misaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Tanzania yaiangukia EU/ Umoja wa Ulaya ibadilishe msimamo wa kuinyima misaada

    Brussels, Belgium Makao Makuu ya Umoja wa Ulaya / EU KOMBO ATUMWA BELGIUM KUOMBA WASIKILIZWE KUHUSU VIKWAZO, TANZANIA YAPIGA MAGOTI NA KUIANGUKIA MIGUUNI EU / UMOJA WA ULAYA, CHONDE CHONDE ... NYIE SIYO MABEBERU BALI NI WADAU WETU ... Picha : Waziri wa mambo ya nje Mahmoud Thabit Kombo...
  2. Genius Man

    Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo

    Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo. Kama misaada hakuna nani amesababisha isitishwe ni watanzania au samia ? yani mtu mmoja sharti aondoke misaada ifunguliwe na sio kuuza rasilimali zetu...
  3. L

    Mabadiliko ya Kimya katika Sera ya Marekani kwa Afrika: misaada kama chombo cha kuhudumia mkakati wa taifa

    Katika mwaka mmoja uliopita tangu Donald Trump kurejea Ikulu ya White House, sera ya Marekani kwa Afrika imeanza kubadilika kimya kimya. Barua ya ndani ya mkuu wa Idara inayoshughulikia mambo ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Nick Checker, iliyovuja hivi karibuni, ilifichua...
  4. Fukua

    Misaada namna ya kupata app ya loan online

    Hatari Wana jukwaa Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwenu. Ninahitaji kuwa na app ya kukopesha pesa mtandaoni lakini sijui ninaipataje, ninafahamu hum Kuna wataalamu WA Kila kitu. Hivyo ninaomba msaada wenu wakuuu kuhusu njia za kutengeneza hiyo app au gharama zake mpaka niwe na app...
  5. The Palm Beach

    JasusiTV: Usijibu wala kutuma picha au ujumbe wowote kwenye namba ilizotoa Tume ya Jaji Chande. Ni mtego wa kukamata na kupoteza mashahuda wa mauaji!

    https://youtu.be/7u6YDxC_wp0?si=rbyQ6-9B0eqvLoXY Wanatumia kila mbinu kujaribu kumwokoa Samia dhidi ya uhalifu wa kibinadamu (mauaji) waliyofanya 29/10 hadi 3/11/2025.... Hakuna ubishi wowote kuwa ushahidi unawaelemea na hatia ya kuua iko shingoni mwao imewakaba koo..... Mkakakati ni kutafuta...
  6. OLS

    Ukiagiza gari unatozwa tozo ya UKIMWI

    kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha. Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.
  7. MchelewajiSugu

    Wanaotudai 107T, wamezuia misaada. Tukawashikia kiuno tukawahoji kwa dharau 'who are you?' Anayetupa kuishi kazuia mvua

    Alianza nasisi vizuri tu. Hata ile Oct 29 aliifanya kuwa siku nzuri kwa makundi yote. Waliotoka na waliotiki. Haikunyesha mvua siku hiyo. Kisha damu nyingi sana ya wasio na hatia ikamwagwa ndani ya siku hizo tatu. Bila shaka kitendo hicho kilimsononesha na kumuudhi sana. Usiku wa oct 31...
  8. Superbug

    PostGE2025 Nchi za kikristo zikizuia misaada nchi za kiislamu zitatusaidia

    Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
  9. Heparin

    PostGE2025 Rasmi, Bunge la Ulaya lapiga kura zote 539 za NDIYO kuzuia misaada Tanzania, wahusika wa kadhia ya Oktoba 29 kuwekewa vikwazo

    Bunge la Ulaya limeitaka Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya kusitisha msaada kwa serikali ya Tanzania na kuwawekea vikwazo wahusika wa ukandamizaji uliofanywa baada ya uchaguzi mkuu. Wabunge wa Ulaya wamelaani vikali vitendo hivyo na kutaka kuachiwa kwa wapinzani waliokamatwa. Wamesisitiza kuwa...
  10. DuaZaMama

    PostGE2025 Power Breakfast wakifanya maombi baada ya bunge la Ulaya kusitisha misaada kwa serikali ya Tanzania

    Watangazaji wa Clouds FM wa kipindi cha Power Breakfast wakifanya maombi baada ya Bunge la Ulaya kusitisha misaada kwa Serikali ya Tanzania kutokana na madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu. Pia Soma: Bunge la Ulaya lapitisha maazimio 9 kwa Tanzania. Lakata misaada na kutangaza Uchaguzi...
  11. Pakome

    PostGE2025 Si sahihi Bunge la Ulaya kusitisha misaada nchi ya Tanzania, mapendekezo hayo yanafaa kupingwa kwa nguvu zote

    Msaada wa Kimataifa ni kwa Manufaa ya Wananchi, Siyo Serikali Peke Yake Kusitisha misaada hakumuumizi kiongozi yeyote katika ofisi ya juu, bali kunawaathiri watoto wanaohitaji chanjo, lishe na elimu, wajawazito wanaohitaji huduma za afya ya uzazi, vijana wanaohitaji ufadhili wa elimu na...
  12. Replica

