misibani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Master Jay achukizwa na wanaopiga picha misibani

    Mtayarishaji mkongwe wa muziki, Master Jay awavaa baadhi ya watu wenye tabia ya kwenda misibani na kuanza kupiga picha na ku-shoot videos kisha ku-post kwenye mitandao yao ya kijamii. Kupitia andiko lake ameonesha kutofurahishwa na tabia hiyo kwa kuhoji; "Hivi mnaoenda kwenye misiba na kuanza...
  2. Kiplayer

    Ni unafiki kuhudhuria Misibani

    Binadamu kwa kiwango kikubwa hatueleweki nini tunatoka! Katika suala la kuhudhuria kwenye misiba wengi huwa tuna Ile ngoja nikaonekane na mimi nimefika. Maana yake hatuendi kwa Sababu ya kuguswa ila ni kuonesha tumeguswa. Kama mtu hautaki kwenda piga chini uwe huru.
  3. Mi bishoo tu

    Nimeamini wake za watu wanaliwa sana misibani. Amini hili kwa 100%

    Nipo wilaya ya kazi, Bunda mkoani Mara. Majuzi nilihudhuria mazishi ya Mzee mmoja maarufu. Sasa tukiwa msibani kuna dada mmoja msukuma mweupe kapanda hewani na tako hilo. Katika harakati zangu nikafanikiwa kupata namba zake ambapo alinieleza kaolewa mkoa jirani na alikuwa kapewa ruhusa na mmewe...
  4. D

    Watanzania tuwe serious misibani

    Nimekuja hapa msibani Mbeya Isanga msibani asee nikamkuta jamaa amekuja na parachichi la kulia wali msibani Hivi ndio nini sasa hii
  5. TheDreamer Thebeliever

    Visa na visanga vya misibani

    Habari wadau! Kuna tabia za ajabu sana siku hizi, watu hawana utu ukifa kwao sherehe. Mzee alipofariki, rafiki yake wa karibu alipewa jukumu la kwenda kutafuta mahali pa kuchimba kaburi, kwa wasiojua hata maeneo ya kuzikia pale makaburini yana madaraja na bei ni tofauti. Best yake kabisa mshua...
  6. M

    Wabobezi wa Masuala ya Kulia Misibani Majumbani / Viwanjani hii Style mpya ya Kulia kwa Kusikilizia Kwanza inaitwaje?

    Unakuta Kundi Kubwa la Watu ( Waombolezaji ) muda wote tu wakiwa Msibani au katika Uwanja wote huwaoni Wakilia tena Macho yao huwa ni Makavu kabisa, lakini wakiona tu Camera za TBC1, ITV na Azam tv zinawamulika ghafla utawaona Wakilia kwa Uchungu na Camera zikiwahama tu Wananyamaza, wanafuta...
  7. May Day

    Tuburudike na siasa za Kenya Uhuru vs Ruto, Siasa hata misibani Rais wa nchi na Amiri Jeshi anagombezwa hadharani naye yupo hapo hapo

    Hivi inawezekana vipi Rais na Makamu hamuelewani lakini mpo wote tu madarakani? Mimi sio Mtaalamu wa siasa lakini sioni kama kuna mwisho mwema hapa kwenye hili vuguvugu la Uhuru vs Ruto. Vijembe vinazidi kushika kasi kuelekea uchaguzi 2020. Uhuru anaulizwa ni nini kinamshinda kumtimua Ruto...
  8. M

    Uwe maarufu au la, usijifanye una hela wakati huna! Utakuja umbuka msibani

    Unajirusha mitandaoni maisha bora, kubadilisha magari makali, unaishi apartment kali, Bata kwa Sana! Kumbe sirini maisha feki, mke elimu Hana Zaid ya kuuza sura. Siku ya msiba mnaumbuka Mbele ya makamera! ***Msibani watu wanalia kwa mengi (aibu/fedheha mixer huzuni).
Back
Top Bottom