. mcTobby

    Dr Ashraf Marwan: Mkwe wa Rais wa Misri aliyegeuka kuwa Jasusi wa Mossad.

    Kama ungebahatika kutembelea jiji la Cairo hususani siku ya tarehe moja mwezi wa saba mwaka 2007, ungegundua ni siku na mwezi ambapo hali ya hewa ilikuwa ni joto kali sana kiasi kwamba muda wote ungekuwa unatokwa na jasho. Mitaa mingi ya mji wa cairo ikiwa ina msongamano ndivyo ilivyozidi...
  3. Echolima1

    Israel yawekeana mkataba wa kuiuzia Misri Gesi!!!

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alitangaza katika ujumbe wa video kwamba ameidhinisha makubaliano makubwa zaidi ya nishati katika historia ya Israeli. Mkataba wa gesi asilia na Misri una thamani ya NIS bilioni 112 (dola bilioni 34.7), ambapo NIS bilioni 58 (dola bilioni 18) zitatumika katika...
  4. ndege JOHN

    Chagua nchi Moja ya kufanya kazi kati ya Misri, Israel,South Africa, Brazil au Indonesia

    Assume umepewa nafasi ya kazi Moja na mshahara mmoja ila katika nchi hizi tano(5) umeambiwa uchague Nchi Moja utachagua ipi kati ya Misri,SA, Indonesia,au Brazil, au Israel utachagua ipi?
  5. Lord Denning

    Misri meli zinajaa kwenye foleni kupakia Gesi, Msumbiji wanaanza mradi wa LNG, Tanzania wanasubiri nani anatoa kushwa kubwa wampe mradi

    Mwaka wa 15 sasahivi tongu zianze kuletwa hadithi za mradi wa LNG Tanzania na mradi huo haujaanza hata kidogo mpaka Leo. Tongu hadithi hizi zianze kuzungumzwa hakuna cha mradi wowote wa LNG umewahi kuonekana zaidi ya hadithi za hekaya za Abunuasi. Wakati hayo yanafanyika jirani Msumbiji...
  6. J

    Majaribu 10 ya Waisraeli kwa Mungu tangu Misri hadi Kanaani

    Majaribu 10 ya Waisraeli kwa Mungu tangu Misri hadi Kanaani Musa ni nani katika safari kutoka Misri hadi Kanaani Musa ni mtu mmoja maarufu zaidi katika Agano la Kale. Wakati Ibrahimu anaitwa "Baba wa Imani" na mpokeaji wa agano la Mungu lisilo na masharti la neema kwa watu Wake, Musa alikuwa...
  7. Labani og

    Sad news: Simba wakandwa na ENPPI ya Misri bao 4-3

    Simba SC imefungwa mabao 4-3 na ENPPI SC ya Misri katika mchezo wa pili kirafiki uliochezwa Jumapili, Agosti 17,2025 kujiandaa na msimu mpya wa 2025/2026. Mabao ya ENPPI SC mawili yalifunwa kwa penati, huku Simba SC ikifunga kupitia wachezaji wake Kibu Denis, Jean Ahoua, na Jonathan Sowah...
  8. Youbettersleep

    Tulikuwa safarini kuelelea Kanani ghafla Mussa akafia jangwani..Watch hundreds ameturudisha misri kufyatua matofali ya prymd

    Matajiri waliokuwa na pesa za uhalali hukuwahi wasikia wakimlaumu huyu Mzee...Waliokuwa wanasema Mzee Magu hapatani na matajiri walikuwa hawamalizii ni matajiri wa aina gani. Magu ukimsifia saana anaanza kuwa na mashaka na ww. Mzee alikuwa hana chawa ila kazi yke ndio ilikuwa chawa. Leo Mkuu wa...
  9. S

    Mambo 5 Niliyoyaona kwenye Video Clip ya Mabao Mawili Safi Kabisa na Yasiyo na Utata ya Simba huko Misri Leo

    1.Dua kubwa na nzito inatakiwa kufanyika kuwalinda wachezaji wetu, narudia kama hakuna Dua wachezaji Hawa wakitua uwanja wa Ndege tu wakati wanarudi wameyakanyaga, asikwambie mtu Utopolo hawana wanachokitegemea zaidi ya kuwategeshea miba.Uwanja wa Bunju hadi wanakokaa wachezaji walindwe kwa Dua...
  10. GENTAMYCINE

    Simba SC hili la Mchezaji Jonathan Sowah kumpiga Ngumi ya Jicho Steven Mukwala huko Kambini Misri mliweke sawa na Sowah aonywe upesi sawa?

    Mkiambiwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ni habari nyingine kwa Taarifa za Ndani na sina Mpinzani hapa JamiiForums muwe mnakubali tu na hata kunipigia Saluti Kudadadeki. Haya upesi sana huyu Mchezaji wetu mpya na Fundi wa Kufunga Magoli Jonathan Sowah aitwe na aonywe kuwa Simba SC hatutaki Ndodi za...
  11. R

    Salim Ahmad Salim ni mstaafu wa kupigiwa mfano, aliteuliwa kuwa balozi Misri akiwa na 22 yrs pekee

    Salaam! Kuna mtu mahiri sana Katika historia ya nchi yetu ambaye isingekuwa hila za familia moja yenye uchu wa madaraka kule Zanzibar, angekuwa Rais wa nchi Bora sana baada ya Mwl Nyerere. Imagine mwaka 1964 akiwa na miaka 22 pekee aliteuliwa kuwa balozi kuiwakilisha nchi kule Misri, Akapata...
  12. Ojuolegbha

    Tanzania na Misri kupanua wigo wa ushirikiano

    Tanzania na Misri kupanua wigo wa ushirikiano Pembezoni mwa Mkutano wa 47 wa Kawaida wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika na Mkutano wa Saba wa Umoja wa Afrika wa Uratibu, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kufanya...
  13. E

    Kiswahili chapigiwa chapuo Misri

    Wakati Dunia ikiadhimisha siku ya Kiswahili, lugha hiyo sasa inaonekana kuvuka mipaka ya Afrika Mashariki, ambapo sasa Jukwaa la Kimataifa la Nasser la nchini Misri limejitokeza kuwawezesha vijana nchini humo kujifunza lugha hiyo. Siku ya Kiswahili duniani huadhimishwa Julai 7 ya kila mwaka...
  14. kavulata

    Nilichojifunza kutoka waamuzi wa Misri walioamua mechi ya derby

    Kumbe waamuzi wetu wengi ni wapuliza filimbi sio waamuzi. Waamuzi wetu wanapuliza filimbi nyingi sana kuliko inavyosrahili. Waamuzi wa Misri wametuonyesha kuwa mpira wa miguu ni mchezo wa kutumia nguvu, hivyo sio Kila msukumano wa wachezaji unahitaji filimbi. Filimbi nyingi zinazalisha timu...
  15. kavulata

    Waamuzi kutoka Misri kuchezeshwa derby ni sawa lakini sio 100%

    Mimi ni mtanzania lakini kule uingereza ni mshabiki wa Arsenal. Kama ningekuwa mwamuzi na kuambiwa nikachezeshe mechi kati ya arsenal na Manchester united lazima ningeipendelea Arsenal tu. Kule Misri mm ni mshabiki wa Al-Masry. Je, hawa wanaokuja huku hawana timu wanayoishabikia kati ya Simba...
  16. J

    Kipigo cha Wazaliwa wa Kwanza Kilichotokea Misri

    Kipigo cha Wazaliwa wa Kwanza Kilichotokea Misri Je umewahi kutafakari kwa nini mapigo yote 9 aliyopigwa Farao bado moyo wake ulikuwa mgumu? Na kwa nini lile pigo la 10 la kufa wazaliwa wa kwanza ndipo akawaruhusu wana wa Israeli? Maana yake ni kuwa Farao aliendelea kuwa na moyo mgumu mpaka...
  17. ELI COHEN

    Wananchi wa Misri wamewafanyia vurugu na kuwaondosha waandamanaji wa kimataifa waliotaka kupitia nchini kwao kuelekea Gaza.

    🤣🤣 Wamisri wameona hawataki kuingizwa katika utapeli wa kipalestina. Wana maana yao kwa nini wameweka uzio mkubwa katika ya gaza na misri.
  18. M

    Kama mitandao ya kijamii haina nguvu na ni upuuzi, mbona Tunisia na Misri walipata mabadiliko kupitia mitandao ya kijamii?

    Dunia imebadilika sana. Dunia ya miaka ya 1960's mpaka 1980's sio kama ya leo. Huko Tunisia walipata mabadiliko kupitia mitandao ya kijamii. Huko Misri nako mitandao ya kijamii ilitumika kumuondoa Hosni Mubarak. Vivyo hivyo hata hapa Tanzania mabadiliko yanaweza kupatikana kupitia mitandao...
  19. Webabu

    Hatimae Misri imetajwa rasmi kama mshirika anayepigana upande wa Israel dhidi ya Gaza

    Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya mashariki ya kati,Mohammed Al masry ameseweka wazi kuwa Misri ndiye mshirika mkubwa wa Israel na Marekani kufanikisha maumivu wanayoyapata wananchi wa Palestina eneo la Gaza. AlMasry katika mahojiano yake na aljazeera ,amesema ukweli huo ni jambo ambalo kwa...
  20. BlackPanther

    Kila la heri kwenu Al ahly na Pyramids

    .
Back
Top Bottom