mipango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe na wizara mnaandaa Watanzania kwa mipango ya upigaji

    Jana tarehe 20 March 2023, Rais alifungua mradi wa mashamba ya pamoja, Mradi wa Kilimo wa Vijana. Sijui kama Waziri ana lengo zuri au ni kulifanya jina lake lisikike kila wakati mbele ya Rais kwa kujitambulisha kama mchapakazi. Kama ni mpango wa Wizara, basi ni muendelezo wa udanganyifu...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Serikali pigeni marufuku upimaji na ugawaji wa ardhi kutumia futi. Haiakisi mipango miji

    Kuna dhuluma kubwa na utapeli mwingi unatendeka kwenye kipimo cha futi kinachotumiwa katika upimaji na ugawaji kwa wasiojua. Kipimo cha futi ni cha kufikirika tu na zaidi kinatumika kipimo hicho kuficha ukweli halisi wa udogo wa viwanja vinavyotolewa. Kwa mfano, unakuta kiwanja unaambiwa kina...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka Wizara ya Fedha na Mipango

    Taarifa kutoka Wizara ya Fedha na Mipango
  4. JamiiForums Tanzania Suala la ushoga msinyamaze, ila mtesi wenu ana nguvu kuliko mnavyofikiri, mipango ipo hivi...

    Wakuu salam, Hoja za Ushoga na kuhalalisha ndoa za jinsia moja ni jambo sensitive sana hasa kwenye jamii zetu za Africa. Tusichoelewa ni kwamba watea wetu wana nguvu sana na ni moja ya ajenda kubwa sana kwenye mikutano ya wakubwa huko duniani. Jambo hili la ushoga sio jipya hapa duniani ni...
  5. JamiiForums Tanzania Pochi tatu za kugawa mshahara wako ili kuweka mipango ya maisha

    Kipato cha walio wengi ni mshahara, hata kama unafanya biashara ni muhimu kujiwekea mshahara wako, hii itakusidia kuiheshimu faida na kutokuigusa. Matumizi ya muhimu katika mshahara ni chakula, kodi ya nyumba na usafiri. Haya yanatakiwa kutolewa katika mshahara kabla hujapanga mipango yeyote...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema asimulia alivyopanga mkakati kutoroka (1)

    Wakati maandalizi ya kumpokea mbunge wa zamani wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema anayetarajia kuwasili nchini Machi 1 mwaka huu, akitokea nchini Canada alikokimbilia baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, mwanasiasa huyo ameeleza Canada haikuwa miongoni mwa nchi alizotaka kwenda...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna Rais anayetafuta legacy ya kudumu asimamie mipango miji

    Akili na ustaarabu unaanzia kwenye mipango miji. Kama kuna Rais anayetafuta legacy ya kudumu asimamie mipango miji. Mipango miji ni legacy ya milele. Ukishapanga mitaa na barabara zitabaki hivyo milele. Ukishindwa kupanga kuja kurekebisha ni ngumu sana. Gharama yake ni kubwa sana kiasi kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania Naiomba serikali iliangalieni suala la aina ya mipango ya elimu, hali ni mbaya

    Utaratibu mzima wa mipango ya elimu na utekelezaji wake kwa kiasi kikubwa unatia mashaka sana. Kwa muda mfupi nimeweza kuona mambo yafuatayo ambayo hayaridhishi na hayawezi kusukuma utekelezaji kwa kuhusisha wadau wote wa elimu. Mambo hayo ni pamoja na: 1. Viongozi kujikita zaidi kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania hatuna mipango kabisa...

    Habari zenu.... Kuna mambo yanafanyika tanzania tu,tena yanatia aibu sana.. Kesho wanafunzi wanafungua shule,ila wazazi wao wameshindwa kufanya maandalizi siku nyingi ya kujianda na shule,leo hii ndo wanashituka sasa,yani unakutana na wazazi wapo na watoto wao kariakoo kama wamechanganyikiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Malengo yako ya mwaka huu yametimia?

