misafara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 888I

    🧐Magari ya Rais Samia: Msaada JamiiForums! Hizi Range Rover za Misafara Zina Sifa Gani Hasa?

    Ndugu Zangu Wanajukwaa! Mimi si mtaalamu wa magari kabisa, nimeona Range Rover hizi nyeusi, ndefu katika misafara ya Rais Samia Suluhu Hassan hasa baada ya kuapishwa kwake. Nimejaribu "ku-Google" (gugo huko!) na nimejifunza mambo machache. Ninaomba mnisaidie kufafanua kwa wale wenye ufahamu...
  2. Fbn

    Pikipiki za polisi za kusindikiza misafara ina maana gani kubadilishwa kuwa rangi ya chama cha CCM kwenye kampeni

    Nimeangalia clip nusu nitukane ------------ Hii ni kinyume na kanuni na taratibu za uchaguzi, na kama sheria zimebadilka basi Tume huru ya uchaguzi NEC itoe ufafanuzi. La sivyo tutarajie kuona hizi pikipiki kwenye misafara ya wagombea wa vyama vingine tena kwenye rangi zao kama CCM ilivyofanya
  3. Manyanza

    Hivi huyu mtoto wa Trump (X Æ A-12) ana umuhimu gani kwenye misafara ya know Trump?

    Wakuu na wajuzi wa mambo Nyani Ngabu , Mayor Quimby Kiranga I huyu mtoto wa Elon Musk ana umuhimu gani kwenye shughuli za Trump maana kwenye ziara nzito za Trump na yeye huwa yupo tu. Naomba kujuzwa Elon Musk, kushoto, akizungumza kama mwanawe, X Æ A-12, na Rais wa Marekani Donald Trump...
  4. ngara23

    Misafara ya viongozi inaleta usumbufu usio wa lazima

    Japo naheshimu usalama wa viongozi kuwa kipaumbe ilinwahakikishiwe usalama maana wanapatikana Kwa gharama na Kuna ugumu kuwapata wengine Leo nipo Mwanza Kuna foleni na usumbufu mkubwa barabara ya Buswelu kupitia Saba Saba, Magari yamesimama masaa 3 Sijui Kuna kiongozi gani yupo Mwanza? Askari...
  5. ESCORT 1

    Kwanini hayati Magufuli alipenda kuendesha kesi akiwa njiani kwenye misafara yake?

    Wakuu salama… Enzi za uhai wake, Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli alikuwa ni mpenda drama sana. Angeweza kusafiri kwa gari kutoka Dodoma pengine kuelekea Chato. Angeweza kufika Singida na kusimama barabarani bila kujali anasababisha foleni kwa walipa kodi wanaotumia...
  6. SSH2025_2030

    Hakuna Askari wa Usalama barabarani (Trafiki) maskini

    Kwa maokoto ya kila siku. Hakuna trafiki boya/maskini. Kuwa na balance bank 50m TZS Jambo dogo
  7. Mung Chris

    Kwanini sheria inayolinda misafara isi rekebishwe

    Tupo katika dunia ambayo kwa sasa maendeleo ya binadamu, miundo mbinu na ya sayansi yamekuwa yakionekana kuwanufaisha watu hata kiuchumi. Hapa arusha msafara wa viongozi ni kero kwa wataftaji, mnasimamishwa saa 1 kabla ya msafara, kwann wasisimaishe magari na shuguli za barabarani dka 10 tu...
  8. Tman900

    MwendoKasi wa Misafara, au Magari ya Serikali

    Hivi waha jamaa Muda wote huwa Wana haraka, na je Muda wote huwa wanawahi Jambo Muhimu. Swali, Je hizi mbio zao wangekua wako serious na maendeleo tungepiga Hatua kubwa sana, Magari ya Serikali yanaongoza kwa kuvunja sheria za Barabarani. Unakuta Msafara uko Kasi sana Akifika Ofisini achukua...
  9. Izy_Name

    Misafara ya Viongozi wakati huu ni kama misafara ya wafanyabiashara binafsi

    Nikikumbuka miaka ya nyuma kuanzia kwa Kikwete na Magufuli hali ni tofauti na sasa. Watu hawana tena shahuku ya kujipanga barabarani kushuhudia msafara kama enzi zilizo pita hapo nyuma kidogo kwa sasa Rais anapita lakini ni kama kapita Alikiba tu ingawa hawakosekani raia wa kushangaa barabarani...
  10. Determinantor

