misimamo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shy land

    Misimamo yetu wanaume halisi wa Africa

    Mimi kama mwanaume halisi ninayejua majukumu yangu ni marufuku mke. 1. Uvaaji wa soksi na sedosi unaleta taafasiri mbaya sana. 2. Kujichubua na kutumia aina yoyote ya dawa za kubandilisha rangi. 3. Kunikumbatia au kuleta viashilia vya mahamba mbele ya watu, pamoja na kunishikashika ovyo...
  2. BigTall

    Misimamo ya Ligi Kuu Bara, Championship, Ligi ya Zanzibar, Ligi ya Wanawake

    Hivi ndivyo misimamo ilivyo hadi kufikia leo Jumatano Machi 30, 2022 katika Ligi mbalimbali ambazo ni Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza 'Championiship', Ligi Kuu ya Zanzibar na Ligi Kuu ya Wanawake. Chanzo: Mwanaspoti
  3. B

    Misimamo ya Waafrika na Vita vya Ukraine

    Vita vyote huwa mwonevu na mwonewa. Hata hivyo pana wimbi la mashabiki pia. Kwanini waafrika tunatokea kukenua mno bila kusimamia misingi ya haki wala kuzingatia madhara? Hata hivyo nisiache kutambua mchango wa Kenya na Afrika Kusini kwenye kumkemea hadharani, mbabe huyu wa vita bwana...
  4. jollyman91

    Kubainishwa misimamo ya Iran kuhusu Syria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Katika miaka ya hivi karibuni Syria imekuwa ikikabiliwa na vita na harakati kubwa za makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na Marekani na sehemu ya ardhi ya nchi hiyo ikadhibitiwa na kukaliwa kwa mabavu na magaidi. Hadi sasa vita hivyo vimesababisha maafa na mauaji ya makumi ya maelfu ya wananchi...
  5. ndege JOHN

    Watanzania naombeni mnisamehe kwa hii misimamo yangu ya kisiasa

    Kuna kipindi niliamini chama kitakachomkomboa Mtanzania ni Chadema ila nilikuja kubadilisha msimamo wangu nikaamua kushabikia CCM na sababu iliyonifanya niachane na upinzani ni kitendo cha Chadema kumsimamisha Lowasa 2015. Kiukweli niliumia sana roho nikajisemea moyoni haiwezekani kiongozi...
  6. kimsboy

    Rais mpya wa Iran ana misimamo mikali, Israel ijiandae kisawasawa

    Another Mahmoud Ahmedinajad na huyu ni zaidi Ahmedinajad; jamaa ana misimamo mikali balaa[emoji2][emoji2][emoji2] Hapo Middle East lazima heshima irudi, unajua Hassan Rouhan alikua wa misimamo ya wastani halafu mpole mpole hivi huyu ni kiboko ya maadui wa Iran, Israel wajiandae...
  7. M

    Tuwakumbuke Marais waliopita katika nchi mbalimbali za Afrika waliokuwa na misimamo thabiti isiyoyumbishwa!

    Wa kwanza ni Nkwame Nkrumah wa Ghana!! Mabeberu hawana hamu naye! Alipigania uhuru wa Afrika na kukataa kuburuzwa na mabeberu!! Ni alama ya kwanza kwa mashujaa wa Afrika. Karibuni tuendeleze orodha! Nkrumah defined his belief system as "the ideology of a New Africa, independent and absolutely...
  8. Fbn

    Vyombo vya habari Tanzania havijui misimamo ya kuendana na soko

    Vyombo vya habari kwa tanzania havijui nini misimamo katika kuendana na soko. Mfano wenzetu ukikuta kama BBC basi utakuta BBC habari imejikita kuwa makini na habari sio kuleta ujinga, ndio maana kuna BBC chaneli nyingine zisipoteze muelekeo. Ukija mfano National Geographic, Discovery, CNN...
Back
Top Bottom