miradi mikubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. zitto junior

    Miradi mikubwa haikuanza kipindi cha Hayati Magufuli pekee

    Habari za weekend wanajukwaa Kumekuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wafuasi wa JPM kwamba miradi itakufa ama miradi haitofanyika sababu JPM hayupo. Na wengine wameenda mbali sana na kusema hakuna aliyewahi kufanya miradi kama ilivyofanyika awamu ya tano. Hapo chini nimeweka mifano tu ya...
  2. Kabende Msakila

    CCM yetu kipaumbele ni miradi mikubwa ya maendeleo, Katiba mpya baadae sana

    Wana Jf, salaam! Nianze kwa kukipongeza CCM kwa upendo wake kwa Watanzania lakini pia nikipongeze CDM kwa namna inavyokubali kazi inayofanywa na CCM. Wengi wetu kipaumbele ni Serikali kuongeza kasi ya kutekeleza miradi ya maendeleo nchini. Suala la Katiba mpya lifuate hapo mbeleni hasa miaka...
  3. mirindimo

    Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

    Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi. - Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
  4. Sildenafil Citrate

    Waziri Mwigulu: Tozo zinasaidia kuendesha miradi ya kimkakati

    Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema kuwa mojawapo ya sababu zilizofanya wawakilishi wa nchi ( wabunge) waamue kukubali kupitishwa kwa tozo ni uwepo wa miradi mikubwa ya kimkakati inayoendelea nchini. Ameyasema haya wakati akitolea ufafanuzi wa uwepo wa tozo nyingi zinazolalamikiwa na...
  5. Tz boy 4tino

    Mradi Wa SGR Ya Tanzania Ni Mradi Mkubwa Kuwahi Kufanyika Barani Afrika

    Mradi wa SGR ya Tanzania wenye Kilomita zaidi ya elfu 2,000, ni Kati ya miradi mikubwa ya reli kuwaikufanyika Afrika. Katika utafiti wangu, miradi mengine mikubwa inayoendelea barani Afrika ni ule wa Nigeria, ambao una lengo la kuunganisha miji mikubwa na bandari ya Lagos. Pamoja na wa Misri...
  6. Snoop Dogg

    Vibarua kwenye Miradi mikubwa ya ujenzi wanalipwa kiasi gani?

    Wakuu, Nahitaji kujua vibarua kwenye Miradi mikubwa ya serikali hasahasa Mradi wa Umeme, Mradi wa daraja la Magufuli pamoja na Mradi wa Reli wanalipwa kiasi gani na vigezo vyao vya kuajili ni Vipi?
  7. MSHINO

    Tujikite kumaliza miradi mikubwa iliyopo; madeni yaliyopo yanatosha. Haraka ya nini Bagamoyo?

    Ndugu watanzania wenzangu urefu wa pwani kutoka Tanga mpaka Mtwara ni 591.12km, kutoka Tanga mpaka Dar es salaam ni 195.07 na Dar es salaam kwenda Mtwara 397.39 km. Kwa kuwa umbali kutoka Tanga na Dar es salaam ni karibu sana yaani km 195.07, huku umbali wa kutoka Tanga mpaka Bagamoyo ni km...
  8. M

    Rais Samia anasema Uchumi wa Tanzania umekuwa sana na Watanzania sasa wana hela nyingi na Miradi mikubwa ipo na mingine inakamilika

    Kumbe Watanzania wakiwa katika Mgawo wa Umeme, Maji ya shida, Tozo za kila aina Kuongezeka na Mfumuko wa Bei na hata wa Bidhaa nao Kukua, Ajira kutopatikana, Benki zikitoa Mikopo kwa Riba Kubwa na Kiwango cha 'the haves' and 'the haves not' nchini Tanzania kikiongezeka kwa Kasi ndiyo tafsiri...
  9. J

    Mkopo hauwi deni hadi unapoiva na kushindwa kulipika. Magufuli hajaacha madeni, ameacha miradi mikubwa. Tukishindwa kulipa ni sisi, si yeye!

    Vitu vingine ni rahisi tu, Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika. Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi yakinifu uliofanywa na wakopeshaji ulionyesha italipika ndani ya muda wa mkataba. Kwahiyo tembeeni...
Back
Top Bottom