Right Marker
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 194
- 625
MISHANGAZI
(1). Si watu wa kupenda mawasiliano ya mara kwa mara kwa wapenzi wao. Wanahitaji mawasiliano yenye umuhimu.
(2). Wakihitaji hela wanajua matumizi sahihi ya hela anayokuomba. (Mfano: Kama anahitaji bidhaa ya Tshs elfu hamsini atakuomba elfu hamsini, na atakwambia kwa ajili gani. Pia wenyewe wakiwa na hela ni wepesi kutoa.
(3). Si watu wa kufuatilia nyendo au mizunguko ya wanaume zao. Yaani akishaagwa mara moja kwake inatosha kumuamini mpenzi wake. Hana muda wa kumfuatilia mwanaume.
VITOTO VYA 2000's
(1). Mara zote vinapenda uvichatishe (haijalishi upo busy, umelazwa ICU, au umezama baharini - yeye anataka umchatishe. Usipomchatisha siku moja tazama post/status zake zitaongelea wanaume wasiochatisha wapenzi wao).
(2). Mara zote vinapenda uviambie location yako na unafanya nini (Mfano: upo sehemu fulani, unakula wali na samaki, au upo ofisini unabofya computer na atataka asikie mlio wa keyboard ya computer).
(3). Vinapenda hela lakini havijui matumizi sahihi ya hela. Yaani kinaweza kukuomba hela ili azipige picha ya kuweka status kwa ajili ya kuwarusha roho wenzake baada ya hapo kinakwenda kula chipsi na wenzake.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM.