mipaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Unafikiri mipaka ya nchi miaka 40 ijayo itakuaje?

    Habari wakuu. Mipaka ya nchi ni kitu kinachobadirika kila leo. Miaka 30 iliyopita kulikuwa na nchi kubwa ya USSR. Leo haipo, imetoa nchi kibao. Ujerumani haikuwa nchi moja, hakukuwa na Sudan kusini wala Somaliland. Leo Kurdistan ni kama nchi, Syria inataka kuvunjika nk. Unaionaje mipaka...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ongeza ukali watakuheshimu

    Dhana ya Utawala bora lazima iambatane na mipaka kwa wakosoaji wa Serikali katika kulifikia lengo lililo jema siku zote. Ni muda Sasa tangu atutoke mwendazake kumekuwa na jitihada za kufifisha maendeleo ya nchi kwa makusudi makubwa Sana kwa baadhi ya wanasiasa. Taifa hili linahitaji busara...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

    Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
  4. JamiiForums Tanzania NMB haya makato yenu kwenye mobile app ni makubwa sana na wizi uliovuka mipaka. Ushahidi huu hapa

    Siku zote nimekuwa nikitoa hela kwa kutumia application ya NMB Mobile Bank na mara zote hizo sikuwai kuwa makini na masuala ya ada ya makato ambayo inachukuliwa na hawa NMB, mpaka pale nilipoamua niangalie huwa wanachukua shilingi ngapi ndipo niliposhangazwa zaidi. Nilianza kutoa laki moja na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hongera kwa uenyekiti CCM. Tafadhali funga mipaka na India

    Nafahamu Rais wetu uko busy Dodoma na masuala ya kichama. Hongera kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM. Sitaki kuingia sana huko na sina maneno mengi kuhusu siasa. Nakuomba ufunge mipaka kati ya Tanzania na India kwa muda hadi pale hali ya corona itakapotulia kule kwa wenzetu. Wanatia...
  6. JamiiForums Tanzania Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

    (KAMA UMEOLEWA/UMEOA TAFADHALI USISOME) Kuna story za kutisha nyingi sana kutoka kwa wanaume, kuhusu kuamka asubuhi na kujikuta wakiwa wamelala kitandani pembeni ya viumbe wasio watambua baada ya kutoa MAKE UP usoni usiku. Wanawake wengine hutumia pesa nyingi kila mwezi kununua make-up, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…