    Nawasihi Polisi watumie "akili" za kwenye kuzuia misafara

    Nimesikia kuwa misafara ya Vijana WA CHADEMA wamezuiliwa iringa wasiendelee na safari Yao kwenda Mbeya kuadhimisha siku ya Vijana. Mheshimiwa Mbowe nae eti kaitwa kwa Msajili wa vyama, unajiuliza, hawa watu wanatumia akili au wanatumia vitu gani? Jana Vijana WA CCM walikua na kongomano...
  11. britanicca

    Baada ya kudokeza ulinzi wa Rais uimarishwe naona mtu kabadilishiwa majukumu, ni mkuu wa Misafara ya Rais

    Kuna jambo moja Hatari lilikuwa limepangwa dhid ya Rais Samia nikatoa angalizo, Ila baadae mliona ana msafara wa magari 120 na ulinzi mkali; ni pale ambapo walipanga kumfanyia mafia Naona ameamua amtoe muhusika wa ulinzi hadi kuwa RAS Kilimanjaro kutoka kuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi wa Rais...
  12. figganigga

    Nini kifanyike ili Viongozi wa Tanzania wapunguze Magari kwenye misafara yao? Ni aibu

    Salaam Wakuu, Ni aibu kubwa mbele ya Dunia kuna Misafara ya Viongozi wa Tanzania inavyokuwa Mikubwa. Magari Zaidi ya 300 yanamfuata Mtu Mmoja tu. Magari ya Ulinzi sina tatizo nalo, ila magari ya Watu eti Waziri, Katibu, Mkurugenzi Mkuu wa Mkoa na Wilaya, IGP, nk wote kila mtu anaenda na gari...
  13. comte

    Misafara mirefu ya wakubwa siyo rahisi kuiepuka serikalini na kanisani

  14. Mganguzi

    Misafara ya Rais na viongozi wa juu kwenye jiji la kibiashara kama Dar itumie helicopter

    Hii imekuwa kero kubwa sana ,hasa kwa wapambanaji ambao akipoteza saa Moja tu au masaa manne amelala njaa! Wengine weajiriwa anatakiwa kufika kwa wakati kazini kwake akichelewa hana kazi na hawezi kumwambia boss nilikuwa nasubili rais apite! Serikali itusaidie kuondoa hii kero ni mbaya sana...
  15. Jidu La Mabambasi

    Misafara na vimulimuli: Ushamba wa kisiasa

    Msafara wa magari ya serikali, kuna ushamba wa maspidi kupindukia. Ajali msafara wa wabunge, watu 6 walifariki Polisi watatu walifariki ajali msafara wa Magufuli Ajali msafara wa Mkonda huko kusini Tuibue hoja moja inayomuelezea mwanasiasa au kiongozi anayejitutumua hadharani bila aibu...
  16. F

    Misafara ya Makonda ya gharama kubwa wakati Watanzania maisha magumu ni unyama kwa maskini. Isitishwe!

    Uzembe mkubwa na kutowajibika kwa wananchi ndio chama cha mapinduzi CCM. Tumeona magari ya kifahari angalau 13 yakiteketea siku moja tu ya jana. Haya magari ya serikali yanatumika kwenye msafara wa CCM, nani kuruhusu hilo? Billioni zaidi ya 3 zilizoteketea katika ajali ya kizembe ya Makonda na...
  17. R

    Wana CCM wanakerwa na Makonda ila wanataka madaraka; wamebaki kukimbizwa na misafara watoto wasikose ada

    Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara. Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke...
  18. BARD AI

    Chanzo cha Foleni za Dar ni Trafiki na Misafara isiyo na ulazima

    Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikifuatilia hali mbaya ya Foleni hasa nyakati za Jioni na Asubuhi, chanzo kikubwa cha Foleni kimekuwa ni utaratibu mbovu wa Trafiki kuongoza Magari ya upande mmoja kwa muda mrefu wakati mwingine hadi nusu saa Saa moja kwa upande mmoja. Pia, Trafiki husimamisha...
  19. K

    Wananchi wa Korogwe tunakereka kusimamishwa muda mrefu barabarani ili kupisha misafara ya viongozi wa Siasa, hii sio sawa

    Hapa Korogwe Mkoani Tanga tuna changamoto ambayo naomba leo tuiweke wazi kwa sababu imetufika hapa (shingoni). Naomba kuripoti kero juu ya misafara ya viongozi wanaopita hapa Korogwe Mjini yaani tunasimamishwa muda mrefu sana kisa msafara wa viongozi au kiongozi. Mara nyingi tu shughuli...
  20. B

    Misafara ya viongozi ni mzigo kwa wananchi

    Tumezowea kuyaona haya Nigeria: Kumbe na kwetu napo hali ingali ni hiyo hiyo. Umeme wa uhakika tuupate wapi sisi kama haba na haba tungali hatujui hujaza vibaba?
Back
Top Bottom