milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Natakiwa kulipwa Milioni 7 ya NSSF, nimepewa 198,000, nyingine hadi mwaka upite, wanajua kesho yangu?

    Kero yangu ni kwa watu wa NSSF, nilikuwa nafuatilia mafao yangu ya ukomo wa kazi kwenye statement yangu kuna shilingi 7,000,000 kazini nilikuwa nalipwa 600,000, hivyo NSSF nilikuwa nawekewa 120,000 sasa imefika wakati wa kufatilia nakuja kulipwa Shilingi 198,000. Sasa hiyo hela mimi naifanyia...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi sasa ni mufilisi? Ati milioni 10 zatengwa ili kumaliza foleni Dar!

    Katika miaka ya karibuni , wizara hii ya Ujenzi imekuwa kichwa cha mwenda wazimu. Kila anyejifunza kunyoa anapelekwa hapo, na nywele anajua anakozipeleka. Siyo siri ,sasa Wizara , taasisi zake kama TANROADS, ni mufilisi. Wadau wa ujenzi wanaikimbia wizara ya Ujenzi. Yote tisa, kumi ni hii...
  3. JamiiForums Tanzania Mtanzania Gabriel Geay ajizolea zaidi ya shilingi Milioni 500 kwa kutwaa medali ya dhahabu Daegu Marathon, South Korea

    Ikiwa ni mara ya pili mfululizo, mwanariadha wa Tanzania Gabriel Geay, leo tena kashika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Marathon (42km) za Daegu, Korea kusini. Katumia muda wa masaa 2:08:08. Huu ni ushindi mkubwa kwa kijana huyu na Tanzania kwa ujumla. Cha kufurahisha ni kuwa kijana atawekewa...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi utadharau vipo watu wako milion 59 na zaidi unapeleka game kwa watu hawazidi milioni

    Uongozi wa Yanga ujitafakari, na utafakari tena, mashindanyo makubwa kama haya unapeleka tanzania bara, huko zanzibar, unaacha watu mamilion washangiliaji hapa, mjitafakari, msipoangalia mtaweka ujinga wa uzanzibari na utanzania, au udini, hapa DSM watu wanatoka mikoa uanakuja hapa Dar es...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Umeme wa 400kV toka Uganda -Tanzania, mchakato umeiva na umeanza, kugharibu dola milioni 250 za kimarekani

    09 February 2026 UETCL mradi wa dola milioni 250 kutoka Benki ya Dunia, kupeleka umeme Tanzania waanza Kampuni ya Usambazaji wa Umeme ya Uganda Limited UETCL imeanza mchakato wa ununuzi wa laini ya umeme yenye volteji nyingi ya shilingi bilioni 937.5 inayounganisha Uganda na Tanzania...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kiko wapi? Milioni tano za goli la mama, simsikii Msigwa wala Mchengerwa,

    Nauliza tu Msigwa uko wapi, mbona hatusikii tena goli la mama labda Simba ingeshinda Chezea Watanganyika na sio wazungu Kwisha habari zenu
  7. JamiiForums Tanzania Said Mikidadi anaomba msaada wa kupata Sh Milioni 40 akatibiwe nchini India baada ya kushindikana Nchini

    Rais Wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kwa ujumla wameombwa kujitokeza kumchangia Said Mikidadi anayesumbuliwa na uvimbe mkubwa ili apate matibabu na kuokoa maisha yake. Said Mikidadi, anakabiliwa na tatizo la uvimbe linalohitaji kufanyiwa upasuaji wa...
  8. JamiiForums Tanzania Ingizo la DP World Lawa Kimbilio Kwa Wasafirishaji.Tani Milioni 28 Zaingiza Mapato Trilioni 14 kupitia Bandari ya Dar

    My Take Kama sio juhudi za mageuzi ya kiuchumi za Rais Samia Leo Bandari ya Dar ingekimbiwa na wateja Kwa sababu za kipuuzi za miaka yote huku wanaojiita Wazalendo walishindwa kutoa suluhisho. Hivi navyoandika hapa Kwa mwaka huu wa 2025/26 tayari Kuna ongezeko la Mizigo Kwa zaidi ya asilimia...
  9. JamiiForums Tanzania Hakimi na Saibari wasimamishwa na CAF, Saibari atozwa Faini ya Tsh 255.5 Milioni

    Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limewasimamisha wachezaji wawili wa timu ya Taifa ya Morocco, Achraf Hakimi (mechi mbili) na Ismaël Saibari (mechi tatu) baada ya kuonesha tabia isiyo ya kiungwana wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kumbe ‘Msama wa mama’ alipiga dili la milioni 984 na alikuwa na courage ya kuongea kwenye Media

    TAKUKURU inawatafuta Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, kughushi nyaraka, utapeli na utakatishaji fedha kupitia Shauri la Uhujumu Uchumi Na. 1371/2026 lililofunguliwa Mahakama ya Kisutu Januari 21, 2026. Washtakiwa wanadaiwa kughushi nyaraka za...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Daktari wa India kasema bila sh. Milioni 40 hatoboi miezi mitatu ijayo

    Anaitwa Saidi Abdallah Mikidadi Potea, miaka 33, mkazi wa Kijichi, Temeke mkoani Dar es Salaam. Saidi amejikuta akipambana kwa kila njia kuunusuru uhai wake kufuatia gonjwa la ajabu la uvimbe shingoni huku daktari akimwambia bila Shilingi Milioni 40 za Kitanzania, hatoboi miezi mitatu ijayo...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Victor Mhagama akamatwa na TAKUKURU akiwa na Tsh. Milioni 500

  13. JamiiForums Tanzania Unamfanyaje Ndugu yako aliyekutapeli MILIONI 5 na sasa anakutukana, anakublock na kukutambia ?.

    Yaani Ndugu yako, ambaye anakuambia 'Ndugu nimeyumba Biashara, Niazime MILIONI 5 nifanye kuizungusha TU chap chap kisha nikurejeshee". Unampa Kiasi hiko pasipo Kuandikishana ila Ndugu wengine, Rafiki, Wazazi, wakafahamu umempa. Miezi na Mwaka unapita, hamna Pesa kurejeshwa. Baadaé...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 28, nje ya Rav4 kuna gari gani nyingine SUV imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida?

    kwa bajeti ya milioni 28 nje ya rav 4 kuna gari gani nyingine ya juu imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ?
  15. JamiiForums Tanzania SERIKALI IMEAJIRI LOBBY GROUP YA MAREKANI KUREKEBISHA PICHA – HUKU SIYO KUIUZA NCHI?

    Hili jambo la FARA hili mmh ni kama Serikali imeamua kununua "kipaza sauti" kule Washington D.C ili sauti yake isikike tofauti na inavyosikika sasa hivi.😂 1. Kwanini Marekani na kwanini Tom Graves? Washington D.C. inatawaliwa na kitu kinaitwa "Lobbying Engine." Siasa za Marekani, hususan chini...
  16. JamiiForums Tanzania Samuel Eto’o afungiwa mechi nne, atozwa faini ya Tsh. 49.6 Milioni na CAF kwa utovu wa nidhamu AFCON 2025

    Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT), Samuel Eto’o, amefungiwa kuhudhuria uwanjani kwa mechi nne na kutozwa faini ya dola 20,000 za Marekani (Sh49.6 milioni), akidaiwa kufanya utovu wa nidhamu wakati wa mechi ya robo fainali ambayo Cameroon ilipoteza dhidi ya Morocco kwenye Kombe la...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong

    12 January 2026 Tanzania: Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong Januari 12, 2026 Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeshinda rufaa iliyowasilishwa na Benki ya Standard Chartered Hong Kong katika Mahakama ya...
  19. JamiiForums Tanzania Tehran, Wairani milioni 1.2 waliandamana kuiunga mkono serikali yao

    Wanaukumbi. ⭕️Huko Tehran, Wairani milioni 1.2 waliandamana kuiunga mkono serikali yao Kwa upande mwingine, maandamano makubwa zaidi ya kupinga serikali hayakuwahi kukua hadi zaidi ya makumi ya maelfu. Kama kawaida, vyombo vya habari vya Magharibi havitakuonyesha hizi video kwa sababu...
  20. JamiiForums Tanzania Sheikh mwaipopo adai kitima alikutana na heche na kumpa milioni mia

    Sheikh mwaipopo anaonekana misikitini akidai kitima alikutana na heche na kumpa milioni mia moja Ni matumaini yangu, kanisa langu makini moja takatifu la mitume litakanusha,na siyo kukanusha tu bali kumchukulia hatua za kisheria sheikh mwaipopo,maana kazidi sana! NB: Modes acheni kufuta nyuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…