    Well ni December, tunaumalizia mwaka! Kila mmoja kwa namna yake kuna malengo alijiwekea, yametimia? Kama ndiyo kwa asilimia ngapi? Na kama bado kwa nini? Wapi ulifeli? Binafsi niseme malengo hayakutimia kwa 95%, kuna biashara ipo somewhere, vijana wanaharibu mwanzo mwisho. Kwa huu mwaka...
  11. JamiiForums Tanzania Katavi: Mkurugenzi MUWASA asimamishwa kazi kwa kununua Pikipiki 30 kwa Tsh. Milioni 114

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeagizwa kumhoji Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Wilaya ya Mpanda, Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka Taratibu za Manunuzi ya Umma. Nyemba anadaiwa kununua Pikipiki 30 Jijini Dar es Salaam kwa Tsh. Milioni 3.8 kila moja huku...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu yupo au ni mipango ya watu kujipatia ajira na pesa?

    Kwema wakuu, kwa hali ilivyo najiuliza je kweli Kuna Mungu au ni business za watu kutufanya mazuzu na kula pesa zetu?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka G20 hadi APEC, China yatoa mipango yake juu ya maendeleo na usalama ya dunia

    Kuanzia tarehe 14 hadi 19 Novemba 2022, Rais Xi Jinping wa China alihudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kundi la G20 (G20) kisiwani Bali, Indonesia, na Mkutano wa Viongozi wa Kibiashara wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia na Pasifiki (APEC) mjini Bangkok, Thailand. Katika siku hizi...
  14. JamiiForums Tanzania Phiri Mosses Lazima Aumizwe vibaya kabla hatua ya makundi iwapo Simba itakalia kimya mipango ya wapinzani dhidi ya Nyota wao

    Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira. Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko. Juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa...
  15. JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana chama wala ukabila au udini. Prof. Lipumba angetuvusha kama angeteuliwa kuwa Waziri wa Mipango, aliivusha Rwanda

    Haina ubishi kwamba huyu mnyamwezi ni mahili sana wa mipango ya kiuchumi. Anatambuliwa na nchi mbali mbali hapa duniani. Mafanikio ya kiuchumi na mipango mizuri ya nchi kama Rwanda yametokana na mchango wa nguli huyu waliyemkodi kwa mwaka mmoja nchini kwao. Hata Uganda walimtumia. Watu kama...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Iran na Yemen wamekuwa na mipango ya miaka mingi kulipua Mecca na Medina?

    Nimewahi kufanya kazi na watu wa jamii hizo mbili na wanaichukia sana hiyo miji iliyopo Saudi Arabia? Wanasema kwamba Marekani na Israel ndio zilianzisha utaratibu wa kutembelea hiyo miji ili kukuza kipato cha Saudi Arabia na kuunganisha jamii za mashariki ya kati. Pia wanaeleza utaratibu huo...
  17. JamiiForums Tanzania Sisi kama Serikali tuna mipango kazi mingi ya kupambana na mgao wa umeme na sio IPTL pekee!

    Ndugu zangu watanzania Mgao wa umeme unaoendelea ni matokeo ya kupungua kwa kina cha maji kwa vyanzo vyetu tunavyovitegemea KILA mwaka! Ikumbukwe KWAMBA mvua za Msimu wa mwaka 2021/2022 zilikuwa chini 1500mm hivyo kutokujaza ipasavyo nyanzo vyetu VYA umeme kama kidatu,mtera na vinginevyo,Hali...
  18. JamiiForums Tanzania Binadamu huwa tuna mipango mingi sana lakini hatujui kesho yetu

    Ilisikika sauti toka ndani ya kaburi " Lete dongo, Lete reli, Lete ubao, lete majani". Nilikuwa miongoni mwa watu watano ambao wali bahatika kuchaguliwa kuingia ndani ya kaburi kumzika huyu shangazi yangu,na ndiyo ilikuwa mara ya Kwanza kufanya hivyo Amekufa akiwa na Miaka 96 yaani bado minne...
  19. JamiiForums Tanzania Simba katika mipango ya kumsajili Fei Toto baada ya kuachana na Chama mwisho wa msimu

    Inaelezwa kwamba simba wapo katika mpango huo baada ya kuachana na Chama mwisho wa msimu huu.
  20. JamiiForums Tanzania Magharibi yalaani mipango ya Urusi ya kura ya maoni kuhusu Ukraine

    Mataifa ya Magharibi yamelaani mipango ya Moscow ya kufanya kile kinachoitwa kura ya maoni ya dharura katika sehemu za Ukraine ambazo kwa sasa ziko chini ya udhibiti wa Urusi. Kura hizo zimeitishwa na maafisa wanaoungwa mkono na Urusi katika mikoa minne ya Ukraine kuuliza iwapo wanapaswa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…