mipango miji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ujenzi holela wa fremu za maduka kila kona, mipango miji wanafanya kazi gani?

    Hii sio sawa fremu zinajengwa kila sehemu kila kona, hivi wanaohusika na mipango miji wapo kweli? Mji mkubwa kama Dar es Salaam hili limekuwa kiboko, hivi matumizi ya ardhi yapo kweli? Yaani sasa hvi hakuna maeneo ya makazi na maeneo ya biashara, kila sehemu ni biashara tu mafremu yanajengwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ipange na kuuza maeneo kisasa ili kupunguza gharama za kuhudumia miundo mbinu na kukuza miji haraka

    Serikali itengeneze mpango maalumu wa namna ya kupanga miji na vijiji ili kupunguza gharama za kuhudumia miundombinu yake. Hii inamaana kwamba ili kifikia lenho lazima tuwe na mwendelezo sahihi wa ujenzi wa nyumba, viwanda au maendelezo yoyote yale ya ardhi. Miji mingi inamaeneo ambayo ni wazi...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Nimependa jinsi kijiji cha Namalembo walivyopanga mji wao pamoja na kutokuwa na rasimali fedha na wasomi kama mijini

    Kijiji cha Namalembo kinapatikana kata ya Msikisi wilaya ya Masasi mkoani Mtwara. Shughuli kubwa ya kiuchumi kwenye kijiji cha Namalembo ni Kilimo huku Mahindi na ufuta ikiwa ni mazao yanayolimwa zaidi moja likiwa la chakula na lingine biashara. Kijiji cha Namalembo(Picha kwa msaada wa Google...
  4. w0rM

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ni muda sasa Serikali kuweka mpango mkakati wa kupendezesha Miji kwa majengo yenye rangi na mazingira yanayofanana

    Wakati Tanzania ikiendelea kujipambanua kuwa Nchi yenye maendeleo na mazingira mazuri ya kuishi, na Jiji lake la Dar es Salaam likijiandaa kuwa Jiji kubwa zaidi (lenye zaidi ya Wakaazi Milioni 10) ifikapo mwaka 2030, nadhani kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia kwa ajili ya maendeleo ya Dar es...
  5. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Suala la mipango miji ndo imetushinda kabisa waafrika.

    Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni mbaya sana sio nzuri kabisa sababu kubwa na kutokuwepo kwa mipango miji ambayo ndo chachu ya kupendezesha miji Kama umeshawahi kwenda nchi yeyote ya western utaona jinsi kulivyo pangiliwa na kunavyopendeza mfano ukienda japan ni super clean na huwezi ona...
  6. T

    JamiiForums Tanzania CCM issue ya mipango miji ni kama wameachana nayo, watu wajipange wenyewe

    Serikali ya CCM imekuwepo madarakani kwa miaka zaidi ya 60 nchi hii lakini miji yote Tanzania haijapangiliwa. Miji inajengwa hovyo hovyo, mtu anajenga popote, mipango miji hakuna, hakuna open space, hakuna play grounds, hakuna maeneo ya ujenzi wa huduma za kijamii. Kinachosikitisha ni kwamba...
  7. L

    JamiiForums Tanzania naomba kuuliza jinsi ya kupata ramani ya mipango miji ardhi

    habari za jioni wadau heri ya mwaka.mpya naomba kuuliza kama nimepata coordinate za eneo usiku kwaajili ya kurasimisha kiwanja changu nawezaje kupata ramani ya mipango miji ya eneo husika na gharama yake kupata ramani ni sh ngapi
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania 2030, kipaumbele chako kiwe mipango miji

    Kusema kweli kwa asilimia 98 nina amini bila shaka kuwa Jamii kubwa ya Watanzania wana mtindio wa ubongo, yaaani hawawezi kuwaza na kufikiri vizuri. Jambo kuu linalonifanya kuamini hivi ni kwa namna ninapotembea mikoa mbalimbali nchini na kuona jinsi wananchi wanavyojenga bila mpangilio na wala...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana, Wajerumani waliipanga Tanga ikapangika 1891. Waswahili zaidi ya miaka 100 mipango miji changamoto

    Mji wa Tanga ulijengeka kwa haraka baada ya kutua mjerumani na moja ya kitu alichoacha alama kwenye mji wa Tanga ni kupanga mji kwa barabara 21. Miaka kadhaa nyuma nilifanikiwa kuishi kwenye mji huu kwa siku chache wakati huo google maps ndio inaanza kuwa maarufu nchini. Pamoja kwamba wenyeji...
  10. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Mipango miji: Sehemu za wazi kufanyia mazoezi hasa calisthenics zipo wapi?

