misimamo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Joshua Mbezi

    Hivi hii misimamo na mahaba ya namna hii huwa mnayatoa wapi?

    Katika ukuaji wangu Kuna Imani na misimamo nikimuona nayo mtu nabaki namshangaa kabisa Kwa mfano; Hivi inawezekanaje kuwa chawa wa mtu kiasi Cha kushindwa kuona mabaya take?🤔 Hivi mtu unawezaje kujidhuru kwa ajiri ya mapenzi ?🤔 Hivi kipi kinacho Mfanya mtu anashindwa kumuamini Mungu au...
  2. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Masoud: Siasa za misimamo mikali hazijengi demokrasia

    Watanzania wametakiwa kuwakataa wale wote wanaohamasisha au kuunga mkono mikakati inayolenga kuingiza nchi kwenye machafuko, vurugu au migawanyiko ya kisiasa. Hayo yamebainishwa na kijana mjasiriamali na mdau wa masula ya siasa nchini, Masoud Mambo wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  3. W

    Nay Wa Mitego awashukuru Watanzania kwa kuufanya wimbo wake mpya kuwa No. 1 trending, awasifu kwa misimamo na umoja

    Msanii Nay wa Mitego kupitia ukurasa wake wa Insta ameeleza hayo hii ikiwa ni katika kipindi amabacho wananchi wanajitahidi kuwawajibisha wasanii waliokataa kusimama nao kipindi cha matatizo. Nay ameanika; "Watanzania Wa Sasa Sio Watu Wa Kuchezea Wana Maamuzi , Wana Misimamo Na Umoja✊. Jana...
  4. M

    Nimeamua kuiunga mkono CHADEMA sababu ya misimamo thabiti ya Heche na Lissu

    Huu ndio ukweli usiopingika. Hawa watu hawana siasa za kibiashara kama Mbowe Misimamo yao ni kulinda rasilimali za taifa letu. Kupinga utekaji na unyanyasaji. Kupinga wizi wa kura kwakutaka katiba mpya.
  5. ngara23

    Misimamo wetu ni ule ule hatutaki maridhiano na CCM wauaji

    Agenda ya Chama chakavu cha mauaji ni kuleta maridhiano baada ya kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000 Kesho Chama chakavu cha mauaji kinaenda kumhidhinisha spika wa bunge na Waziri mkuu Tundu Lissu ataachiwa J5. DPP atafuta kesi Leo wamewaachia viongozi wa Chadema bila masharti ili kuonyesha...
  6. Mashamba Makubwa Nalima

    Naona umuhimu wa kumpeleka shule mtoto wa kike, wanawake wamekuwa na muamko mkubwa sana wa haki na misimamo imara. Binti zangu watapata elimu pia

    Nimekuwa nikipitia mitandaoni nimeona umuhimu wa mabinti zetu katika kupambania haki na usawa. Wakati kwa miaka mingi ilikuwa inaonekana hii empowerment imekuja kumuondolea nafasi yamwanaume kwenye jamii lakini imekuwa na matunda mazuri. Nimepita vijiweni, sokoni na mitandaoni kama nilivyosema...
  7. Kimbesa11

    Chadema na wafuasi wake Wanamisimamo ya kitoto

    Chadema inaongozwa na misimamo ya watu vivuli, nashangaa kuona Heche anaungana na polepole hahahaaaaa Jamani kwahyo hamjiamini bila wao? Kwahyo misimamo yenu Mnataka ipushiwe na waasi wa CCM + watukanaji mitandaoni Sasa chadema ni chama au ni genge la wahuni? Hivi inakuwaje chadema...
  8. blogger

    Samson Charles wa EATV kitamkuta kitu. Sidhani kama misimamo yake inapendwa na watawala. Ni vizuri mumshauri.

    Wenzie kimeshawakuta kitu. Uanfishi wa habari wa kiuwanaharakati hauwavutii wenye mamlaka. Ni vizuri achague moja. Uwanaharakati kamili au kuendelea na utangazaji. Ni wazi anaipinga serikali.
  9. DolphinT

    Misimamo ya Ndani ya Vyama vya Siasa: Changamoto kwa Demokrasia, Uwajibikaji na Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Katika mfumo wa utawala wa kidemokrasia mathalani nchini Tanzania, vyama vya siasa vina nafasi ya kipekee katika kuongoza mchakato wa kisiasa na kutoa dira ya maendeleo kwa taifa. Hata hivyo, hali ya sasa ni ya hatari Kwa sababu misimamo ya ndani ya vyama hususani chama Cha mapinduzi, maarufu...
  10. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Luhaga Mpina: Misimamo yangu mikali ya kusimamia haki za wananchi na kufichua ubadhirifu imemletea upinzani na chuki

    Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa na mmoja wa wanasiasa wachache wanaojitambulisha kwa ushujaa wa kusema ukweli, amekuwa akijihusisha na harakati mbalimbali za kupigania haki, uwajibikaji, na uwazi ndani ya utumishi wa umma. Uthubutu huu wa kukemea maovu bila uoga umemuingiza kwenye...
  11. MwananchiOG

    Misimamo ya Yanga ilisaidia kwa kiasi kikubwa uhuru wa Tanganyika

    Mizizi ya klabu ya Yanga inaweza kufuatiliwa tangu miaka ya 1910, lakini historia iliyotambulika rasmi ya klabu hiyo ilianza mwaka 1935 wakati wakazi wa  Dar es salaam , ambao waliwekwa katika kundi la Waafrika na utawala wa kikoloni wa Tanganyika  , waliamua kuunda klabu ya soka ili kushiriki...
  12. Carlos The Jackal

    Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali

    Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali Katika historia ya siasa za Tanzania, ni vigumu kutaja majina ya wanasiasa walioteka hisia za watu kwa hoja, ujasiri na misimamo katika miongo miwili iliyopita bila kumtaja Tundu Antiphas Lissu...
  13. Yoda

    Uislamu unaruhusu kuombea dua mbaya watu mliotofautiana mawazo , misimamo au mnaoshindania maslahi ?

    Siku za hivi karibuni nimesikia Masheikh mbalimbali na waumini wa kawaida wakiomba dua mbaya dhidi ya watu walio kinyume nao katika upande wa msimamo wa siasa. Ningependa kufahamu kama haya ni katika mambo yenye kuruhusiwa katika dini au ni Bid'ah.
  14. PendoLyimo

    Je, ni kweli viongozi wao(CHADEMA) hawana misimamo?

    Katibu wa CHADEMA Ilala, Elizabeth Mambosho, leo anamshambulia Lissu, juzi alimsifia. Hii ndiyo CHADEMA ya sasa—hakuna msimamo, hakuna mshikamano. Kila mmoja anacheza upande anaohisi utamfaidi. Siasa za mivutano zisizo na dira.
  15. gstar

    Kardinali Robert Prevost Papa mpya asiye na misimamo mikali

    Tumsifu Yesu Kristo. Katika kipindi ambacho Kanisa Katoliki linakabiliwa na changamoto nyingi za kijamii, kisiasa na kiutamaduni duniani kote, uteuzi wa Kardinali Robert Prevost kama Papa mpya – Papa Leo XIV – umeleta matumaini mapya kwa wengi, huku pia ukizua mijadala kuhusu mwelekeo wa kanisa...
  16. The Palm Beach

    Video interview: Huyu ndiye Tundu Lissu wa machozi, damu na jasho na misimamo ya haki

    https://www.youtube.com/live/vLdO-z31bOY?si=DxKCHlFGEDmG6wWD In brief: ➡NO REFORMS, NO ELECTION is there na CHADEMA is a proper channel to carry it forward... ➡Katika chaguzi za 2015 kurudi nyuma tuliweza kugombea na kushinda kwa sababu ingalau kulikuwa na competition japo mazingira yalikuwa...
  17. mr pipa

    Wake za watu muwe na misimamo basi

    Miezi miwili iliopita nikawa nimeamia nyumba moja hivi Kwenye hiyo nyumba nikamkuta binti mmoja hivi sikujua kama ana mume Kwa maana katika mazoea na kukaa hapo kwa wiki moja sikuwahi kuona kuna dalili ya kuwa na mume Imepita wiki akaja jamaa yake ile usiku nakuta tu migunoo oohh shiiish...
  18. S

    Kutokana na sera na misimamo yake, Donald Trump anaweza kuuawa wakati wowote

    Trump amekuja na misimamo na sera zinazogusa na kuathiri watu wengi ndani ya Marekani na nje ya marekani. Trump anagusa imani za watu, tamaduni za watu na sasa anakwenda mbali kutaka kushirkiana na Waisraeli kuwaondoa wapelestina huko Gaza maamuzi ambayo pia yataamsha hisia za kidini na hata...
  19. Crocodiletooth

    PreGE2025 Tundu Lissu, achana na misimamo misimamo ya kipuuzi, ingia kwenye uchaguzi upiganie wabunge 20 na madiwani

    Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na...
  20. Patriot missile

    PICHA: Miamba ya Upinzani yenye misimamo isiyoyumba hata nukta moja yakutana kwaajili ya mazungumzo juu ya hatma ya CHADEMA na WanaChadema

    Taifa hili limewekwa na Mungu mikononi mwenu hakikisheni mnasimama kuhesabiwa hata kama ni kwa chapa ya moto.
Back
Top Bottom