    PostGE2025 Wafadhili waanza kung'ata: EU wapiga kura na kuzuia Euro Milioni 156 kwa Tanzania

    Kamati ya Bunge ya mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya imepiga kura ambapo kura 53 zimeunga mkono pendekezo la kusitisha Euro Milioni 156 kwenye mpango kazi wa Tanzania kwa mwaka 2026 huku kura mbili pekee zikiamua kwenda tofauti. Mwenyekiti wa kamati hiyo, David McAllister amesema Tanzania imeamua...
  13. Idugunde

    Tukinyimwa misaada na mikopo na kutengwa kimataifa CCM mtandao watanyooka

    Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru watu wakauoliwa kama mende kisa tu madaraka na ubinafsi. Kama kiongozi unajua haukubaliki na wananchi hawakutaki ,kwa ninj utumie bunduki kuua raia? Kwa nini usijiulize wananchi hawanitaki? Naomba Marekani na mataifa yote makubwa waitenge Tanzania kwa...
  14. D

    Kanisa Katoliki, naomba maombi yenu ya tarehe 9.11 na misaada mtakayoikusanya viwaendee pia waliodhulumiwa Mali zao na kazi zao! Mungu awabariki sana

    Bwana asifiwe! Mmeamrishana kufanya Ibada maalumu jumapili hii ya tarehe 9.11.2025 kwa ajili ya kuwarehemu marehemu waliotokana na fujo za juzi katika uchaguzi mkuu pamoja na kuwaombea uzima majeruhi wote. Aidha, mmewataka watu kupeleka misaada kwenu kwa ajili ya majeruhi. Ni jambo jema...
  15. S

    IMF, Benki ya Dunia na nchi wafadhili, wataendelea kutoa mikopo na misaada kwa serikali hii ya Tanzania?

    Kutokana na uchaguzi usiokidhi vigezo vya kimataifa plus mauji ya raia wengi wasio na hatia waliojitokeza kupinga huu uchaguzi wa tarehe 29 October 2025, IMF, Benki ya Dunia na nchi wahisani, wataendelea kutoa mikopo na misaada kwa hiii serikali? Tukumbuke hata ripoti za waangalizi karibu zote...
  16. Echolima1

    Magaidi ya Houth wanalazimisha watu waandamane ili wapate misaada ya chakula huko Yemen!!!!

    REUTERS: Wahouthi wamekuwa wakiwalazimisha raia wa Yemen kujiunga na wanamgambo wao na kuhudhuria mikutano ya kila wiki inayobwabwaja "Kifo kwa Amerika" “Kifo cha Israel” kama sharti la kupokea msaada wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa. Raia mmoja aliyekimbia makazi yake aliiambia Reuters...
  17. M

    Naombeni misaada kwa wanaojihusisha na uchimbaji wa madini

    Habari wa juu Nimekuja hapa kwa lengo moja tu natafuta mtu wa kunishika mkono anayejihusisha na mambo ya madini Mimi ni kijana wa miaka 26 nipo Dar es Salaam Lengo la kuja hapa ni kuomba kama kuna mtu anayejihusisha na maswala ya madini anasehemu ambayo anafanya uchimbaji ambayo anahitaji...
  18. kavulata

    Naunga mkono kukataa misaada ya uchaguzi kutoka nje

    Misaada kutoka nje kugharamia uchaguzi ni hatari sana kwa uhuru wetu. Misaada yao inaambatana na maagizo na maellekezo kwetu juu ya nani achaguliwe na ukichaguliwa ufanye nini kwako na kwao. https://youtu.be/raTu83yDZHQ?si=V0tZ0hgcFG9zM8El
  19. Ritz

    Meli za misaada kutoka maeneo mbalimbali za flotilla zinaanza safari Barcelona kuelekea Gaza.

    Wanaukumbi. Flotilla iliyobeba misaada ya kibinadamu na wanaharakati, ikiwa ni pamoja na mwanaharakati wa hali ya hewa wa Uswidi Greta Thunberg, wanatarajiwa kuondoka kutoka Barcelona Jumapili kujaribu "kuvunja kuzingirwa haramu kwa Gaza", waandaaji walisema. Meli hizo zitaondoka katika mji wa...
  20. Dennis Robert Shughuru

    Misaada ya kidhalilishaji kama ya kujenga choo nitaipiga marufuku

    Bibafsi hamna jambo ambalo linanikera sana kama nchi kuona eti tunapewa mikataba ya kujenga Naamini ujenzi wa vyoo sehemu yeyote ndani ya nchi iwe ni mashuleni au mahali popote pale sio jambo lililotushinda kama nchi NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTAPIGA MARUFUKU MIKATABA YA KIDHALALISHAJI KAMA...
Back
Top Bottom