    Habari wana JF Juzijuzi tu tumesikia taarifa mbaya ya watu kugongwa na gari wakiw wanafanya mazoezi barabarani. Maoni ya wadau yakawa mengi mbalimbali. Mi nina swali kwa wapangao miji. Kutokana na ongezeko la urahisi wa kazi maofisini. Watu wengi zaidi wanaingia kwenye kutakiwa kufanya...
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Waziri Mabula: Hatuhitaji miji iliyojaa fremu za maduka. Mipango miji izingatiwe

    Hongera Waziri Kwa kukuona hili,na Ili kuweza kusimamia vizuri master plan za Miji Serikali Ianzishe Wakala au Mamlaka ya Kusimamia Upangaji Miji na Ardhi yaani Town Planning and Land Administration Authority.. Kiukweli Miji yetu inatia aibu na hasira sana yaani utadhani sisi sio binadamu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Serikali pigeni marufuku upimaji na ugawaji wa ardhi kutumia futi. Haiakisi mipango miji

    Kuna dhuluma kubwa na utapeli mwingi unatendeka kwenye kipimo cha futi kinachotumiwa katika upimaji na ugawaji kwa wasiojua. Kipimo cha futi ni cha kufikirika tu na zaidi kinatumika kipimo hicho kuficha ukweli halisi wa udogo wa viwanja vinavyotolewa. Kwa mfano, unakuta kiwanja unaambiwa kina...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna Rais anayetafuta legacy ya kudumu asimamie mipango miji

    Akili na ustaarabu unaanzia kwenye mipango miji. Kama kuna Rais anayetafuta legacy ya kudumu asimamie mipango miji. Mipango miji ni legacy ya milele. Ukishapanga mitaa na barabara zitabaki hivyo milele. Ukishindwa kupanga kuja kurekebisha ni ngumu sana. Gharama yake ni kubwa sana kiasi kwamba...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

    Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo. Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mkurugenzi MUWASA asimamishwa kazi kwa kununua Pikipiki 30 kwa Tsh. Milioni 114

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeagizwa kumhoji Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Wilaya ya Mpanda, Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka Taratibu za Manunuzi ya Umma. Nyemba anadaiwa kununua Pikipiki 30 Jijini Dar es Salaam kwa Tsh. Milioni 3.8 kila moja huku...
  16. Saidama

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Mipango Miji wana kazi gani?

    Hawa jamaa bana ni miyeyusho yani sijui hata wanafanya vipi kazi. Ukiangalia kwa sasa kasi ya watu kujenga maeneo ya pembezoni mwa mji imekua kubwa lakini hawa jamaa siwaoni kabisa wakitimiza majukumu yao ya kupima viwanja kwa kasi ili watu wanapojenga, haya maeneo mapya angalau yawe na...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama mnalalama kuwa wamachinga wananyanyaswa sasa hivi mbona wakati wameruhusiwa na hayati Magufuli mlisema wanaharibu mipango miji! Kuweni na msimamo

    Sasa naona Katibu mkuu wa UVCCM Kenani Kihongosi ameamua kuingia mstari wa Mbele kuongoza mapambano dhidi ya wamachinga. Bavicha tunalaani vitendo hivyo na tutaongoza mapambano ya kudai #KatibaMpya itakayotoa Uhuru wa vijana kufanya biashara bila bugdha.
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mipango Miji na idara mbalimbali kwanini zisitungwe sheria na kanuni kila nyumba iliyopo barabarani kuwa na fremu zenye bei elekezi

    Kiukweli watanzania wanamitaji midogo ya kupata sehemu za kujiegesha kwa ajili ya biashara zao. Lakini wenye nyumba hawa tengenezi aina mifumo ambayo hata yule kijana au yoyote anayetaka kufanya biashara basi hata kuwa na sehemu ambayo ni elekezi na bei nzuri. Kwa Dar es Salaam naona...
  19. Lusematic

    JamiiForums Tanzania Mipango miji Tanzania

    Habari wanajamvi? Nachukua fursa hii ili tuweze kujadili kwa pamoja hoja husika kuhusu wizara husika kwa upande wa mipango miji kwa nchi yetu ya Tanzania." kwanza niipongeze Wizara kwa kujitahidi kusimamia utendaji wao japo si kwa kiasi kikubwa. Kutokana na uzalendo na kupenda mandeleo...
Back
Top Bottom